yaani mtoto akijisaidia kwenye kochi halafu akagundua baba amekasirika na kuondoa kinyesi chake wewe mzazi unampongeza? Kweli dunia ina mambo, huyo jamaa yako kagundua kuwa inakula kwake soon so anajaribu ku clear his own mess
nimeguswa baada ya kuona zitto akiwaasa vijana kutokuwafanyia fujo viongozi wao.pia nimefurahi kwamba amekata rufaa kamati kuu. hongera kwa hili ,wana JF mpo?????????????????????????????????????????????????????????????? karibuni tupo pamoja hadi kieleweke.......................
Mh zito a man of the people
Uwezo wa Mheshimiwa Zitto huwezi kufananisha na hafidhina yeyote ndani ya CDM
unajua nyinyi mumelicomplicate hli jambo mpaka munashndwa kufanya yenu mukaendelea na ujenz wa taifa kuhusu zitto me siamini kwamba ni msaliti ila kinachomponza ni anakotokea na dini yake bora awaache watu na famility yaoYaani mtoto akijisaidia kwenye kochi halafu akagundua baba amekasirika na kuondoa kinyesi chake wewe mzazi UNAMPONGEZA? Kweli dunia ina mambo, huyo jamaa yako kagundua kuwa inakula kwake soon so anajaribu ku clear his own mess
Hivi msimamo wa kumpongeza ni upi?
kwamba aendelee na unafiki wake ndani ya cdm?
Chadema hatumtakiii na wala hapati nafasi yoyote!
Anajidai kutoa tamko la kuwakataza vijana wa kigoma baada ya mbinu zake za hujuma kushindwa?