Hongereni CHADEMA Kwa Kuwang'oa Wasaliti

Sasa ni dhahiri kwamba Inteligensia ya CHADEMA ni moto wa kuotea mbali. Kama mliweza kumwondoa kabla ya kusababisha madhara je akiwa nje ndo ataweza kuwadhuru?

Kwa mujibu wa matendo, maneno na mwenendo sasa Naamini kwamba siku za CCM na wapambe wao zinahesabika. Hivi kweli hatukumbuki Maandiko yanavyosema Juu ya Usaliti na Uasi?

Shetani alipomuasi Mwnyezi Mungu alipata wafuasi wengi na akashangiliwa kwa MBWEMBWE kibao lakini baada ya muda mfupi tu Ukweli ulidhihiri.

Karibuni sana ACT-WAZALENDO tuwasikilize na mtupatie maneno ya kumfurahisha Mkoloni mweusi. Ikumbukwe kwamba Hata Kaburu na wakoloni walikuwa na Mamluki lakini siku ya kuwang'oa ilipofika walijiondokea bila Jasho.

Kila nikumbuka mkuu mapambano ni makali sana tunawashambulia ipasavyo jukwaani kufikia Juni Ufipa watakuwa chalii .... Sasa mkuu tuongezee dau 700million. Mwambie mzee tunamwandalia mazingira nachoka kabisa.
 
Hivi kupingana fikra na mitazamo na Mbowe ndiyo unakuwa msaliti.
 
Msaliti kawa CEO mkuu....ndoto yake ya siku nyingi....

Kaukwaa ukiongozi Mkuu,watu wa kuitwa bwana mkubwa,kiongozi ,nuru na dira ya chama,mtoa mwelekeo wa wapi chama kiende.
Rangi ya mtu hujulikana mapema,chadema hongera sana
 
Infact wanasiasa wote ni wasaliti,na usaliti huu ulianza mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi ulipoanza....

Kwanini wanasiasa wa chadema mnamashutumu sana Zzk kuwa msaliti wakati hata viongozi wengi wa upinzani wametokana na vyama vingine?

Kwani siasa ni chuki?ugomvi?visasi na jaziba? Kama Zzk alitenda kosa kwanini hamkumalizana nae hukohuko ndani ya Chama?

Kama Ndg ZZk ni mwanasisa mwenzenu,je mlitaka baada ya ninyi kumfukuza au katiba ya chama kumfukuza aache Siasa kabisa?

Nadhani kila chama kina uhuru wa kuendesha sera zake bila kuingiliwa na chama kingine, hivyo ni vema na Busara kwa Vyama vingine kuacha kumshambulia ZZK na badala yake kufanya yanayowahusu.....

Kwa sasa naona ZZK hana chama cha kumuhukumu badala yake sisi wananchi ndo tutakae muhukumu kwa kumpokea na sera zake au kumkataa....

Note: politics is a bad game....
msaliti lazima asemwe ajirekebishe.tunatafuta ukombozi wa pili wa nchi yetu.hatuwezi kaakimya wakati watu wanarudisha nyuma ukombozi
 
naomba niulize kaswali kadoogo ka uzushi, hivi akina simiu yetu, musa allam , laki si pesa mmesha toka chama chenu cha kijani tayari? au kiufupi mtaipigia kura ACT badala ya CCM?

Naona wana kijani mmeshika usukani ACT! inaashiria nini hapo? mtakuwa mmehamia ACT nyie!
 
Kila nikumbuka mkuu mapambano ni makali sana tunawashambulia ipasavyo jukwaani kufikia Juni Ufipa watakuwa chalii .... Sasa mkuu tuongezee dau 700million. Mwambie mzee tunamwandalia mazingira nachoka kabisa.
cdm ni mpango wa Mungu mwenyewe , hakuna watakachofanya wasaliti kisijulikane , subiri makubwa zaidi utashangaa ! njaa ya hawa vijana inatia aibu .
 
mkuu huu uzi umetulia kinyama ! hongera sana , kamati kuu ya cdm ina uwezo mkubwa kuliko baraza la mawaziri .
 
Naona mnaelekea kumsahau adui yenu mkubwa na kuwekeza nguvu nyingi kuishambulia ACT na kiongozi wake mkuu ndugu Zitto utadhani ndio chama tawala.

Zitto=ccm hivyo ni adui namba moja kama ilivyo ccm. Na kwa vile anatumika kuhujumu harakati za wananchi kutaka mabadiriko,zittoni adui namba moja kwa kila mpenda mabadiriko nchini!

Na kwa vile chadema ilimlea tangu akiwa hajui chochote na alitumia gharama za wanachadema(Mbowe) kufika hapo alipo, chadema kwa Zitto ni wazazi wake na kwa dharau aliyoionyesha hataweza kufanikiwa maana principle ya Mungu ni kuwaheshimu baba yako maana ndiye Mungu wako hapa duniani. Madamu hajawheshimu lazima laana itampata tu! He will come back to his senses very late!
 
Sasa ni dhahiri kwamba Inteligensia ya CHADEMA ni moto wa kuotea mbali. Kama mliweza kumwondoa kabla ya kusababisha madhara je akiwa nje ndo ataweza kuwadhuru?

Kwa mujibu wa matendo, maneno na mwenendo sasa Naamini kwamba siku za CCM na wapambe wao zinahesabika. Hivi kweli hatukumbuki Maandiko yanavyosema Juu ya Usaliti na Uasi?

Shetani alipomuasi Mwnyezi Mungu alipata wafuasi wengi na akashangiliwa kwa MBWEMBWE kibao lakini baada ya muda mfupi tu Ukweli ulidhihiri.

Karibuni sana ACT-WAZALENDO tuwasikilize na mtupatie maneno ya kumfurahisha Mkoloni mweusi. Ikumbukwe kwamba Hata Kaburu na wakoloni walikuwa na Mamluki lakini siku ya kuwang'oa ilipofika walijiondokea bila Jasho.

Chadema ni next level, huwezi kuwa katika stance ya next government ukawa na intelejensia ya kisengesenge, wakuda wa ACT walikaziwa kitabe wakatiwa kwenye litmus test rangi yao ya zamabarau ikaonekana wakatoka nduki
 
Kila nikumbuka mkuu mapambano ni makali sana tunawashambulia ipasavyo jukwaani kufikia Juni Ufipa watakuwa chalii .... Sasa mkuu tuongezee dau 700million. Mwambie mzee tunamwandalia mazingira nachoka kabisa.

Mkuu hapa haupambani na Cdm,unapambana na marafiki wa Cdm tena wa mbali mkuu,Cdm wenyewe wako kazini kaka wakiibuka utaona moto wake mkuu
 
naipenda chadema ntaitumikia chadema miaka yote.
 
naomba niulize kaswali kadoogo ka uzushi, hivi akina simiu yetu, musa allam , laki si pesa mmesha toka chama chenu cha kijani tayari? au kiufupi mtaipigia kura ACT badala ya CCM?

Naona wana kijani mmeshika usukani ACT! inaashiria nini hapo? mtakuwa mmehamia ACT nyie!
Hawa wanashangilia wakidhani zitto atawasaidia kupunguza kura za ukawa! Sijui deal waliloingia naye lakini kama na yeye ataweka wagombea wake basi ccm ndo itakula kwao maana wapiga kura wa chama cha zitto ndo walewale wa ccm wanaoichukia chadema lakini kwa sababuza kidini. Zitto hata ahangaike kuanzia juzi mpaka siku ya uchaguzi, wapiga kura wake ni wale wale hawawezi kuongezeka wala kupungua maana wanajulikana na bahati mbaya Ukawa inakula pande zote mbili!

Zitto amewaingiza mkenge ccm hamna kura mpya atayowaongezea na wakimruhusu aweke wagombea basi itakula kwa ccm mazima!

Kitu kingine ambacho ccm wataechemka ninamna ya aina ya kura zitto na aina ya mgombea watakayempata. Kama watakuwa na mgombea kinyume na aina ya kura za zitto bado itakula kwao!
 
Hahahahaha... naona kilimanjaro nzima imeamia kwenye huu uzi wa kufarijiana. Ama kweli mmechanganyikiwa. Hiyo ni wiki ya kwanza, kufika october kuna watu mtatembea uchi.
 
Huwezi kuipinga CCM halafu ukamuacha kibaraka wa CCM salama.Ni lazima ukipambana na CCM uhakikishe na matawi yake yote yamekatwa.

Hivi kama ZZK ni kibaraka wa CCM utamwitaje Mbatia ambaye kateuliwa na mwenyekiti wa CCM kuwa mbunge wa viti maalum?
 
mtahangaika na ACT sana mashoga nyie. kazi za mashoja tunazijua ni bora mkawa bize na hiyo kazi yenu iliyolaaniwa mkatuachia wanaume tukipambana. ACT is there to stay hata mfanyeje.

Sasa ni dhahiri kwamba Inteligensia ya CHADEMA ni moto wa kuotea mbali. Kama mliweza kumwondoa kabla ya kusababisha madhara je akiwa nje ndo ataweza kuwadhuru?

Kwa mujibu wa matendo, maneno na mwenendo sasa Naamini kwamba siku za CCM na wapambe wao zinahesabika. Hivi kweli hatukumbuki Maandiko yanavyosema Juu ya Usaliti na Uasi?

Shetani alipomuasi Mwnyezi Mungu alipata wafuasi wengi na akashangiliwa kwa MBWEMBWE kibao lakini baada ya muda mfupi tu Ukweli ulidhihiri.

Karibuni sana ACT-WAZALENDO tuwasikilize na mtupatie maneno ya kumfurahisha Mkoloni mweusi. Ikumbukwe kwamba Hata Kaburu na wakoloni walikuwa na Mamluki lakini siku ya kuwang'oa ilipofika walijiondokea bila Jasho.

Mfalme wa ACT yuko kazini akitumikia waliomtuma.
 
Back
Top Bottom