Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Juzi juzi hapa Donors walitaka kuinyima misaada Uganda kisa wamekataa wanaume kuoana, David cameroon nae alituambia watanzaia kuwa kama tunataka misaada basi tukubali wanaume waoane. Wazimbabwe mpaka leo hawapo in good terms na wafadhiri kisa ardhi yao, kila kona hawa Donors wanajaribu kuimplement matakwa yao kisa misaada, namshangaa mtu mzima anayebeba ajenda ya Donors kukatalia misaada ya kibajeti kama jibu kuwa kunatatizo ndio maana wamekatalia misaada yao. Hawa watu wamechoka kutusaidia, wanakosa tu namna nzuri ya kutunyima hivyo visenti vyao. Na hii nchi haina shida ya misaada ilikosa tu viongozi wenye maono ya mbali kama JK.
Endeleeni tu kulegeza sauti huku mkilalamika mmenyimwa misaada, ipo siku mtaombwa migongo wafadhiri wapande harafu mpewe misaada, sijui mtawapa migongo yenu????
![]()
![]()
Bw mdogo mwindi wa papu amekula minikabang nini? Maana naona unavua gagulo hadharani hapa na kukata viuno kama uko njenje. Dah, aibu namna hiyo kwa mtoto wa kiume kujionesha mbele za kadamnasi kuwa analiwa minikabang na gagulo limelowa...
By the way huyo JK wako mwenye maono anashinda kutembeza bakuli dunia nzima na juzi alikuwa Vietnam kuomba smart phones. Labda maono yake ni kuileta IPTL nchini kwa mara ya kwanza, na ujue akitoka tu JK liumeme lenu la IPTL litadoda mtajiuzia wenyewe maana shinikizo la Tanesco wanunue analoweka JK halitakuwepo