mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,025
ha ha ha hapana mkuuUpo na huku.
Mkuu nna mashaka wewe ni MM na ID Feki
ha ha ha hapana mkuuUpo na huku.
Mkuu nna mashaka wewe ni MM na ID Feki
Acha unafiki ndugu hakuna mtu duniani asiyesaka tonge. Hata wewe ni msaka tonge tu.Lakini mnafungwa na usakatonge
Sasa ni dhahiri kwamba Inteligensia ya CHADEMA ni moto wa kuotea mbali. Kama mliweza kumwondoa kabla ya kusababisha madhara je akiwa nje ndo ataweza kuwadhuru?
Kwa mujibu wa matendo, maneno na mwenendo sasa Naamini kwamba siku za CCM na wapambe wao zinahesabika. Hivi kweli hatukumbuki Maandiko yanavyosema Juu ya Usaliti na Uasi?
Shetani alipomuasi Mwnyezi Mungu alipata wafuasi wengi na akashangiliwa kwa MBWEMBWE kibao lakini baada ya muda mfupi tu Ukweli ulidhihiri.
Karibuni sana ACT-WAZALENDO tuwasikilize na mtupatie maneno ya kumfurahisha Mkoloni mweusi. Ikumbukwe kwamba Hata Kaburu na wakoloni walikuwa na Mamluki lakini siku ya kuwang'oa ilipofika walijiondokea bila Jasho.
Msaliti wa kwanza alikuwa mwanzilishi wa chadema!Sasa ni dhahiri kwamba Inteligensia ya CHADEMA ni moto wa kuotea mbali. Kama mliweza kumwondoa kabla ya kusababisha madhara je akiwa nje ndo ataweza kuwadhuru?
Kwa mujibu wa matendo, maneno na mwenendo sasa Naamini kwamba siku za CCM na wapambe wao zinahesabika. Hivi kweli hatukumbuki Maandiko yanavyosema Juu ya Usaliti na Uasi?
Shetani alipomuasi Mwnyezi Mungu alipata wafuasi wengi na akashangiliwa kwa MBWEMBWE kibao lakini baada ya muda mfupi tu Ukweli ulidhihiri.
Karibuni sana ACT-WAZALENDO tuwasikilize na mtupatie maneno ya kumfurahisha Mkoloni mweusi. Ikumbukwe kwamba Hata Kaburu na wakoloni walikuwa na Mamluki lakini siku ya kuwang'oa ilipofika walijiondokea bila Jasho.
Nitaupiga vita mpaga ningiapo KaburiniAcha unafiki ndugu hakuna mtu duniani asiyesaka tonge. Hata wewe ni msaka tonge tu.
Msaliti wa kwanza alikuwa mwanzilishi wa chadema!
CHADEMA ni heshima kubwa kinaweza kuwapiga chini mayuda iskariote wote pamoja na CEO wao aka Ayatolar the king.
Hongera CHADEMA
CHADEMA ni heshima kubwa kinaweza kuwapiga chini mayuda iskariote wote pamoja na CEO wao aka Ayatolar the king.
Hongera CHADEMA
Unyonge wa usaliti ni dhambi kubwa sanaKuungana ni jambo jema...na tunawatakia kila la kheri UKAWA...sisi hatugombani na mtu bali na umaskini. Chama chetu ni cha wanyonge...tukikuta mnyonge na tajiri wanapigana sisi tutamsaidia mnyonge kwanza baadae ndio tutauliza nani mchokozi (makofii). Kuna watu wanasema hawa wakina zitto wamekuja kugawa kura za upinzani....nataka niwahakikishie wana Morogoro ACT haijaja kugawa kura za upinzani....Mwaka 2010 asilimia 42 tu ya watu waliojiandikisha ndio walipiga kura....ina maana 58% ya waliojiandikisha hawakupiga kura na inamaana hawakuwa na chama chochote kile.ACT imekuja kukonga nyoyo na kuwashawishi hawa 58% hivyo hatugawi kura za mtu yoyote."
Hayo ni baadhi ya maelezo ya Ndugu Kabwe katika hotuba yake ya Jana kwa wana morogoro.
Nionavyo.
Mwacheni Zitto afanye siasa zake Watanzania wataamua. Kuendelea kumchafua humu mitandaoni wala haisaidii.
Ni kweli au ni kufariji tu? Maana speed yake si maskhara
Sasa ni dhahiri kwamba Inteligensia ya CHADEMA ni moto wa kuotea mbali. Kama mliweza kumwondoa kabla ya kusababisha madhara je akiwa nje ndo ataweza kuwadhuru?
Kwa mujibu wa matendo, maneno na mwenendo sasa Naamini kwamba siku za CCM na wapambe wao zinahesabika. Hivi kweli hatukumbuki Maandiko yanavyosema Juu ya Usaliti na Uasi?
Shetani alipomuasi Mwnyezi Mungu alipata wafuasi wengi na akashangiliwa kwa MBWEMBWE kibao lakini baada ya muda mfupi tu Ukweli ulidhihiri.
Karibuni sana ACT-WAZALENDO tuwasikilize na mtupatie maneno ya kumfurahisha Mkoloni mweusi. Ikumbukwe kwamba Hata Kaburu na wakoloni walikuwa na Mamluki lakini siku ya kuwang'oa
Moto umeshawaka,hakuna tena wa kuuzima,wale waliukuwa wanatumiwa na Mafisadi walidhani wamemaliza Zitto ili mafisadi waendelee kutafuna nchi bila kisumbuliwa.
Sasa watanzania tunaujua mchezo wote uliokuwa na lengo la mumnyamanzosha Zitto.
Ninyi mawakala wa wa Majizi mnapoteza muda kudhani mnaweza kurudhisha nyuma harakati za kukamata wezi.
Suluhisho ni kuwa wezi wa taifa wahame nchi,na juzi tulionya kuendelea kumpa tenda Rugemalila ,ile tenda ya Tril 54 hatuta ifumbia macho.
Tutaendelea kuungwa mkono na wanyonge wa nchi hii ,ninyi kuweni upande wa mabeberu lkn kamwe hamtatushinda.
Moto umeshawaka,hakuna tena wa
kuuzima,wale waliukuwa wanatumiwa
na Mafisadi walidhani wamemaliza
Zitto ili mafisadi waendelee kutafuna
nchi bila kisumbuliwa.
Sasa watanzania tunaujua mchezo
wote uliokuwa na lengo la
mumnyamanzosha Zitto.
Ninyi mawakala wa wa Majizi
mnapoteza muda kudhani mnaweza
kurudhisha nyuma harakati za
kukamata wezi.
Suluhisho ni kuwa wezi wa taifa
wahame nchi,na juzi tulionya
kuendelea kumpa tenda Rugemalila ,ile
tenda ya Tril 54 hatuta ifumbia macho.
Tutaendelea kuungwa mkono na
wanyonge wa nchi hii ,ninyi kuweni
upande wa mabeberu lkn kamwe
hamtatushinda.