Hoseah submits escrow account probe dossier

Hoseah submits escrow account probe dossier

PCCB boss Edward Hoseah By The Citizen Reporters
Posted Tuesday, November 4 2014 at 07:44
In Summary

  • INVESTIGATION: As CAG stands accused of dilly-dallying, the anti-corruption bureau moves to submit a detailed report on IPTL
Mkuu BAK, natoa angalizo tuu, usikute anaechelewesha ripoti ya CAG sio CAG, wala huyo acting CAG, bali ni pale ambapo ripoti ya CAG hupaswa ipite kwanza ndipo itinge Bungeni!.

Kwa msio jua, kabla ripoti ya CAG haijawasilishwa Bungeni, Ripoti hiyo inabidi kwanza ikabidhiwe kwa rais wa JMT (for what?), kisha rais akiisha ipokea ndipo iwasilishwe bungeni!.

Sasa inapotokea rais bado hajapata nafasi ya kuipokea, Acting CAG unategemea aseme nini?!. aseme kuwa ucheleweshaji huo unacheleweshwa na Ikulu?!, ni lazima Acting CAG, aseme ipo mezani kwake, bado anaisoma!.

Nilitegemea the last person kuilaumu ofisi ya CAG kwa ucheleweshaji wa ripoti hii ni ZZK, kwa sababu, ZZK kama Mwenyekiti wa PAC, he knows better how this things goes!.

Niliwahi kumuuliza CAG mwenyewe, kama ofisi ya CAG ni independence office, na Ripoti za CAG zinapaswa kuwasilishwa Bungeni, jee kipengele kinacholazimisha kwanza ripoti hizo ni lazima zikabidhiwe kwa rais, ni cha nini?!. Sikupata jibu la maana!.

Pasco.
 
Mkuu Pasco hii ripoti ina umuhimu mkubwa sana kwa Watanzania hasa ukitilia maanani kwamba nchi Wafadhili zimeweka mgomo wa kutoa shilingi Trilioni moja kusaidia bajeti ya 2014/2015 mpaka waipitie ripoti hiyo na kuridhika nayo. Haihitajiki miezi minne ili kuweza kuipitia hii ripoti kabla ya kuifikisha Bungeni. Kwa Serikali ambayo inajali utendaji wake, maslahi ya nchi na wananchi hii ripoti ingepewa kipaumbele kikubwa ili ijadiliwe Bungeni haraka sana, lakini kwenye Serikali DHAIFU na ya kidhalimu ripoti hii haina haraka yoyote ili kuendelea kuficha wizi huu mkubwa na ukitilia maanani mwakani kuna uchaguzi mkuu basi usishangae wakaendelea kuipotezea na hivyo kutojadiliwa kabisa Bungeni.

==> Ur such a crook, useless & mavi kabisa, i can't wait to see u being hanged & stoned to death...!!!

==> Not even low IQ..u don't hv it...!!! KICHWA KIBUYU
kabisa...

Blah blah blah, blah blah blah, blah blah.

We will now see super experts who think they are superior and better than PCCB and CAG in this thread.

Tanzanians love gossip and rumors, simply mere talks.
 
Ni wahuni tu hawa mafisadi wakubwa kudai shilingi bilioni 70 kati ya shilingi 139 bilioni zinerudishwa na hao wezi, halafu washindwe kutoa majina ya waliorudisha na kiasi kilichorudishwa na kila mwizi. Kumbuka kauli ya Pinda P, "Wezi wa EPA ni matajiri wakubwa sana nchini kama wakikamatwa basi nchi itawaka moto."

Nacki zile zilzorud ilikua ktk form ya afadhali na sie tumepata mlitaka mle peke yenu! hakuna hata dawati moja lililonunuliwa wala hatujui ziko wapi na waliorudisha hawajulikan!!!!
 
again bwi bwi bwi bwi !!!! Subirini nyinyi ripoti ikamilike siyo mihogo hiyo kwamba inajurikana imekomaa baisi inachimbwa tumbiri nyie. Mmekuwa wajuzi wa kulaumu sijui huu ufundi wa kulaumu mmeutoa wapi maana mmefuzu hasa!!!

Angalizo ripoti haiwezi kuja na ukweli tofauti kuwa fedha za escrow siyo za fedha za umma! Na mkumbuke kuwa hata visenti vyenyewe havikutosha bado serikali inadaiwa.

vlcsnap-2014-11-04-17h44m36s216.jpg vlcsnap-2014-11-04-17h49m03s72.jpg View attachment 199159 vlcsnap-2014-11-04-17h54m26s224.jpg vlcsnap-2014-11-04-17h58m26s64.jpg vlcsnap-2014-11-04-18h08m14s79.jpg vlcsnap-2014-11-04-17h54m14s97.jpg

wengi wanaelewa bado wale walioigeuza kuwa propaganda ya chama chao tu.

Attachments

  • vlcsnap-2014-11-04-17h59m18s59.jpg
    vlcsnap-2014-11-04-17h59m18s59.jpg
    152.6 KB · Views: 307
Mkuu BAK si juzi tulikuwa na harambee ya kuchangia ujenzi wa madawati zile hazikutosha kabisa bana na si unajua zile zilinunua madawati machache sana kwa hiyo ndo maana PM alikuwa na Harambee ya kuchangia madawati juzi hapa.
Mkuu Bilioni Sabibi ni chache sana kwa madawati hayatatosha na wewe unataka wakuu wale wapi wakati wanapitisha mchanganuo huo wa budget ya kununulia madawati. Maana tukitumia Bil 10 hapo kwa vikao na Bil 10 kwa ajili ya kutangaza tender na Bil 10 kwa ajili ya kupitisha mkandarasi na pia Bil nyingine zikatumika kwa ajili ya safari za kufuatilia utengenezaji wa madfawati na tukatengeneza madawati ya Mili 100 tuu hapo si yanatosha Mkuu BAK

Na za kuweka kwenye zile account zetu ughaibuni umezihesabu? Maana kama hii katiba ya kifisadi ikipita halafu hatujafungua account zetu maeneo itakuwaje?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Pasco hii ripoti ina umuhimu mkubwa sana kwa Watanzania hasa ukitilia maanani kwamba nchi Wafadhili zimeweka mgomo wa kutoa shilingi Trilioni moja kusaidia bajeti ya 2014/2015 mpaka waipitie ripoti hiyo na kuridhika nayo. Haihitajiki miezi minne ili kuweza kuipitia hii ripoti kabla ya kuifikisha Bungeni. Kwa Serikali ambayo inajali utendaji wake, maslahi ya nchi na wananchi hii ripoti ingepewa kipaumbele kikubwa ili ijadiliwe Bungeni haraka sana, lakini kwenye Serikali DHAIFU na ya kidhalimu ripoti hii haina haraka yoyote ili kuendelea kuficha wizi huu mkubwa na ukitilia maanani mwakani kuna uchaguzi mkuu basi usishangae wakaendelea kuipotezea na hivyo kutojadiliwa kabisa Bungeni.
Mkuu BAK, kwa maoni yangu, serikali inafanya vyema sana kuichelewesha, ili angalau tutunze national pride, kuwa Tanzania ni independent nation, licha ya umasikini wetu and as beggers as we are, hutukubali kuendesha na nchi mabeberu kwa kisingizio cha kuizuia miasaada ya budget support!, to hell with their budget support, tena ningekuwa mimi ndio JK, ningewashauri kabisa wafungashe virago vyao, warudi zao makawao, ili sisi Watanzania sasa tuanze kuishi in reality kwa kutumia only tunachozalisha!, hivyo kutupunguzia kidogo ule ugonjwa unaitwa "dependant syndrome!"

Tena mchangiaji mkuu wa budget support ni UK ambaye sio tuu, ndio aliyetunyonya sana wa,kati wa ukoloni, bali amekuwa akiendeleza ukoloni mamboleo na ubeberu kupitia misaada yake lukuki, na kikubwa zaidi ndie nchi ambayo imepanga sio tena kuendelea kutunyonya bali kutukamua kabisa katika gesi!.

We have had enough!, na hata ningekuwa mimi JK, najua tumeibahela za IPTL, wafadhili wamesimamisha misaada kuisubiri ripoti itoke, ripoti imetoka kweli tumeiba, tutaitangaza?!. Mtu ulikate tawi la mti ulio kalia, kisa tujisenti twa misaada?!.

Ripoti itazuiliwa kwanza, tuirekebishe vizuri kuwa hakuna wizi, ndipo tuitoe!.

Kwani kwenye Rada kulikuwa na wizi?!, au EPA ilikuwa Wizi?, kwenye Gulf Stream Jee?, Deep Green?, Meremeta? and list goes on!, kwani nani ameshitakiwa, au kuwajibishwa?!.

I love my country Tanzania!.

Mungu Ibariki Tanzania!.

Kidumu Chama cha Mapinduzi!.

Pasco.
 
Ukizingatia kuna pesa za wahisani zinasubiriwa hapo wachangie budget watu waende holiday Christmass na new year....lazima waichakachue hiyo report.
 
==> Ur such a crook, useless & mavi kabisa, i can't wait to see u being hanged & stoned to death...!!!

==> Not even low IQ..u don't hv it...!!! KICHWA KIBUYU
kabisa...

That is what I usually call "kubwabwaja na kuhororoja bila mpango".
 
Endeleeni kujitapisha tu!!

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Ukweli utabaki kuwa ukweli pamoja na maneno mengi mnayoyapamba vizuri lakini fedha za escrow hazikuwahi kuwa fedha za umma hata siku moja, hamuwezi kudanganya umma tena. Nawaomba IPTl/PAP waendelee kutoa elimu kama walivyofanya kupitia televisheni, zoezi hilo liwe endelevu.
Watanzania wenzetu wameajiriwa na kampuni ya IPTL/PAP nyie mnasema ni kampuni hewa, vichaa nyie!!
 
BAK mtasubiri sana matokeo ya hii report na kama watakuw ana guts za kufanya lolote au watasamehewa na kuambiwa wazirudishe fedha kama wale wa EPA au watakutwa na hatia na wataambiwa wajuiuzulu na mchezo umeisha au kesi iende mahakamani iwe kama ya akina Mramba na Yona haiishi.

Kwa kuwa ni wakubwa na wana fedha ila wewe iba kuku kama hutachomwa moto au ukibahatika kupona ukienda mahakamani kesi yako haichukui siku mbili ushahukumiwa kifungo

BAK naona upo kazini,kafulila ameongeza dau nini?naona juhudi zako.
 
Mnajitia vidole na kucheka wenyewe eeehhh!

attachment.php

attachment.php

fedha ya escrow account haijawahi wala haitakuja kuwa mali ya umma hata kama ikitengenezwa ripoti na MBOWE.

Acha ungese wewe zilikuwa pesa hazikuwa za Umma kwanini serikali ipoteze pesa kuchunguza kitu ambacho hakiwahusu?
 
Acha ungese wewe zilikuwa pesa hazikuwa za Umma kwanini serikali ipoteze pesa kuchunguza kitu ambacho hakiwahusu?

We MBW@ sikia mimwenyewe matusi kum@ wewe!! CAG anafanya uchunguzi na bado watu wanalalamika kuwa ripoti haitoki, je usingefanyika uchunguzi??? unaniquote kwa ujinga wa hivyo kigori wewe, koma kabisa kilaza wewe! kama huna ufahamu wa kutosha kaa pembeni upate maarifa kutoka kwa wenzako!!!!!!

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
ilikuwa zitumike pia kunulia vitabu.

Mkuu
BAK si juzi tulikuwa na harambee ya kuchangia
ujenzi wa madawati zile hazikutosha kabisa bana na si unajua zile
zilinunua madawati machache sana kwa hiyo ndo maana PM alikuwa na
Harambee ya kuchangia madawati juzi hapa.
Mkuu Bilioni Sabibi ni chache sana kwa madawati hayatatosha na wewe
unataka wakuu wale wapi wakati wanapitisha mchanganuo huo wa budget ya
kununulia madawati. Maana tukitumia Bil 10 hapo kwa vikao na Bil 10 kwa
ajili ya kutangaza tender na Bil 10 kwa ajili ya kupitisha mkandarasi na
pia Bil nyingine zikatumika kwa ajili ya safari za kufuatilia
utengenezaji wa madfawati na tukatengeneza madawati ya Mili 100 tuu hapo
si yanatosha Mkuu BAK
 
Last edited by a moderator:
Msipoteane tu au msianze kubweka kuwa ripoti imechakachuliwa!! Maana mnaonekana wazi ni mashabiki na mmeshapanga matokeo yenu!!

vlcsnap-2014-11-04-18h08m49s156.jpg vlcsnap-2014-11-04-18h09m56s71.jpg vlcsnap-2014-11-04-17h58m50s42.jpg vlcsnap-2014-11-04-18h07m46s42.jpg vlcsnap-2014-11-04-17h47m40s8.jpg

hakuna ufisadi tumezistukia propaganda zenu, mnatafuta hoja ya kuwatoa kisiasa.
 
Pride ya Wakwapuzi kukwapua shilingi bilioni 200 za walipa kodi huku kila huduma nchini elimu, maji, usafiri, umeme zikizidi kudorora halafu hao waliomo ndani ya Serikali dhalimu na ya kifisadi wakilaumu maamuzi ya Wafadhili kukataa kutoa pesa zao eti uamuzi wao unaathiri bajeti ya Serikali na huyu DHAIFU kuikimbia nchi ili asiulizwe chochote kuhusiana na wizi wa pesa hizo na ripoti ya CAG/PCCB. Huo ni umbulula kamwe hauwezi kuitwa pride labda kwa watu wenye njaa kama wewe na wanaopenda kujipendekeza pia kama Pasco.

Mkuu BAK, kwa maoni yangu, serikali inafanya vyema sana kuichelewesha, ili angalau tutunze national pride, kuwa Tanzania ni independent nation, licha ya umasikini wetu and as beggers as we are, hutukubali kuendesha na nchi mabeberu kwa kisingizio cha kuizuia miasaada ya budget support!, to hell with their budget support, tena ningekuwa mimi ndio JK, ningewashauri kabisa wafungashe virago vyao, warudi zao makawao, ili sisi Watanzania sasa tuanze kuishi in reality kwa kutumia only tunachozalisha!, hivyo kutupunguzia kidogo ule ugonjwa unaitwa "dependant syndrome!"

Tena mchangiaji mkuu wa budget support ni UK ambaye sio tuu, ndio aliyetunyonya sana wa,kati wa ukoloni, bali amekuwa akiendeleza ukoloni mamboleo na ubeberu kupitia misaada yake lukuki, na kikubwa zaidi ndie nchi ambayo imepanga sio tena kuendelea kutunyonya bali kutukamua kabisa katika gesi!.

We have had enough!, na hata ningekuwa mimi JK, najua tumeibahela za IPTL, wafadhili wamesimamisha misaada kuisubiri ripoti itoke, ripoti imetoka kweli tumeiba, tutaitangaza?!. Mtu ulikate tawi la mti ulio kalia, kisa tujisenti twa misaada?!.

Ripoti itazuiliwa kwanza, tuirekebishe vizuri kuwa hakuna wizi, ndipo tuitoe!.

Kwani kwenye Rada kulikuwa na wizi?!, au EPA ilikuwa Wizi?, kwenye Gulf Stream Jee?, Deep Green?, Meremeta? and list goes on!, kwani nani ameshitakiwa, au kuwajibishwa?!.

I love my country Tanzania!.

Mungu Ibariki Tanzania!.

Kidumu Chama cha Mapinduzi!.

Pasco.
 
MALIZENI MANENO YOTE, LAKINI TUNAOMBA MUIKUBALI RIPOTI YA UCHUNGUZI ITAYOWAKILISHWA. MSIJE KUBADILI MANENO.

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Pride ya Wakwapuzi kukwapua shilingi bilioni 200 za walipa kodi huku kila huduma nchini elimu, maji, usafiri, umeme zikizidi kudorora halafu hao waliomo ndani ya Serikali dhalimu na ya kifisadi wakilaumu maamuzi ya Wafadhili kukataa kutoa pesa zao eti uamuzi wao unaathiri bajeti ya Serikali na huyu DHAIFU kuikimbia nchi ili asiulizwe chochote kuhusiana na wizi wa pesa hizo na ripoti ya CAG/PCCB. Huo ni umbulula kamwe hauwezi kuitwa pride labda kwa watu wenye njaa kama wewe na wanaopenda kujipendekeza pia kama Pasco.
Kiukweli pamoja na madhaifu yake yote hadi kuitwa Mr. Dhaifu, lazima nikiri kwa hili, JK amenifurahisha sana!, ni kiburi, jeuri na mtu wa msimamo wa kulinda his dignity na national pride!. Kama mlidhani JK atawatetemekea hao wafadhili kwa kwenda kujikomba komba kwao na kuwalamba viatu, ili watupe hiyo general budget support!, mmenoa!. No way!, JK sometimes ni mtu wa misimamo isiyo yumba!, tena namshauri kama vipi, sio tuu wakwende zao na hiyo budget support yao, bali tuwatimulie mbali, wakwende makwao, na miradi yote waiache tuwakabidhi Wachina tujue moja kuliko kutunyanyasa na kutudhalilisha kwa umasikini wetu, japo wa kujitakia!, hivyo kuitumia hiyo misaada kama fimbo ya kutuchapia!.

Hili la mimi na njaa, ni kweli, ila uzuri wangu, sio tuu nimezoea kulala njaa, bali Pasco wa jf ni kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda!. Hao wafadhili na wakwende zao na hiyo budget support yao, ili na nyinyi mliozoea kulalia shibe, mjifunze kulala njaa kama sisi!, tena ni vuzuri tuirudie tiba yetu ya mitishamba ndio tukaitibie humo mahospitalini!, kwani kabla hawajaja tulikuwaje hadi wakatukuta?, na wakiondoka watatuacha kama walivyotukuta!.

Huu mtindo wa kuwanyenyekea mno wafadhili eti tu kwa sababu ya fedha zao, kunawafanya wengine wetu mnageuka vibaraka wa wazungu!. Na wewe mkuu BAK, usije jikuta uu miongoni mwa hawa "Puppets":Namna ya Kujitambua Kama Uu Miongoni Mwao!.

Pasco
 
Juzi juzi hapa Donors walitaka kuinyima misaada Uganda kisa wamekataa wanaume kuoana, David cameroon nae alituambia watanzaia kuwa kama tunataka misaada basi tukubali wanaume waoane. Wazimbabwe mpaka leo hawapo in good terms na wafadhiri kisa ardhi yao, kila kona hawa Donors wanajaribu kuimplement matakwa yao kisa misaada, namshangaa mtu mzima anayebeba ajenda ya Donors kukatalia misaada ya kibajeti kama jibu kuwa kunatatizo ndio maana wamekatalia misaada yao. Hawa watu wamechoka kutusaidia, wanakosa tu namna nzuri ya kutunyima hivyo visenti vyao. Na hii nchi haina shida ya misaada ilikosa tu viongozi wenye maono ya mbali kama JK.
Endeleeni tu kulegeza sauti huku mkilalamika mmenyimwa misaada, ipo siku mtaombwa migongo wafadhiri wapande harafu mpewe misaada, sijui mtawapa migongo yenu????

attachment.php

attachment.php
 
Back
Top Bottom