Kuna mmoja nimeona ana msambwanda hatari yaani ndembe ndembeKweli kwenye marathon nyie mko vzuri
Asilimia kubwa ya wabongo marathon wanafanya show off tu, wanawake kuoneshaa misambwanda tu na Kuna midume nayo inaenda kuvizia madem tu
MK254
OvaView attachment 1373848
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule Kuna watu walikuwa wwnamkalia nyuma wao wanapiga chabo tu [emoji23][emoji23]Kuna mmoja nimeona ana msambwanda hatari yaani ndembe ndembe
Hahahaha yeah yaani ata mie ningekaa nyuma naangalia bonge la vibration na vile amevalia kicondom basii full rahaYule Kuna watu walikuwa wwnamkalia nyuma wao wanapiga chabo tu [emoji23][emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu hoiiiiHahahaha yeah yaani ata mie ningekaa nyuma naangalia bonge la vibration na vile amevalia kicondom basii full raha
Hahaha na vitumbua tena... Kweli ndio maana bonge
Sijui Kwa ninii siwaamini hasa ukichukulia kuna kiongozi wao mmoja wa riadha aliposema wanatumia dawa wakambishiabishia wakaizima
Nimependa vitumbua tu....mengine muachie ngoswe!!
Kuna mmoja nimeona ana msambwanda hatari yaani ndembe ndembe
Unaona mrembo kapiga kicondom cha pink... Hapo kweli ni marathon ama kwenda kutingisha msambwanda.... Kweli watu leo wame enjoy... Wale wazee wakuvutia picha kwaajili ya chaputa leo full raha hahahaha
Wamasai labla kwenye kurukaruka lakini sio kufukuza upepo.Tukiwa serious tukiwatrain wamasai au jamii za wafugaji,watatutoa kimasomaso,hawa siku zote maisha yao ni mchakamchaka
Wamasai labla kwenye kurukaruka lakini sio kufukuza upepo.
Hata Kenya wamasai wapo wengi lakini sijasikia hata mmasai mmoja huko ameibuka kidedea kwenye mashindano ya mbio.
Sent from my DUB-LX1 using Tapatalk
Hawa ndugu zangu na malindo watamwachia nanHuko huko pamoja na kuruka ruka kwao wakiwa trained vizuri kidogo watakuwa ni wakimbiaji wazuri sana mkuu
Manyara na Singida ndio tunaweza kupata wakimbiaji wazuri, mbulu huko watu wanakimbia balaaTukiwa serious tukiwatrain wamasai au jamii za wafugaji,watatutoa kimasomaso,hawa siku zote maisha yao ni mchakamchaka
Manyara na Singida ndio tunaweza kupata wakimbiaji wazuri, mbulu huko watu wanakimbia balaa
Manara angeamua kuwa wakwanza angeeza sema hakutaka sifa tu.