Infact wanasiasa wote ni wasaliti,na usaliti huu ulianza mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi ulipoanza....
Kwanini wanasiasa wa chadema mnamashutumu sana Zzk kuwa msaliti wakati hata viongozi wengi wa upinzani wametokana na vyama vingine?
Kwani siasa ni chuki?ugomvi?visasi na jaziba? Kama Zzk alitenda kosa kwanini hamkumalizana nae hukohuko ndani ya Chama?
Kama Ndg ZZk ni mwanasisa mwenzenu,je mlitaka baada ya ninyi kumfukuza au katiba ya chama kumfukuza aache Siasa kabisa?
Nadhani kila chama kina uhuru wa kuendesha sera zake bila kuingiliwa na chama kingine, hivyo ni vema na Busara kwa Vyama vingine kuacha kumshambulia ZZK na badala yake kufanya yanayowahusu.....
Kwa sasa naona ZZK hana chama cha kumuhukumu badala yake sisi wananchi ndo tutakae muhukumu kwa kumpokea na sera zake au kumkataa....
Note: politics is a bad game....