loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 905
- 1,997
Hapana ni Sunni muslims kina Adiosamigo na The Icebreaker 😆😅🤣😂
Malaria na kina adiosamigo mje huku, ngoma yenu ya mabwabwa imeanza
View: https://youtube.com/shorts/QXKmNjDbk9U?si=eo_ckgeSH-mDtbep
Ujumbe ndio huo Iran anasema Israel kashambulia Iran lazima tufunge tena Hormuz hapa naona Iran anamtafuta Israel amtie adabu
Hio ni breaking news
Bahati mbaya vita hii imeondoka na uhai wa Basha wako Khomenei na wenzake 40 huku Israel na US hawajapoteza hata unywele wa kionjozi yoyote..Serekali ya Lebanon majinga kweli eti Iran hana haki ya ku deal na Israel kuhusu Lebanon, na Trump anadai Lebanon haipo kwenye ceasefire walio kubaliana. Pakistan inasema ipo kwenye makubaliano nadhani Shetanyahu hataki kumuwachia Trump akimbie
Sa Iran anataka kujitoa kwenye makubaliano kwa hio vita inarudi pale pale
Kosa ni Hezbollah....Israel yeye ni kutibua tu, anajaribu kwa nguvu zote kuzuia deal la amani kati ya Marekani na Iran
We msafisha vyoo hata uwe una majina 50+ mimi nakunasa tu sababu ukipita tu najua huyu ni lile shoga la Tela AvivBahati mbaya vita hii imeondoka na uhai wa Basha wako Khomenei na wenzake 40 huku Israel na US hawajapoteza hata unywele wa kionjozi yoyote..
Wacha fix wewe kwani hawana Navy hivi wewe unaishi njombe nini punguza kula nguruwe funza mpaa kwenye bonko lakoKosa ni Hezbollah....
Israel na Marekani ni mataifa ambayo lazima wapigane vita uchumi ukue..
So as long unataka ugomvi nao lazima wapigane na Wewe
Israel imeonesha uwezo mkubwa sana wa kushambulia na utayari wa vita pengine zaidi ya Mataifa mengi sana Ulaya na NATO.
Israel ikipata Navy itakuwa ni taifa hatari sana kwenye vita.. kwenye hili Dunia tuwe makini sana
Angalia vzr hiyo ID unaifananisha na nani ? JF tangu 2010 !We msafisha vyoo hata uwe una majina 50+ mimi nakunasa tu sababu ukipita tu najua huyu ni lile shoga la Tela Aviv
Israel isipopewa silaha na marekani na kulindwa kidiplomsia kwenye UN ingebehave kama mataifa mengine. Israel haiwezi kupambana na adui powerful bila kwenda kutembeza bakuli washingtonKosa ni Hezbollah....
Israel na Marekani ni mataifa ambayo lazima wapigane vita uchumi ukue..
So as long unataka ugomvi nao lazima wapigane na Wewe
Israel imeonesha uwezo mkubwa sana wa kushambulia na utayari wa vita pengine zaidi ya Mataifa mengi sana Ulaya na NATO.
Israel ikipata Navy itakuwa ni taifa hatari sana kwenye vita.. kwenye hili Dunia tuwe makini sana
Wewe ndiye unaju habari kuliko hata vyombo vya habari zote duniani hahahaNukuu kutoka Aljazeera:
"White House: Imesema kuwa mpango wa kusitisha mapigano wenye vipengele 10 uliotangazwa na Iran hauendani na masharti yaliyokubaliwa na Ikulu ya Marekani (White House) katika kusimamisha vita."
Zingatia:
Media za Tanzania hasa hizi za social media zimejawa na ushabiki, kinachoongelewa katika makubaliano ni kingine na wanachopost ni kingine. Hivyo ni rahisi kupotoshwa kama usipo kuwa makini.
Halafu elewa, utawala wa kishia wa Iran ni watu wa Taqiya, wamedanganya wananchi wao kwamba Marekani imekimbia vita na wao wameshinda. Wananchi kwasababu hawana internet wameingia line na kushangilia. Still Marekani na Israeli ndio wanatawala anga la Iran na majeshi yao bado yapo katika bahari wakisubiri amri ya mwisho ya amiri jeshi mkuu.
Pia, pendekezo la kusitisha mapigano kwa muda wa wiki mbili lilitolewa na Pakistan, baada ya kufanya mazungumzo na Iran na Marekani.
Iran ilikubali pendekezo hilo kwa masharti kwamba miundombinu yake isishambuliwe, ili kutoa nafasi ya kuanza mazungumzo rasmi.
Sharti jingine lilikuwa kufunguliwa kwa Mlango wa Hormuz, jambo ambalo Iran tayari imelitekeleza kwa shinikizo kutoka Marekani.
Kingine, Israeli isingekubali kusimamisha vita kwa masharti ya hovyo. Waliona lipo jambo la kufaa ndani yake ndio maana Netanyahu akakubali kasoro pendekezo la kutoshambulia Hezbollah ambalo pia Trump amelikataa. Ndio aje kukubali kutoa majeshi yake mashariki ya kati?
Hivyo mtu anayeipa Iran ushindi kwa wiki mbili za kusimamisha vita basi ni mgonjwa, hajui geopolitical inavyofanya kazi. Iran sasa hivi haiuzi mafuta maana bomba la kupeleka mafuta Kharg lilipigwa juzi na Israeli. Na moja ya demand ya Trump ni mafuta. Na sharti lingine zito la Trump hataki kufanya mazungumzo na IRGC bali utawala mpya ndani ya Iran.
Nitawaletea hapa uchambuzi wa tathimini ya vita ndio mtaona nani aliyepoteza hadi sasa.
Mimi sina time kuongea na vyensiAngalia vzr hiyo ID unaifananisha na nani ? JF tangu 2010 !
View: https://youtube.com/shorts/QXKmNjDbk9U?si=eo_ckgeSH-mDtbep
Ujumbe ndio huo Iran anasema Israel kashambulia Iran lazima tufunge tena Hormuz hapa naona Iran anamtafuta Israel amtie adabu
Hio ni breaking news
We kenge tatizo lako huwa hufahamu Hormuz imefunguliwa baada ya ceasefire na sasa Iran anasema ataifunga tena sababu ceasefire ilikuwa including Israel na Hezbullah lakini USA na Israel wamesema hakuna Lebanon wakati Pakistan kasema pia LebanonMwanzoni ilikataa kuwa Hormuz haijafunguliwa sasa hivi Unakula Matapishi yako mwenyewe kwa kusema itafungwa tena
Iran amtie Adabu Israel? au Iran anautaka tena inaonesha anaenjoy. Ujinga wa Iran yupo radhi kuwatoa muhanga raia wake asiowapenda haswahapa naona Iran anamtafuta Israel amtie adabu
We kenge Iran wanapenda nchi yao hawaogopi kufa tofouti na wale makenge wanao jivicha kuanzia viongozi mpaa wananchi wanaishi kwenye mashimo hahaha siku ngapi wapo kwenye mashimo hahahaIran amtie Adabu Israel? au Iran anautaka tena inaonesha anaenjoy. Ujinga wa Iran yupo radhi kuwatoa muhanga raia wake asiowapenda haswa