falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,230
- 9,359
- Thread starter
-
- #201
Nilikua kwenye buffalo
Nauli bei gani. Dar-Nrb na Ars-Nrb?Sasa hivi tahmeed zinaenda arusha hadi nairobi
Dar to Nai ni tsh 65000Nauli bei gani. Dar-Nrb na Ars-Nrb?
sijsema full luxury....ila ni luxury bus nyingi ambazo zimedominate sehem nyingiNew force hana full luxury ni Tahmeed,Shabiby na Ratco tuu seat 1x2,Ac,Wifi,toilet,charger,screen kila siti
Hata hizi Happy Nation mpya ziko vizur zina AC na usb charging system nikarudi Moshi na Hai Express full AC kutoka Dar ila tulivyofika same wakazima ACpole sana mkuu,next time usirudie makosa kupanda basi lisilo na ac,choo,drinks na kahawa,wi-fi,charging system ,tv ziko nane,ni full movie hadi unafika
Gosh kwanini wazime ac same na moshi ni mbali ilipaswa wazime baada ya nyinyi kushuka kabisaHata hizi Happy Nation mpya ziko vizur zina AC na usb charging system nikarudi Moshi na Hai Express full AC kutoka Dar ila tulivyofika same wakazima AC
Je ars-nrb bei gani?Dar to Nai ni tsh 65000
30000Je ars-nrb bei gani?
Mkuu kuna member mmoja kashauri tuivizie Tahmeed ya saa tatu.. je ipo tofauti na hizo za mida mingine?30000
Zote ziko sawa kijanaMkuu kuna member mmoja kashauri tuivizie Tahmeed ya saa tatu.. je ipo tofauti na hizo za mida mingine?
Labda mkuu Falcon ungetupa ratiba ya kila siku ya huyu mnyama ili JF members tusiende kwa kuviziavizia.Zote ziko sawa kijana
Kila siku mnyama anaruka dar to mombasa dar to tanga dar to nairobi dar to arusha,mombasa to nairobi ,mombasa to lamu,mombasa to malindi,mombasa to kisumu,mombasa nakuru ,mombasa eldoret,monbasa kampala,mombasa kigali,mombasa to kisii etcLabda mkuu Falcon ungetupa ratiba ya kila siku ya huyu mnyama ili JF members tusiende kwa kuviziavizia.
Uko na tahmeed leo,hakika umekua shahidi kuwathibitishia members wengineTahmeed ni mwsho Dar Express na Kilimanjaro wakasome namba,imenibidi nijihakikishie mwenyewe
Nyumbu zote ni daraja la kawaida sana,hamna hata daraja la katiAcheni kutaja gari za kinamama hizo, mashine ni ilasi nyumbu ya dar tunduma, kama unajua milio ya scania pale ndo penyewe
Bei ya marcopolo ya ilasi unanunua michina tatu za tahmeedNyumbu zote ni daraja la kawaida sana,hamna hata daraja la kati
Hujaelewa post,usikulupuke mkuu.Bei ya marcopolo ya ilasi unanunua michina tatu za tahmeed
Na mimi nimeamua kupanua mjadala kwa kuongelea mashine zinazotawala njia na ni luxury kawaidaHujaelewa post,usikulupuke mkuu.
Tunazungumzia the most luxury bus in tz authorised by sumatra