Waambie bana ukwelli
Shine Mbona we ulitanguulia kutoka tujuze umeonaje
utatuambia saa ngapi?
HIVI SHINE NIKUMBUSHE WA KWANZA KUTOKA MUREMBE KATIYAKO NA ZANZIBAR SPICE NI NANI VILE???
NAKUMBUKA KKCHEKESHO CHENU MNAENDESHA NDEGE ARDHINI
UKAULIZWA Mbona WEWE USHUKI WENZIO WASHASHUKA UKAJIBU NASUBIRI TRAFFICLIGHT ZA UBUNGO ZIRUHUSU
Sawia kabisa. Na nyingine ni Haydom Hospitali, ipo Mbulu Manyara. Ile inatoa tiba mapka kwa walioathirika na dawa za kulevya na ulevi wa pombe uliopitiliza kiwango.
Mkuu shine sitosahau siku unakuja sehemu ya chakula unadai ndio bfast Yako sitosahau ingawa uliniambia
Usintangaze na wwewe
Kantangaze
Samahani kwahili
Nimekutana na maswali mengi kuhusu hospitali hospitali yenye ubora wa kutoa huduma nzuri ya kuridhisa ukiacham Agha Khan na TMJ.
Leo nimeona tuweze kupeana habari kuhusu hospitali nzuri ya vichaa mbadala wa hospitali ya Mirembe kule Dodoma.
Asanteni sana.
Hospitali Nzuri Na Bora Kwa Sasa Ni UKAWA na TANZANIA KWANZA Na Zinapatikana Nchi Nzima.
Nimekutana na maswali mengi kuhusu hospitali hospitali yenye ubora wa kutoa huduma nzuri ya kuridhisa ukiacham Agha Khan na TMJ.
Leo nimeona tuweze kupeana habari kuhusu hospitali nzuri ya vichaa mbadala wa hospitali ya Mirembe kule Dodoma.
Asanteni sana.
Lutindi Mental ipo Korogwe !