Hapo si ndo shekilango!mkuu unaweza kukatia pale soko la big brother Kuna u turn pale
ukiacha ufinyu wa barabara! Shida nyingine ni pale watakaposhuka kwenye mabasi na kutaka kuvuka ili waingie pembeni mwa barabara! Magari katika barabara za kawaida yatalazimika kusimama mara kwa mara karibia kila kituo! Hapo ndo watatengeneza foleni za kufa mtu! Magari yatakuwa hayatembei kabisa!
Kama Amon Mpanju angekuwa anajitambua, angeyapigania haya, badala yake anakazania kusema "Chalinze tumewagaragaza, na Kalenga tumewagaragaza".Kweli kazi nzuri sana kwa miji ya kisasa
Kasoro ndogo tu ni kwamba Sio rafiki kwa walemavu wavuka njia.
Fuatilia Kipindi alichorusha Zembwela Jpili iliyopita sehem za kuvukia hasa kwa walemavu ndio utapata jibu.
Kweli mkuu barabara zimepunguzwa upana sana kiasi kwamba malori mawili kwenda sambamba kama ilivyokuwa zamani ni shida. Zamani ilikuwa magari makubwa na madogo yanaweza kwenda sambamba na kisha nafsi kubaki hata ya mwendesha baiskeli,pikipiki mtembea kwa miguu kupita lakini sasa ni shida. Labda kuwe na mpango wa kupunguza upana wa magari makubwa kama malori na mabasi
Wewe unauona kama uselfish! Lakini mradi lazima uangaliwe kwa ujumla wake! Yale mabasi yatakuwa yanapita may be kila baada ya dk 5 au 10. Inamaana kila baada ya dk 5 mpaka 10 katika kila kituo kutakuwa na stoppage ya magari! Hapo utakuwa hujapunguza foleni! Wakati lengo kubwa ni hilo! Wenzetu miradi kama hiyo katika vivuko watu wanavukia chini au juuu ya barabara!wewe lazima ni wale ambao hata kusimama kwenye zebra crossing mnaona tabu mpaka wapita njia wanawapisha nyinyi na magari yenu.....acheni u selfish mnajifikiria nyinyi tu magari yenu,kaeni kwenye foleni sisi watumia daladala tunahamia kwenye dart hakuna foleni
Kweli kazi nzuri sana kwa miji ya kisasa
Kasoro ndogo tu ni kwamba Sio rafiki kwa walemavu wavuka njia.
Fuatilia Kipindi alichorusha Zembwela Jpili iliyopita sehem za kuvukia hasa kwa walemavu ndio utapata jibu.
Naomba kujuzwa, barabara za DART zitakuwa na hizi daladala za kawaida tena?
Nauliza hivi coz nilikuwa na argument na rafiki yangu, tulipita njia hiyo lakini sikuona bus stops za kawaida, aside zile za mabasi ya mwendo kasi, ndio maana nauliza, daladala za "kimara-k.koo, kimara-posta, kimara-mwenge'' zitatumia njia hiyo?
Wewe unauona kama uselfish! Lakini mradi lazima uangaliwe kwa ujumla wake! Yale mabasi yatakuwa yanapita may be kila baada ya dk 5 au 10. Inamaana kila baada ya dk 5 mpaka 10 katika kila kituo kutakuwa na stoppage ya magari! Hapo utakuwa hujapunguza foleni! Wakati lengo kubwa ni hilo! Wenzetu miradi kama hiyo katika vivuko watu wanavukia chini au juuu ya barabara!
Nimekupata kiongozi, kwa hiyo Mwenge-Posta/kariakoo kupitia shekilango route itakufa, buguruni-kawe/masaki nayo itakufa sio?Swali zuri mkuu! Kwa ufupi huu mradi ukikamilika hizi bus za kawaida Kimara-Posta hazitokuwepo tena na inabidi owners wafanye mpango wa kubadilisha route zao, wazipeleke kule tu ambapo hakujafikiwa na mradi, kwa mfano toka Kimara mwisho kwenda Kibamba au Kibaha, au labda Gongolamboto/Mbagala-Kariakoo. Natumai nimejaribu kukujibu.
Manake Ni kuwa biashara ya wamiliki daladala nayo itakuwa ngumu. Coz kimara-posta route imekufa, Na njia ya kinondoni sijui...nayo route imekufa.Sehemu zote iliyopita DARTS hakuna daladala Ina operate tena , in short kwenye DART itaondoa daladala na wameshaambiwa waunde makampuni YA hayo mabasi YA mwendo kasi
Na. 1 Nafikiri serikali inampango wa kuzifanya barabara hizo kuwa za magari madogo tu mwisho size ya coater au canter vinginevyo hizi nguzo za taa zitapigwa chini zote kwani nazo zipo karibu sana na barabara ukizidiwa cha kwanza ni kuzitandika hizo nguzo. Mbona ile ya Sam Nu Joma Iko fresh na nguvu za taa mpaka uzifuate zilipo basi wewe unakuwa na lako jambo. Barabara pana na ni ya kujimwaga na ndio maana ni nadra sana kukuta ajali za kupigana pasi au nyingine katika barabara ile labda dereva awe wa viroba na bangi
Na 2 huwa inachanganya sana mwishowe unajikuta umpanda ile pavement ya kutenganisha na kuiweka katikati ya uvungu wa gari ambapo magari mengi nimeshuhudia yakiharibika sana uvunguni na mengine kufa kabisa kwasababu ya madhara ya tuta linalotenganisha barabara ya lami na basi
Hiyo Na. 4 hata mimi huwa inanishangaza ni kwanini waliamua kuweka kona wakati nafasi ya kufanya barabara inyooke ipo. Labda wamefanya hivyo ili kuwapa mazoezi ya kona za kitonga madereva ambao wanajiandaa kwenda Iringa Mbeya na Zambia
Naombeni ufafanuzi wa DART na BRT, naona kama ni abbreviations mbili tofauti lakini they're used interchangeably!
Kuboresha tunakubali lakini issue hapa ni ufinyu wa hizo barabara. Hata ukilipia halafu huwezi kuendesha comfortably kutokana na ufinyu wa barabara inakeraLengo ni kuboresha public transport hata nchi za ulaya kama hapa sweden wamefanya priority kwa colectiv transport (public transport) na pia wamefunga badhi za barabara kwa ajili ya mabasi tu na pia kuna ada ya unalipia ya kuingia ndani ya mji na hiyo imefanya magari kupungua sana. Kwahiyo tuombe serikali ya Tanzania ijitahidi kufanya hivyo na wajenge barabara zaidi kwa ajili ya daladala
kweli kazi nzuri sana kwa miji ya kisasa
kasoro ndogo tu ni kwamba sio rafiki kwa walemavu wavuka njia.
Fuatilia kipindi alichorusha zembwela jpili iliyopita sehem za kuvukia hasa kwa walemavu ndio utapata jibu.
asante serikali ya ccm kwa kuboresha miundo mbinu iliyobora
Kuboresha tunakubali lakini issue hapa ni ufinyu wa hizo barabara. Hata ukilipia halafu huwezi kuendesha comfortably kutokana na ufinyu wa barabara inakera
Nimekupata kiongozi, kwa hiyo Mwenge-Posta/kariakoo kupitia shekilango route itakufa, buguruni-kawe/masaki nayo itakufa sio?
Nadhani routes nyingi zitakufa au italazimu watu kupanda gari mbili/tatu hadi kufika wanapoenda..!