Hospitali Tengeru : Huu udhalilishaji wa mtoto huyu HAPANA!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,630
10,242
Kuna video inasambazwa kwa mitandao ya jamii,ys mtoto aliyezaliwa moyo wake uilkiwa nje.Video hii yaelekea imechukuliwa punde tu mtoto alipozaliwa! Na kuna uwezekano mkubwa waliokuwepo wakati anazaliwa ndio.
WALIO PIGA PICHA HIZO,NA KUSAMBAZA ...HII HAIKUBALIKI!Mamlaka husika chukueni Hatua! Huyu mtoto hastahili kudhalilishwa hivi#
 
Kweli aisee me mwenyew nmeipata,inasikitisha,ziko wapi Ethics za afya.tutumie vizuri sim zetu hata mama wa mtoto akiziona hatopenda.
 
Waliohusika wanastahili adhabu aseee ile video imechukuliwa mara tu baada ya mzazi kujifungua tena akiwepo wamekiuka maadili ya kazi yao kwa kweli sipati picha wazazi wakija kuiona hii video.
 
Binafsi sijaiona hyo clip , ifike mahali tuache ushamba wa matumizi ya hizi simu na mitandao ya kijamii, ni wazi kwamba hyo video imechukuliwa na hao madaktari ,hawana ethics kabisa hawa. Sio kila kitu unaposti tu kwenye mitandao.
 
Kwa kweli inasikitisha sana aliyefanya litendo kile achukuliwe hatua kali ...HAIKUBALIKI
 
Mbaya sana. Waliokuwepo wakati anajifungua wachukuliwe hatua.

Hayo siyo maadili ya kazi kabisa. Wazazi wafungue kesi mahakamani kabisa ya udhalilishaji. Mamlaka husika ifuatilie hilo jambo.
 
Sijaiona hiyo clip...na sitegemei kuiona...!

Pale tengeru kuna manesi na madaktari wasiojua wanalofanya...

Walifanyaga upuuzi Wa kumpa mtu dawa zilizoexpire alafu pia haikuwa dose ya alichokuwa anaumwa....

Dada mmoja alipoteza kazi kwa hilo jambo..! Sasa naona wanarudia madudu tena
 
Back
Top Bottom