M mndenge New Member Sep 20, 2011 3 0 Sep 20, 2011 #1 Hodi humu ndani,naruhusika kukaa jamvini nami nipate kufua bongo zangu waungwana?
LiverpoolFC JF-Expert Member Apr 12, 2011 11,348 3,219 Sep 20, 2011 #2 Karibu jamvini Kamanda! Lakini umepitia sheria ya humu?
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,557 Sep 20, 2011 #3 ulishaziloweka mkuu au bado vizuri utumie maji ya kisima karibu sana mkuu ingia na hapa JamiiForums Disclaimer and Rules
ulishaziloweka mkuu au bado vizuri utumie maji ya kisima karibu sana mkuu ingia na hapa JamiiForums Disclaimer and Rules