Hata kama mgao amekosa,Lkn habari katujulisha.So issue sio mgao,issue ni ujambazi unaofanywa na watendaji wa Hosp.hakuna cha ufisadi wala nini -huyu mlalamikaji kanyimwa mgao!
Kha, jamaa anavuta mkwanja!Suala la ufisadi kwa Dr Moshi ni la muda mrefu sana nashangaa kwa nini mpaka sasa anaendelea huku mkataba umekwisha tokea 03/04/2013. ufanyike uchunguzi na ikiwezekana ielezwe sababu ya malipo ya kifisadi ya allowance ya kilamwezi ya shilingi milioni 60 nnje ya mshahala. Moja ya ushahidi huu hapa Attach:- Atavuliwa Nguo siku siinyingi.
pengine lile gari alilolikuta lilikuwa linamkera na zile korongo na akaona anunue v8 ambayo mara nyingi huendesha mwenyewe huku madereva wakikaa vijiweni...na hapo ndo utamjua mtu mlaji.....ile barabara ni mbovu na hairekebishwi kama hamuamini jamani njooni mjionee wenyewe......na hili je...linahitaji serikali.
Tena ina t...mmh.
Hospital imeshuka sana,sio jambo la kuficha..idara za diagnosis ziko hoi, directors hawana priorities,mishahara ndio hiyo,purely govt scale,hakuna hata top up...sasa makusanyo yote ya hela yanaenda wapi???
Sio jukumu la serikali kuhudumia hospitali za kanisa yaani kuanzia Mishahara, madawa na matengenezo mengine na still wanapewa " msamaha wa kodi " !
Kwani huduma inatolewa bure ? Hivi Watanzania wana akili za namna gani ? Mapato ya kuanzia kujiandikisha mpaka dawa ( huduma kwa ujumla ) kwani zinapelekwa hazina ?
Shame on you kwa UFISADI wenuu !
kama resources hazitoshi dereva wa nini? huo mshahara wa dereva si hela zikanunue dawa? Naanza kupata wasiwasi na ushuhuda wako!pengine lile gari alilolikuta lilikuwa linamkera na zile korongo na akaona anunue v8 ambayo mara nyingi huendesha mwenyewe huku madereva wakikaa vijiweni...na hapo ndo utamjua mtu mlaji.....ile barabara ni mbovu na hairekebishwi kama hamuamini jamani njooni mjionee wenyewe......na hili je...linahitaji serikali.
Suala la ufisadi kwa Dr Moshi ni la muda mrefu sana nashangaa kwa nini mpaka sasa anaendelea huku mkataba umekwisha tokea 14/04/2013. ufanyike uchunguzi na ikiwezekana ielezwe sababu ya malipo ya kifisadi ya allowance ya kilamwezi ya shilingi milioni 60 nnje ya mshahala. Moja ya ushahidi huu hapa Attach:- Atavuliwa Nguo siku siinyingi.
hilo la ct-scan kutofanya kazi miaka 3 ni aibu kubwa sana kwa consultant hospital like kcmc,shame on you! Is that a consultant hospital or a big dispensary?