Hongereni sana Kanisa la Anglikana kwa kufungua kitegauchumi cha Safina House

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,153
Leo nimefurahishwa sana na kanisa letu la Anglikana.

Nilikuwa sehemu Dodoma nakula nikaona Channel Ten jengo zuri sana Rais Samia Suluhu akilifungua jengo hili.

Baada ya kudododsaa nikajua ni jengo la kanisa la Anglikana kama kitega uchumi, lina mandhari nzuri sana kuanzia ndani mpaka nje.

Niwape maua yenu wana Anglikana wote nchini na viongozi wote wa kanisa la Anglikana [popote mlipoo Mungu awaabariki msiishie hapoo tu ongezeni SAFINA HOUSE Kila mkoa na Mungu awasaidie.

Maombi yangu kwa Mungu makanisa mengine tuige mfano.


safina.jpg
 
Safi waumini lazima wajivunie sadaka zao,liwe funzo kwa watafuna sadaka za waumini.

Je mapato ya kodi za hili jengo zinarudi kwa waumini waliotoa sadaka za kujenga ama zinaenda mifukuoni kwa watu ?
 
Back
Top Bottom