mfawidhi
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 247
- 264
Hilo tatizo pia nimeonya kwamba litatokea kwenye ukuta unaojengwa Mererani. Nina mashaka kama ulifanyika upembuzi yakinufu kwenye ujenzi wa ukuta ule wa Mererani maana naona kama siasa zilipewa kipaombele. Anyway ngoja tuone muda utaamua kama unavyoomua sasa kwenye hayo majengo.
Naungana na wewe kwenye hili! Ziwe tofali sidhani kama hata zina ubora unaotakikana. It’s just a matter of time, trust me!