blackjapanese
Member
- Feb 28, 2016
- 90
- 27
Nawapongeza wanachadema na ukawa kwa ujumla kwa kumchagua meya wa jiji na ikulu kwa mara ya kwanza toka tupate uhuru wa bendera tuliokuwa nao.
Najua wengi mtashangaa niliposema uhuru wa bendera lkn ukweli wanachadema hawataumiza vichwa .
Lakini kubwa sana tumshukuru Mh Lowasa, mzee wa busara mungu ampe maisha marefu na amsaidie kupata haki yake aliyopokwa hata hapo 2020 ili akawe kiongozi mkubwa ndani ya nchi hii na kuliongoza Taifa hatimaye keki ya taifa iwe ya wote