Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
voda internet yao ya kijinga sana.. Nawahsuri watu wasiamini internet ya voda. Wajinga sana hawa jamaa
mbona ndio naitumia toka nimenunua ile modem yao mpya halafu spidi ipo poa sana.. au upo maeneo ambayo voda inabifu lamawasiliano..
hahahahaaaa...dah..jamaa umenifanay nicheke kwa sauti afu nipo kwa ofisi..maana na mimi ndo kama umenishtua hivi...loh!!sasa hiyo ni bure? unajua maana ya bure?