Kwa hiyo, kumbe tuna wanasheria na mawakili. Asante kwa Elimu hii. Nadhani, utafafanua zaidi. Mimi na "uanasheria wangu wa msituni", nilijua ukishahitimu sheria teyari ni Wakili.Masahihisho:
Law school haitoi wanasheria bali inatoa mawakili.
Hapana ni sawa na Accountant asiye na CPAKwa hiyo, kumbe tuna wanasheria na mawakili. Asante kwa Elimu hii. Nadhani, utafafanua zaidi. Mimi na "uanasheria wangu wa msituni", nilijua ukishahitimu sheria teyari ni Wakili.
Huyo KADISCO vibaya ndio maana kuandika hivyoMnatuchanganya, mwingine ameandika siasa chafu za school of law.
Shukrani kwa ufafanuzi, Mkuu.Hapana ni sawa na Accountant asiye na CPA
Ni mtumishi wa hapo law school 😅Mleta mada nini kimekufanya uje na huu uzi, sio umeona malalamiko yamezidi ndio maana?
nchi hii ni ya ajabu sana, ubora wa taasisi ya elimu ya juu, unapimwa kwa kufelisha wanafunzi wengi na sio kutengeneza wataalam wengi.Mnatuchanganya, mwingine ameandika siasa chafu za school of law.
Wewe unawaambia hongereni, sisi tusioyajua ya ndani, tushike lipi?
Ndo nami nasangaa. Iweje uwe wakili bila kujifunza sheria?Kwa hiyo, kumbe tuna wanasheria na mawakili. Asante kwa Elimu hii. Nadhani, utafafanua zaidi. Mimi na "uanasheria wangu wa msituni", nilijua ukishahitimu sheria teyari ni Wakili.
Kwa hiyo uwakili ni zaidi ya uanasheria!?Hapana ni sawa na Accountant asiye na CPA
Watakuwa wana fail competency ingawa wako vizuri kwenye knowledge nadhani!Upuuzi mtupu, wanafunzi wanapoteza fedha na muda wao kisha wanaishia kufail. Mbona hao walimu wasifukuzwe kazi kwa kushindwa kufundisha?
Watu kama nyie ndio mnaofeli halafu mnasingizia chuo.Masahihisho:
Law school haitoi wanasheria bali inatoa mawakili.