Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Juzi juzi hapa Donors walitaka kuinyima misaada Uganda kisa wamekataa wanaume kuoana, David cameroon nae alituambia watanzaia kuwa kama tunataka misaada basi tukubali wanaume waoane. Wazimbabwe mpaka leo hawapo in good terms na wafadhiri kisa ardhi yao, kila kona hawa Donors wanajaribu kuimplement matakwa yao kisa misaada, namshangaa mtu mzima anayebeba ajenda ya Donors kukatalia misaada ya kibajeti kama jibu kuwa kunatatizo ndio maana wamekatalia misaada yao. Hawa watu wamechoka kutusaidia, wanakosa tu namna nzuri ya kutunyima hivyo visenti vyao. Na hii nchi haina shida ya misaada ilikosa tu viongozi wenye maono ya mbali kama JK.
Endeleeni tu kulegeza sauti huku mkilalamika mmenyimwa misaada, ipo siku mtaombwa migongo wafadhiri wapande harafu mpewe misaada, sijui mtawapa migongo yenu????
Kiukweli pamoja na madhaifu yake yote hadi kuitwa Mr. Dhaifu, lazima nikiri kwa hili, JK amenifurahisha sana!, ni kiburi, jeuri na mtu wa msimamo wa kulinda his dignity na national pride!. Kama mlidhani JK atawatetemekea hao wafadhili kwa kwenda kujikomba komba kwao na kuwalamba viatu, ili watupe hiyo general budget support!, mmenoa!. No way!, JK sometimes ni mtu wa misimamo isiyo yumba!, tena namshauri kama vipi, sio tuu wakwende zao na hiyo budget support yao, bali tuwatimulie mbali, wakwende makwao, na miradi yote waiache tuwakabidhi Wachina tujue moja kuliko kutunyanyasa na kutudhalilisha kwa umasikini wetu, japo wa kujitakia!, hivyo kuitumia hiyo misaada kama fimbo ya kutuchapia!.
Hili la mimi na njaa, ni kweli, ila uzuri wangu, sio tuu nimezoea kulala njaa, bali Pasco wa jf ni kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda!. Hao wafadhili na wakwende zao na hiyo budget support yao, ili na nyinyi mliozoea kulalia shibe, mjifunze kulala njaa kama sisi!, tena ni vuzuri tuirudie tiba yetu ya mitishamba ndio tukaitibie humo mahospitalini!, kwani kabla hawajaja tulikuwaje hadi wakatukuta?, na wakiondoka watatuacha kama walivyotukuta!.
Huu mtindo wa kuwanyenyekea mno wafadhili eti tu kwa sababu ya fedha zao, kunawafanya wengine wetu mnageuka vibaraka wa wazungu!. Na wewe mkuu BAK, usije jikuta uu miongoni mwa hawa "Puppets":Namna ya Kujitambua Kama Uu Miongoni Mwao!.
Pasco
Blah blah blah, blah blah blah, blah blah.
We will now see super experts who think they are superior and better than PCCB and CAG in this thread.
Tanzanians love gossip and rumors, simply mere talks.
Juzi juzi hapa Donors walitaka kuinyima misaada Uganda kisa wamekataa wanaume kuoana, David cameroon nae alituambia watanzaia kuwa kama tunataka misaada basi tukubali wanaume waoane. Wazimbabwe mpaka leo hawapo in good terms na wafadhiri kisa ardhi yao, kila kona hawa Donors wanajaribu kuimplement matakwa yao kisa misaada, namshangaa mtu mzima anayebeba ajenda ya Donors kukatalia misaada ya kibajeti kama jibu kuwa kunatatizo ndio maana wamekatalia misaada yao. Hawa watu wamechoka kutusaidia, wanakosa tu namna nzuri ya kutunyima hivyo visenti vyao. Na hii nchi haina shida ya misaada ilikosa tu viongozi wenye maono ya mbali kama JK.
Endeleeni tu kulegeza sauti huku mkilalamika mmenyimwa misaada, ipo siku mtaombwa migongo wafadhiri wapande harafu mpewe misaada, sijui mtawapa migongo yenu????
Blah blah blah, blah blah blah, blah blah.
We will now see super experts who think they are superior and better than PCCB and CAG in this thread.
Tanzanians love gossip and rumors, simply mere talks.
Kikwete ameanza lini kufanya kazi au kuteua experts, utoh ni std 7 yuko na vocational skill ya accounting wenyewe mnaita CPA T, hoseah hajafanya continuous professional development toka 2007 alipopata certificate ya economics of corruption hivyo ni obsolete for 7 years.
Pasco E. Lowasa bwanaKiukweli pamoja na madhaifu yake yote hadi kuitwa Mr. Dhaifu, lazima nikiri kwa hili, JK amenifurahisha sana!, ni kiburi, jeuri na mtu wa msimamo wa kulinda his dignity na national pride!. Kama mlidhani JK atawatetemekea hao wafadhili kwa kwenda kujikomba komba kwao na kuwalamba viatu, ili watupe hiyo general budget support!, mmenoa!. No way!, JK sometimes ni mtu wa misimamo isiyo yumba!, tena namshauri kama vipi, sio tuu wakwende zao na hiyo budget support yao, bali tuwatimulie mbali, wakwende makwao, na miradi yote waiache tuwakabidhi Wachina tujue moja kuliko kutunyanyasa na kutudhalilisha kwa umasikini wetu, japo wa kujitakia!, hivyo kuitumia hiyo misaada kama fimbo ya kutuchapia!.
Hili la mimi na njaa, ni kweli, ila uzuri wangu, sio tuu nimezoea kulala njaa, bali Pasco wa jf ni kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda!. Hao wafadhili na wakwende zao na hiyo budget support yao, ili na nyinyi mliozoea kulalia shibe, mjifunze kulala njaa kama sisi!, tena ni vuzuri tuirudie tiba yetu ya mitishamba ndio tukaitibie humo mahospitalini!, kwani kabla hawajaja tulikuwaje hadi wakatukuta?, na wakiondoka watatuacha kama walivyotukuta!.
Huu mtindo wa kuwanyenyekea mno wafadhili eti tu kwa sababu ya fedha zao, kunawafanya wengine wetu mnageuka vibaraka wa wazungu!. Na wewe mkuu BAK, usije jikuta uu miongoni mwa hawa "Puppets":Namna ya Kujitambua Kama Uu Miongoni Mwao!.
Pasco
Kama alipotoa ahadi ya maisha bora kwa kila Mtanzania, ahadi hiyo iliendana na time frame ya utekelezaji, then nitakubaliana na wewe, hajafanya kitu, lakini ahadi ile ilitolewa bila time frame, hivyo ni kweli kabisa maisha bora kwa kila Mtanzania, yanakuja!, ile miaka 10 ya JK ndio ilikuwa miaka ya maandalizi, mabarabara si unayaona?!, miundombinu si unaiona?!, kilimo kwanza si unaiona, gesi si unaiona etc, sasa CCM inahitaji miaka mingine 10 kutekeleza, hivyo Watanzania tuungane na kuipa CCM chini ya EL, miaka mingine kumi tuu!, ili wayakamilishe haya!.Ningekuwa puppet wa nchi za Wafadhili basi nisingeunga mkono maamuzi aliyoyafanya Mwalimu alipopewa masharti makali na WB na IMF ili nchi ipatiwe mkopo ikiwemo kushusha thamani ya shilingi. Huyu DHAIFU unayemfurahia ndiyo huyu huyu aliyetumia rushwa ya mabilioni ili kumchafua SAS pesa za kutoka kwa mafisadi, ndiye huyu huyu aliyeahidi maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana, ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya, Kilimo kwanza, BRN lakini hakuna hata kimoja kilochotimia zaidi ya deni la Taifa kuongezeka kwa muda mfupi sana toka 22 Trilioni shilingi na kufikia 31 Trilioni!!!!! Una mapungufu fulani ya akili weye! Si bure uwe unaandika pumba kiasi hiki.
Endeleeni kujitapisha tu!!
Ukweli utabaki kuwa ukweli pamoja na maneno mengi mnayoyapamba vizuri lakini fedha za escrow hazikuwahi kuwa fedha za umma hata siku moja, hamuwezi kudanganya umma tena. Nawaomba IPTl/PAP waendelee kutoa elimu kama walivyofanya kupitia televisheni, zoezi hilo liwe endelevu.
Watanzania wenzetu wameajiriwa na kampuni ya IPTL/PAP nyie mnasema ni kampuni hewa, vichaa nyie!!
Mkuu Kaisari, ni kweli jina langu lilipelekwa, kwa ajili ya vetting ya yule "mtu anayekubalika", kwanza nikakutikana mimi sina chama, pili "mimi sio mtu wa kukubalika!", na tatu membership yangu humu jf na comments zangu humu zomeniponza!, na haswa baada ya kupandisha nyuzi kama hizi.Pasco E. Lowasa bwana
Haya,mtaalam wangu. unajua kuji-position vyema kweli kweli.
Inabidi nikutafute unipe "maarifa"
Pia kuna kale kamkakati ka JK na kina S.N.Rweye, ka kutafuta moderators wa chaguo letu kuhusu katiba,kanakuhusu wewe pia. Unafaa kuwa "mwenzetu'
Kama alipotoa ahadi ya maisha bora kwa kila Mtanzania, ahadi hiyo iliendana na time frame ya utekelezaji, then nitakubaliana na wewe, hajafanya kitu, lakini ahadi ile ilitolewa bila time frame, hivyo ni kweli kabisa maisha bora kwa kila Mtanzania, yanakuja!, ile miaka 10 ya JK ndio ilikuwa miaka ya maandalizi, mabarabara si unayaona?!, miundombinu si unaiona?!, kilimo kwanza si unaiona, gesi si unaiona etc, sasa CCM inahitaji miaka mingine 10 kutekeleza, hivyo Watanzania tuungane na kuipa CCM chini ya EL, miaka mingine kumi tuu!, ili wayakamilishe haya!.
Hata Nyerere alipotangaza Azimio la Arusha na siasa ya Ujamaa na Kujitegemea, alisema itatuchukua miaka 30 kujenga Ujamaa!, miaka 30 ilipopita, akakiri tulifanya kosa, ila kufanya kosa sii kosa, kosa ni kurudia kosa!. Katika safari ya kuelekea maisha bora kwa kila Mtanzania, kuna makosa madogo modogo yamefanyika, ikiwemo virushwa vidogo vido vinavyoitwa grand corruption, na ufisadi mdogo mdogo wa tujisenti twa Mtanzania, huduma duni za afya na elimu, na Mzee kuwa bize sana na safari za hapa na pale, kulikopelekea usimamizi duni!, 2015 Vasco, anapumzika na tunaingiza Jembe, EL, Tanzania sio tuu itakuwa na maisha bora kwa kila Mtanzania, bali kiukweli kabisa, mambo nchi nzima yatatoa maziwa na asali!, kama unabisha, ngoja wampitishe EL uone!, na wasipompitisha...patachimbika!.
Hilo deni lote la huto tujisenti, trilioni 31, tukijumlisha na tujisenti twa kura ya maoni na uchaguzi mkuu, tutafika trilioni 50!, tutaliclear ndani ya mwaka mmoja tuu kwa uchumi wa gesi!, ndio maana hata bila sera wala sheria, tuko very bize kugawa vitalu vyote vya gesi ili ikiwezekana kuivuna gesi yote!.
Wasiwasi wa nini?!.
Hili la mapungufu ya akili, nakiri, ndio maana mpaka leo niko jobless nikishinda humu jf!.
Pasco
Lakini saa ingine anasema ukweli,hawa western hawafai kabisaPasco E. Lowasa bwana
Haya,mtaalam wangu. unajua kuji-position vyema kweli kweli.
Inabidi nikutafute unipe "maarifa"
Pia kuna kale kamkakati ka JK na kina S.N.Rweye, ka kutafuta moderators wa chaguo letu kuhusu katiba,kanakuhusu wewe pia. Unafaa kuwa "mwenzetu'
Juzi juzi hapa Donors walitaka kuinyima misaada Uganda kisa wamekataa wanaume kuoana, David cameroon nae alituambia watanzaia kuwa kama tunataka misaada basi tukubali wanaume waoane. Wazimbabwe mpaka leo hawapo in good terms na wafadhiri kisa ardhi yao, kila kona hawa Donors wanajaribu kuimplement matakwa yao kisa misaada, namshangaa mtu mzima anayebeba ajenda ya Donors kukatalia misaada ya kibajeti kama jibu kuwa kunatatizo ndio maana wamekatalia misaada yao. Hawa watu wamechoka kutusaidia, wanakosa tu namna nzuri ya kutunyima hivyo visenti vyao. Na hii nchi haina shida ya misaada ilikosa tu viongozi wenye maono ya mbali kama JK.
Endeleeni tu kulegeza sauti huku mkilalamika mmenyimwa misaada, ipo siku mtaombwa migongo wafadhiri wapande harafu mpewe misaada, sijui mtawapa migongo yenu????
Unaelewa maana ya fedha ya umma? Ile pesa katika Escrow account ilikuwa ikiwekwa na TANESCO. TANESCO siyo shirika la umma? Kama ni shirika la umma kwa nini isiwe pesa ya umma? Hii ni pesa ya umma iliyoenda kwenye kampuni binafsi. Umma una haki ya kujua kama malipo yalikuwa halali.
Hapa kinachochunguzwa zaidi ni uamuzi wa mahakama, na utekelezaji wa maamuzi ya mahakama. Unafahamu hiyo account kwa nini ilifunguliwa, na kwa nini TANESCO haikuilipa moja kwa moja IPTL? Hawa walioibua hili jambo siyo wapumbavu, wahisani waliositisha misaada yao waliokwishaiahidi serikali ya Tz siyo wajinga, na hawawezi kufikia uamuzi huo eti kwa vile tu Kafulila katamka. Wao pia wana vyombo vyao wanavyovitumia ili kukusanya taarifa na kisha kufikia uamuzi.
Na ufahamu pia akina Kafulila hawafanyi kazi IPTL wala BOT. Taarifa hizi zinatolewa na maofisa wa BOT wanaofahamu kwa undani kasoro zinazohusiana na utoaji wa pesa hiyo kutoka kwenye hiyo account. Kama jambo hili lingekuwa ni rahisi kama unavyofikiria, isingewezekana taasisi zote hizi ikiwa pamoja na mataifa wahisani wakajiingiza kiasi hiki katika suala hili.
Tutulie, tusubirie ripoti na tuone maamuzi ya mwisho.