Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 10,823
- 14,453
View: https://youtube.com/shorts/QXKmNjDbk9U?si=eo_ckgeSH-mDtbep
Ujumbe ndio huo Iran anasema Israel kashambulia Iran lazima tufunge tena Hormuz hapa naona Iran anamtafuta Israel amtie adabu
Hio ni breaking news
Tatizo huna akili tazama unavyo poteza mda wa kuandika unarudia maneno yale yale. Bora nile kunde kuliko wewe unakula chakula kilicho tupwa kwenye mapipaWe jamaa ni likichaa kabisa na ushabiki wako maandazi huo wa yanga,
hao kobazi wamekubali suluhu baada ya kutandikwa vizuri saana tu.
Hiyo hormuz wataiota sasa hivi hawarudi tena pale.
We unaleta ubishi huku unajamba jamba hapo ushavimbiwa kunde.
Wanapigwa usanii waachie ili hao mazayuni wakae jumla.
Uwe unaenda kunya Punguza hayo Mavi yasipande kichwani.
Matako wewe
We jamaa ni likichaa kabisa na ushabiki wako maandazi huo wa yanga,
hao kobazi wamekubali suluhu baada ya kutandikwa vizuri saana tu.
Hiyo hormuz wataiota sasa hivi hawarudi tena pale.
We unaleta ubishi huku unajamba jamba hapo ushavimbiwa kunde.
Wanapigwa usanii waachie ili hao mazayuni wakae jumla.
Uwe unaenda kunya Punguza hayo Mavi yasipande kichwani.
Matako wewe
View: https://youtube.com/shorts/QXKmNjDbk9U?si=eo_ckgeSH-mDtbep
Ujumbe ndio huo Iran anasema Israel kashambulia Iran lazima tufunge tena Hormuz hapa naona Iran anamtafuta Israel amtie adabu
Hio ni breaking news
Kwa nini hudhani?Kama Israel amefanya hivi basi ategemee kisasi kizito.
Na Iran kamwe hatokubali tena kusitisha vita.
Na USA sidhani kama itaendelea kuisaidia Israel.
Kobazi katika ujinga wakoWe kenge Iran wanapenda nchi yao hawaogopi kufa tofouti na wale makenge wanao jivicha kuanzia viongozi mpaa wananchi wanaishi kwenye mashimo hahaha siku ngapi wapo kwenye mashimo hahaha
Tela Aviv imebaki kama Gaza kwa tarifa yako Iran wanahuruma tu hako kataifa fake kaliba jina la Prophet Jacob au Yakobo kwa kiswahili kakipigiwa Water Desalination Plant na Power station kamekwisha.
Sikalijidai kameimaliza Hezbullah mpaa leo kamemshindwa Hezbullah katamuweza Iran
Seneta wengi wa USA wameikataa hii vita. Hata sababu ya Trump ku demand ceasefire ni pressure ya maseneta wa USA pamoja na raia.Kwa nini hudhani?
Hacheni kuipa Israeli sifa za kijinga, Israeli ni waarifu wa kivita na wanafanya hivyo kwasababu ya kukingiwa kifua na marekani at UN.Kosa ni Hezbollah....
Israel na Marekani ni mataifa ambayo lazima wapigane vita uchumi ukue..
So as long unataka ugomvi nao lazima wapigane na Wewe
Israel imeonesha uwezo mkubwa sana wa kushambulia na utayari wa vita pengine zaidi ya Mataifa mengi sana Ulaya na NATO.
Israel ikipata Navy itakuwa ni taifa hatari sana kwenye vita.. kwenye hili Dunia tuwe makini sana
Kwa hiyo unataka wakae tu washambuliwe na maadui wanaotaka kuifuta kwenye ramani ya dunia wasijitetee kisa eti watatengwa na washirika si watengwe tu kama ni hivyo.Tabia za Israel zitapelekea Israel itengwe na washirika wake! Hali hii itawafanya wapitie magumu sana wasiyotarajia
Siku ile Hamas walipowavamia na kuua na kuteka watu zaidi ya 1,200 haikuwa shambulizi la kigaidi..!!!???😧😧😧Hacheni kuipa Israeli sifa za kijinga, Israeli ni waarifu wa kivita na wanafanya hivyo kwasababu ya kukingiwa kifua na marekani at UN.
Jana kapiga populated area tena kwa kushitukiza bila tahadhari, unaweza kusema ni shambulizi la kigaidi.
Shambulizi kama hilo lingafanywa na Iran sasahivi tungekuwa tunasikia binja zikipigwa na dunia nzima kulaaani hicho kitendo na kutishia kwenda kuipiga iran kwa hilo kosa
Israeli siku zote yeye anakimbilia kushambulia raia ili kujipatia ushindi wa halamu na ni kinyume na sheria za kivita
Umeanza kuisikia Israel Leo?Tabia za Israel zitapelekea Israel itengwe na washirika wake! Hali hii itawafanya wapitie magumu sana wasiyotarajia