Hospitali za Serikali mna nini?

Hospitali za Serikali mna nini?

Tuliokuwa tunapigania Dr Gwajima akae hapo sio kwa sababu tunapigania maslahi yake ila yetu binafsi. Kuimarika kwa huduma hapo ni kwa faida ya raia sio yeye.

Wengine tumepoteza wazazi hizo hospitali za serikali wote wawili kwa nyakati mbili tofauti, kwa sababu ya medical errors na uzembe tu, ndio ugomvi wangu ulipo na Ummy Mwalimu huo rekebisha hiyo sector it too technical kwako.

Anatokea mtu anaefahamu health intervention approaches kinaga ubaga, ana ufahamu mpana mno wa health management kuanzia usimamizi wa kutoa huduma hadi inventory control. Better still yeye mwenyewe ni qualified doctor.

Mnaenda mfanyia majungu atolewe hapo mnamtaka mbutika kama Ummy Mwalimu ukilisikiliza linaongea ujinga mtupu hakuna lolote linalojua.

Trust me Dorothy Gwajima hata kwenye bima ya afya angeanza na NHIF kuanza kutaka kuona wanaziba kwanza mirija yao ya upotevu wa hela ovyo through insurance fraud kujua actual costs zao; ndio wampelekee habari za kuongeza insurance costs.

Tells you ana abc za finance, tatizo wengi walikuwa awaelewi akiamua kuwapiga audit ya papo vituo vya afya anawaumbua, akiingia maabara akikuta vipimo vina anaelewa minimum ni siku ngapi mgonjwa ameonywa results walikuwa awawezi kumuongopea ni mtaalamu mnoooo.

Shida saa zingine ni ujinga wetu, mengine tunajitakia.
eti anawekwa kiongozi ambaye hajui kitu chochote kuhusiana na vitu anavyovisimamia akiona mabango yeye ndo furaha kumbe madakitari vitendo ni zero ,,,yeye kazi yake ni kusoma takwimu ambazo ameandikiwa na madokta uchwara kama akina client ambazo zina uongo mwingi ili waonekane wanafanya kazi
 
We ni wa kuonewa huruma, hiki ulichoandika unakielewa??
Andika hoja mkuu hizi lugha chafu za madakitar ni za kipumbavu mnatumia hasira kwamba mgonjwa anakosea kumbe mnajificha msionekane mmeshindwa kutambua kinachomsumbua ,,,siku iz kuwen makin watu wengi wanauelewa huko hospitalini wanafyata kuthibitisha tu kile wanachokihis na usidhani walioajiriwa hospitalin ndo hao waliosomea hayo mambo wapo wengi huku mtaani,,,hospitali ya wilaya mpaka leo sielewi aliachiwa kiti kwa muda yule mtu au ndo yeye anahudumu pale ni dakitari anaulizwa umewahi sikia kitu kinaitwa GERD anasema sijawah na anakaza hiko kitu hakipo unamfafanulia kwa urefu na mapana lakini badooo. Nikasema hawa ndo madakitari wetu aiseee nilichoka sana
 
Kiufupi we ni mjinga wa kuonewa huruma, ujuaji mwingine ni kujiaibisha, punguza ujuaji kwa vitu ambavyo huna utaalamu navyo,la sivyo unajishushia hadhi.
We jamaa mbona lugha zako hizi ni za madakitar uchwara sana,,,ila kama wewe ni dakitar hata mlungula utakuwa unaupenda sana,,,bishana kwa hoja tujue unajua unachokiongea ila kwa ujibuji huu wewe ndo unaonekana mjinga sasa
 
Vyuo vya Kibiashara vimeharibu Taaluma ya Kada za Afya. Hivi chuo kama KAMPALA UNIVERSITY kisichokuwa nq Miundombinu kinazlisha Daktari, Mfamasia, Nesi au Mteknolojia wa Maabara unategemea nini? Elimu yetu ina makando kando sana kwa mwendo huu tutakufa sana mpaka tuurudie ukweli na kuweka siasa pembeni ya elimu.

Rushwa kutoka hivi vyuo imefunika ukweli unvyotakiwa kuwa, Hongera kwa JPM wakati anaingia madarakani alifuta vyuo vikuu vya magumashi 17 mpaka ukaibuka msemo wa Vilaza. Lkn leo hali imerudi kule kule Nchi inajiendea Kielimu ka gari bovu tuuu.
Acha tu mkuu,,,hawa ndo viongozi wetu mkaguzi anayetumwa kukagua haelewi ili mtu awe fit anahitaji pawepo nini akiona wameweka tu modals na mabango makubwa hapo chuoni yanayohusu afya na kuelezewa kwa kutumia materm asiyoyajua ya kiafya anakubali kwa. Sababu ni mjinga kwenye eneo hilo na anakubal huku wamemlipua na cha mfukoni
 
Ndo zao,,, alafu wao wanajiona kila mtu ni mbumbumbu hawajui wao udakitari wamesomea sanasana baiology na hawawezi kumshinda mtu aliesomea baology na chemistry ngazi ya degree hasahasa mwalimu kama yupo makini na anavyosoma ajiulize tu kwanini mwalimu mmoja anawafundisha wanafunzi wanaochukua udakitar na wengine wa taaluma tofauti na udakitar ndo atajua nan yupo na maarifa mengi
Duhh
 
Andika hoja mkuu hizi lugha chafu za madakitar ni za kipumbavu mnatumia hasira kwamba mgonjwa anakosea kumbe mnajificha msionekane mmeshindwa kutambua kinachomsumbua ,,,siku iz kuwen makin watu wengi wanauelewa huko hospitalini wanafyata kuthibitisha tu kile wanachokihis na usidhani walioajiriwa hospitalin ndo hao waliosomea hayo mambo wapo wengi huku mtaani,,,hospitali ya wilaya mpaka leo sielewi aliachiwa kiti kwa muda yule mtu au ndo yeye anahudumu pale ni dakitari anaulizwa umewahi sikia kitu kinaitwa GERD anasema sijawah na anakaza hiko kitu hakipo unamfafanulia kwa urefu na mapana lakini badooo. Nikasema hawa ndo madakitari wetu aiseee nilichoka sana

Shida wandhani wagonjwa wote ni layman,niliwahi kwenda hospital tena mhimbili,daktari akawa ameniandikia dawa za kutumia,hizo dawa nilwahi soma article kadhaa kuhusu madhara yake kwa long exposure ya hiyo dawa,nikamletea hizo published articles akabaki anaduwaa tu.

Madaktari wabadilike watambue wagonjwa nao ni wasomi hata kuzidi wao.
 
Naona hapo Hospital za Serikali walikuwa sawa unaweza ukawa umepewa dawa kumbe mgonjwa hana hiyo Malaria uliyokua unaitafuta...
Kabisa tatizo wagonjwa wengi wanajifanya wajuaji yaan kaja hospital kutafuta huduma lakin Cha ajabu anataka kumfundisha kazi mtoa huduma mtu umepimwa huna malaria unataka uambiwe unayo ili iweje? sasa kama ww ulijijua uhakika kabisa una malaria huko hospital ulienda kufuata nini? SI ungeenda zako pharmacy ununue dawa? Watu msichokijua ni kwamba uko private hospitals upigaji ni mwingi sana unaweza Kuta mgonjwa hayuko serious kiviiile labda ana infection ya kawaida tu ya UTI anaenda hospital ya serikali wanampa vidonge ambavyo vinafanya kazi fresh tu anajifanya mjuaji anavikataa Kisha anaenda hospital ya private huko anafukumuliwa sindano 10 za ceftriaxone anaona yeesss hii ndio tiba sasa kumbe mtu kaua mende kwa nyundo.
 
Hospitali zipo kwa ajili ya kutengeneza pesa zaidi, kwa hiyo ni kawaida kupewa majibu yasiyo sahihi maana wao kwao ina faida zaidi.
images%20(3).jpg
 
Ndugu jamaa na marafiki kama na nyie limewakuta hebu tuambiane nini tatizo maana kila nikienda kupima maralia kwenye hizo HOSPITALI naambiwa sina maralia wakati nikijiangalia ninaumwa kweli.

Naamua kwenda maabara au hospitali binafsi, huko napatiwa tiba kisha narudi nikiwa na amani.

Jana usiku nilimpeleka mke wangu zahanati akiwa hoi na dalili zote za maralia lakini cha kushangaza naambiwa hana maralia, sikutaka kusubiri nikaamua kumpeleka maabara huko akakutwa na maralia, nashukuru kwa sasa anaendelea vizuri mseto unamsaidia.
Shida iliopo ni kuwa,hospitali za serikali karibu zote hawapimi malaria kwa kutumia rapid test,wana kipimo chao ambacho mara nyingi ukipima utaambiwa huna malaria,kuna kiwango ambacho hiyo malaria ikifika ndio kinaweza kusoma...
 
Shida wandhani wagonjwa wote ni layman,niliwahi kwenda hospital tena mhimbili,daktari akawa ameniandikia dawa za kutumia,hizo dawa nilwahi soma article kadhaa kuhusu madhara yake kwa long exposure ya hiyo dawa,nikamletea hizo published articles akabaki anaduwaa tu.

Madaktari wabadilike watambue wagonjwa nao ni wasomi hata kuzidi wao.
Huu ukweli hawataki kuuelewa,,, tena wewe mgonjwa umbaye ndo mwili wako unajijua unakuumaje ukitaka mshauliane naye ili mfike conclusion nini kifanyike utasikia na wewe ni dakitari as if wanajua sana kumbe mnaeuelewa sawa tena wengine unawazidi kinachowatofautisha ni cheti tu na mazingira ya kazi ,,,baadhi wako vizuri ila wengi ovyo sana
 
Kabisa tatizo wagonjwa wengi wanajifanya wajuaji yaan kaja hospital kutafuta huduma lakin Cha ajabu anataka kumfundisha kazi mtoa huduma mtu umepimwa huna malaria unataka uambiwe unayo ili iweje? sasa kama ww ulijijua uhakika kabisa una malaria huko hospital ulienda kufuata nini? SI ungeenda zako pharmacy ununue dawa? Watu msichokijua ni kwamba uko private hospitals upigaji ni mwingi sana unaweza Kuta mgonjwa hayuko serious kiviiile labda ana infection ya kawaida tu ya UTI anaenda hospital ya serikali wanampa vidonge ambavyo vinafanya kazi fresh tu anajifanya mjuaji anavikataa Kisha anaenda hospital ya private huko anafukumuliwa sindano 10 za ceftriaxone anaona yeesss hii ndio tiba sasa kumbe mtu kaua mende kwa nyundo.
Umeongea ukweli hapa tupo pa1,,,naomba kuulize swali hivi kwanini madakitari mtu anaumwa amepimwa wanakuta negative alaf wanaishia hapohapo hata kwamba waseme tupime kipimo kingine hamna wanakuandikia dozi tu ambayo wanajisikia wao
 
Mfano wa kipimo Gani hicho ambacho mwanzo kimesoma negative?
 
Back
Top Bottom