Elections 2010 Hongereni wana Rombo kwa kummwaga Mramba

Hiyo ni aibu kwa Kikwete, aliyekwenda kumnyanyua mkono juu... bora asingeenda pengine hasira zingekua ndogo
 
Mkuu hata mm sikutegemea habari ndio hiyo, NEC tayari imeridhia, imagine is like ndoto kwangu, maana alisema YEYE ni Panga la ZAMANI ila makali ni yale yale, kumbe alikuwa panga butu maskini Mramba weeeeeeeee

Yes ..nilikuwa natafuta ...hayo maneneno ya Mkuu wa Nchi aliyotumia...kumnadi!!!

Panga la zamani...You r jocking...!!!

Sisi ni UTU ULE WA BABA WA TAIFA....usio pitwa na wakati...yaani its peoples power ... sio mapanga ya zamani!!!

Utu ni Utanzania...

Sasa Mapanaga ni nini? ...Ok Mapanga ya zamani ni .... UFISADI!!!!

Na Ufisadi sicho kilichoasisi Taifa hili!!! Taifa Hili lina wenyewe!!!

Utanzania sio ufsadi...CCM you need we say moree!!!
 
Mramba ametuaibisha Warombo! Asante sana Baba na Shangazi zangu kwa Kufanya kile nilichowaomba kufanya Asanteni sana
 
Hiyo ni aibu kwa Kikwete, aliyekwenda kumnyanyua mkono juu... bora asingeenda pengine hasira zingekua ndogo

Mheshimiwa Halisi!!

Hata mimi sasa nimekoma kuutaka na kuuchezea chezea u Head of State!!

Jk nafikiri amejinfunza na kama atabaki madarakani ..we real need to see him changed!!

Ai heshimu IKULU.... na ajue si kujitokea na kweda kunyanyua mikono ya watu hewani na kuiita mapanga ya zamani kumbe ni..kutetea na kuukumbatia ufiasadi!!

Kwanza nimekumbaka ... pale jangwani alituzodoa na huyu muheshimiwa ...!

Jamani tuheshimuni IKULU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jamani vipi yule VIJISENTI hebu tupeni mambo huko. Leteni rahaaa maana hata usingizi hakuna. Tufanye kahesabu kadogo
PESAMBILI+VIJISENTI=x
tafuta X
 
Kama ni kweli,this is God Himself walking on our land!!
Thank you Lord...let your presence be manifested!!!
 
Hiyo ni aibu kwa Kikwete, aliyekwenda kumnyanyua mkono juu... bora asingeenda pengine hasira zingekua ndogo

Kikwete alikuwa anashauriwa na Makamba kufanya mambo ya kipuuzi puuzi tu na yeye anaamini tu.
 
Mwalimu kule aliko amewatazama waja wake? Na katika heri za Mtakatifu Mathayo na kwa maana ya uchaguzi wetu nawaomba niwashirikishe haya: " Heri yenu wakiwatukana, wakiwadhulumu na kuwasingizia kila aina ya uovu kwa ajili yangu. Furahini na kushangilia maana tuzo lenu ni kubwa mbinguni. Hivi ndivyo walivyowadhulumu manabii wakiokuwako kabla yangu.
 
Back
Top Bottom