hamisimudi
New Member
- Mar 12, 2012
- 2
- 1
Hospitali ya mikumi Magomeni Dar es salaam
Huduma kwa wateja siku hizi ni mbovu kabisa hapo hospitali ya Mikumi Magomeni sana kwa mapokezi, dirisha la dawa na hasahasa wafanyakazi vijana ukiondoa Madaktari.
1. Ukifika Mapokezi utakaa mda wanakupita tuu.
2. kama unatumia kadi za Bima wanaweza kukwambia kwa nini usingekuja asubuhi kwani ugonjwa unapangwa uwe asubuhi au jioni
3. Hawataki uhoji kwa jambo lolote wao mda wote wanaona wagonjwa hawajui chochote
4. Kama unatumia kadi za bima wanakulazimisha usaini fomu ya madai (claim form) ukiwa unaenda kwa daktari na wala sio ukimaliza kutibiwa na kupewa bili yote.
5. Muda wote wafanyakazi wanahart na simu zao tu ukifika wanaweza wakakuona