Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 881
Nadhani mshapita pale Keko mkaona jinsi Polisi wetu wanavyoishi..wanaishi kwenye nyumba za mabati na wengine wako kwenye mahema...walio na afadhali wanaishi kwenye nyumba za namna hii
Say whatever you like about NSSF lakini huu ni mfano wa kuigwa...if only wengine wangewajengea walimu nyumba na ma daktari wetu.
Nyumba za Polisi kabla
Hivi Polisi akiamka toka kwenye mazingira haya mnategemea atakuwa na mood gani kutwa nzima?
Nyumba za polisi zilizojengwa na NSSF:
Sasa stay tuned kusoma maoni ya waliokuwa wakitaka polisi waendelee kuichi kwenye nyumba hizo za hapo juu
Hivi kweli hawa watu wanaolinda usalama wetu na tuwaache waishi maisha haya?
seriously...sidhani kama kuna mtu na akili zake timamu atakuja kusema kuwa NSSF wamekosea kufanya huu mradi

Last edited: