Hongereni wajinga Wafuatao...kwa sikukuu yenu murua.

Bado kuna yale makubwa jinga mapenda mitandao ya 'tigo' hayajui ni hatari kwa afya yao,yote nayapongeza yasherehekee kwa amani bana.lol
 
Sikukuuu hii bwana kumbe mnasherehekea kwa staili yenu! Happy sikukuu yenu!
Hebu wasubilie TP MAZEMBE wakupe zawadi wako lidawa!

Sikujua kama unaishabikia timu inayowakilisha ilala, wenzio tunashabikia timu inayowakilisha Tanzania.

Karibu Msimbazi...
 
Sikujua kama unaishabikia timu inayowakilisha ilala, wenzio tunashabikia timu inayowakilisha Tanzania.

Karibu Msimbazi...
Hili ni la msingi... Mkuu kama unataka tiketi sema kabisaaa, friends of simba wamesambaa kila kata kama shule za lowassa
 
Hili ni la msingi... Mkuu kama unataka tiketi sema kabisaaa, friends of simba wamesambaa kila kata kama shule za lowassa

Hahaha.....wajinga wa Yanga eti wameamua kuwa mashabiki wa TP Mazembe....

Yaani unaacha kumsifia mkeo unamsifiwa wa jirani.....Yanga majinga kabisa!...sikukuu yao leo
 
Hahaha.....wajinga wa Yanga eti wameamua kuwa mashabiki wa TP Mazembe....

Yaani unaacha kumsifia mkeo unamsifiwa wa jirani.....Yanga majinga kabisa!...sikukuu yao leo
si kosa lao... we ushaona wapi wanampigia magoti mfadhili, katibu, makamu wa mwenyekiti nk. kwao ni kupiga magoti, ushabiki mandazi na fitna. nadhani kukaa jangwani kumewaathiri kisaikolojia

wavae tu hata za sudan wakitaka
 
Hahaha...age mate umeua mazima.

pale Jangwani nasikia kulikuwa na mradi wa kutafiti mbu wanaoeneza malaria.....Hawa wajinga malaria itakuwa imewapanda kichwani.

Majinga kabisa, sikukuu yao leo.
 
Sikukuuu hii bwana kumbe mnasherehekea kwa staili yenu! Happy sikukuu yenu!
Hebu wasubilie TP MAZEMBE wakupe zawadi wako lidawa!

Tout Puissant Englebert na Lubumbashi? Libala ya Moise Katumbi kola ya maboko likolo..
 
Biya hazihitaji condom
Biya hazichoki
Biya hazisinzii
Hizi biya hizi,
Biya haziendi kwa babu wa loliondo.

Mngekua mnaoa bia kabisa!!!

Ila mkae mkijua bia hazipendi
Bia hazibembelezi
Bia hazina huruma
Bia hazisamehi
Bia hazizai
Bia hazipiki
Bia ..........na kuendelea!
 
Mngekua mnaoa bia kabisa!!!

Ila mkae mkijua bia hazipendi
Bia hazibembelezi
Bia hazina huruma
Bia hazisamehi
Bia hazizai
Bia hazipiki
Bia ..........na kuendelea!

:love:
Bia is in the AYYYYYEEEER!!!
:love:
 
hii sredi ndio kwanza naona leo. hehehe aspirin bana. ndo maana naona wagonjwa wameongezeka kumbe ulinipaisha?. senks bana
 
hii sredi ndio kwanza naona leo. hehehe aspirin bana. ndo maana naona wagonjwa wameongezeka kumbe ulinipaisha?. senks bana

Tatizo lako mai fellow tablet, kuna baadhi ya wagonjwa unawazidishia dozi kwa makusudi....unalowea hukohuko unaniachia wale ambao wakimeza kidonge kimoja tuu wanapona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…