Hongereni STRABAG! Dar Rapid Transit imefana mno!

Hongereni STRABAG! Dar Rapid Transit imefana mno!

hivi ni strabag au serikali?
Ndugu zangu huu Mradi nitakuwa wa Mwisho Kuusifia!! Angalia Ulivyo na mapungufu Makubwa Katika usanifu (Poor designs) na hukuna jitihada za kusahihisha!! Huwa najiuliza TANROADS WANAFANYA NINI?
Mfano angalia Ubungo Mataa kama unatoka Mwege Kwenda Buguruni Kuna serious Poor design!! Barabara Imeminywa bila sababu yoyote TANROADS WAJE WATUAMBIE KWA NINI VILE?? PALE IMEKUWA NI CHANZO CHA AJALI, JE HAKUNA WA KUREKEBISA KABLA UJENZI HAUJAKABIDHIWA? jUNCTION TO MABIBO SHIDA NI ILEILE!! UPAAWA BARABARA NI TATIZO
 
\
Naomba kujuzwa, barabara za DART zitakuwa na hizi daladala za kawaida tena?
Nauliza hivi coz nilikuwa na argument na rafiki yangu, tulipita njia hiyo lakini sikuona bus stops za kawaida, aside zile za mabasi ya mwendo kasi, ndio maana nauliza, daladala za "kimara-k.koo, kimara-posta, kimara-mwenge'' zitatumia jia hiyo?
zinaondoka mkuu
 
Back
Top Bottom