From: Mwigulu Nchemba
Date: Saurday April , 2015 at 1:10 PM
To: Zitto Kabwe
Subject:Re: KUONGEZA NGUVU Hon PM, Apson sijongea naye. Naona hata humu ndani mambo si mazuri. Vijana wangu wameniletea taarifa kwamba Vuvuzela (mropokaji) anajaribu kila njia ikiwa ni pamoja na kuwashawishi viongozi ili mzee akatwe kwenye hatua ya kwanza kabisa, maana pale juu kila mtu yuko upande wetu. Tengeneza mazingira, ila naona kila dalili ikitokea tu, itakuwa vizuri kwako ukimpisha. Maana itakuwa ni tofauti na madai ya wengi kwamba wewe ni mpenda madaraka sasa watashangaa kuona unamwachia. Itakuwa pia vyema ukianza kuzungumzia hii kwenye majukwaa ili kuwatayarisha wananchi kisaikolojia ila kwa sasa hivi naona mipango yetu yote iko sawa. Huyo mambo is a dying horse. EL is a big engine! They know na hakuna wanachoweza kufanya at this point. Juliana will call you she has a message. Ila nikutakie kila la heri kwenye mapambano leo. Lameck
From: Zitto Kabwe
zittokabwe@gmail.com Date: Sat, 11 Apr 2015 14:42:03 +0300
To: Mwigulu Nchemba
shimbi85@gmail.com Subject: Re: KUONGEZA NGUVU Comrade, Makamuzi yanaendelea, nadhani mmeona mambo ya makambako. Hao washenzi wa ufipa mwaka huu wataisoma namba, na ndoto yao ya kuichukua nchi tunaiua. Sasa kuna mapungufu. The amount we have is very insufficient. Naombeni tusaidiane hapa, nadhani ili tukamilishe shughuli by June tunahitaji 700m pamoja na additional manpower kwenye social media. Mapokezi na muamko ni mkubwa sana toka kwa wananchi CDM is dying. Tafadhali jadili hii issue na prof pia tujaribu kuongeza vijana kwenye social media maana tusipojibu mapigi hii issue ya usaliti itasambaa na kuaminika. Kwenye majukwaa tutawakaanga kabisa na kuhusu bwana mkubwa, inabidi tuanze rasmi kutengeneza mazingira stahiki, ili Mangula na wenzake wakijaribu kumzuia, upande wetu ni rahisi kumkaribisha Cheers, ZZK
From: Zitto Kabwe
zittokabwe@gmail.com Date: Sat, 11 Apr 2015 5:47 AM (GMT-5:00)
To: Mwigulu Nchemba
shimbi85@gmail.com Subject: Re: KUONGEZA NGUVU Comrade, Kwema? Umewasiliana na Apson? Naomba ongea naye. Budget ya matangazo iongezwe. Muhimu sana na posho za vijana kwenye planning. Nimepata habari rasmi kwamba Nyoka wa Mdimu anasaidiana na CDM, na Vuvuzela ndiye anayepenyeza taarifa kwa Riz1. Hizi ni pamoja na biashara nyingi za mzee. Wanamtumia kijana anayeitwa Luckson kupeleka taarifa ufipa, lengi ni kumchafua his Excellency wakiwa na malengo kwamba asifike hata kwenye NEC. In politics anything unanswered can be a big damage. Counter haraka sana. Mbona mnainyamazia Bahari Beach Hotel? Apson inabidi aongezewe nguvu. Mimi niko kwenye hii ziara, and may not be in Dar for couple of days. Prof yupo. ZZK