hongera Zitto kwa msimamo

kerezange

Senior Member
Dec 3, 2013
168
170
nimeguswa baada ya kuona zitto akiwaasa vijana kutokuwafanyia fujo viongozi wao.pia nimefurahi kwamba amekata rufaa kamati kuu. hongera kwa hili ,wana JF mpo?????????????????????????????????????????????????????????????? karibuni tupo pamoja hadi kieleweke.......................
 

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Sep 18, 2010
8,403
2,000
Yaani mtoto akijisaidia kwenye kochi halafu akagundua baba amekasirika na kuondoa kinyesi chake wewe mzazi UNAMPONGEZA? Kweli dunia ina mambo, huyo jamaa yako kagundua kuwa inakula kwake soon so anajaribu ku clear his own mess
 

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,881
2,000
Wewe zito hapendi siasa za majitaka is a leader
yaani mtoto akijisaidia kwenye kochi halafu akagundua baba amekasirika na kuondoa kinyesi chake wewe mzazi unampongeza? Kweli dunia ina mambo, huyo jamaa yako kagundua kuwa inakula kwake soon so anajaribu ku clear his own mess
 

Mwanyasi

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
7,926
2,000
Hivi msimamo wa kumpongeza ni upi?
kwamba aendelee na unafiki wake ndani ya cdm?
Chadema hatumtakiii na wala hapati nafasi yoyote!
Anajidai kutoa tamko la kuwakataza vijana wa kigoma baada ya mbinu zake za hujuma kushindwa?
 

musa ndile

Senior Member
May 6, 2011
105
170
nimeguswa baada ya kuona zitto akiwaasa vijana kutokuwafanyia fujo viongozi wao.pia nimefurahi kwamba amekata rufaa kamati kuu. hongera kwa hili ,wana JF mpo?????????????????????????????????????????????????????????????? karibuni tupo pamoja hadi kieleweke.......................

sikio la kufa halisikii dawa sasa naona watu wanafanya siasa na maisha ya watu zito akiachwa bas mm sina iman tena na chadema
 

Priss

Senior Member
Dec 24, 2012
125
0
Nawashukuru sana chadema kwa kuweza kuweka utaratibu wa kidemorasia wa umpa zitto muda wa kujitetea. lakini mbona jamaa haonngei kuhusu viambatisho vilivyowekwa kwenye mtanndao vikionesha jinsi anavyolipwa mamilioni na mamlaka ya ngorongoro na malaki arusha hotel.

kinachoshangaza kingine tuhuma za kulipwa madola ya mihela na jack zoka kupitia kwa andrea cordes ujerumani, meseji na simu alizowasiliana na watu hawa hajibu hata kidogo. MIMI NIMEKUBALI KUWA JAMAA NI BALAA.

muda wote aliopewa mbona hajitokezi kuongea issues badala yake anatafuta huruma ya watu na kauli za wapambe wake. FUKUZA KABISA ZITTO ILI CCM IJIPANGE TENA KWA AIBU NYINGINE.
 

Mjomba Mkude

JF-Expert Member
Nov 21, 2013
287
195
Yaan we Kezerange unaakili ya kenge kabisa,hivi Huyo MM ameshindwa nini kujitokeza mapema kusema yote hayo tena ajitokeze mwenyewe.
Zitto amejawa na aibu kwa mambo ya ajabu alofanya.,ajitokeze Zitto na sio huyo mchumia tumbo.
Na wewe nawe uache kuleta hongera za kikenge
 

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,891
2,000
Uwezo wa Mheshimiwa Zitto huwezi kufananisha na hafidhina yeyote ndani ya CDM
 

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Jun 22, 2011
4,225
1,195
Ndani ya chdema Zitto pekee ndiye anaeonekana kuwa na akili kuweza kukisaidia chama hicho,waliobaki ni majanga hawana nia njema na chama wanataka kujinufaish matumbo yao tu!

Walidanganyana kwamba wakimvua uanachama atakihama chama,sasa amegoma wanaanza kuweweseka!

Na kwa sasa amekata rufaa wameanza kujikanyaga,Baraza kuu linakwenda kumrudishia nyadhifa zake,uchaguzi anachukuwa fomu sijui Mbowe atajificha wapi?!
 

albuluushiy

JF-Expert Member
Oct 2, 2013
1,377
2,000
Yaani mtoto akijisaidia kwenye kochi halafu akagundua baba amekasirika na kuondoa kinyesi chake wewe mzazi UNAMPONGEZA? Kweli dunia ina mambo, huyo jamaa yako kagundua kuwa inakula kwake soon so anajaribu ku clear his own mess
unajua nyinyi mumelicomplicate hli jambo mpaka munashndwa kufanya yenu mukaendelea na ujenz wa taifa kuhusu zitto me siamini kwamba ni msaliti ila kinachomponza ni anakotokea na dini yake bora awaache watu na famility yao
 

simbilisi

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
792
0
Hivi msimamo wa kumpongeza ni upi?
kwamba aendelee na unafiki wake ndani ya cdm?
Chadema hatumtakiii na wala hapati nafasi yoyote!
Anajidai kutoa tamko la kuwakataza vijana wa kigoma baada ya mbinu zake za hujuma kushindwa?

wewe mjinga, avatari yako ni ya mtanzania ambaye aliimbwa kila kona na kutukanwa na kila mtu eti msaliti miaka ya 70

imegundulika miaka ya tisini zilikuwa siasa za majitaka za nyerere

uwe na akili, usipende kuambiwa na kuaminishwa vitu vya ovyo

avatar150590_2.gif
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom