We expect east african to dominate.. At end zakia mrisho become last

Zing

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
1,767
470
Wakuu na wajumbe

Kwanza nianze kwa kusema maudhui ya habri hii si siasa lakininaiweahapasababu naamini matatizonayotakakuelzeaniya kisera,na mipango,malengo na vipaumbele ambavyo kwenye sekata nyingi. So hapa naongelea michezo

Nimeanagalia replay ya videoya mbio za mita elfu tano 5,000 wanawake.

Nchi gani zimeshiriki?
Kulikuwa kuna wakenya kama wanne, waethiopia kama watatu, Mtanzania mmoja, na wazungu na mjapan. Tujiulize kwa nini wakenya wanapata nafasi ya kuepeleka zaidi ya mwanaraisha mmoja sisi Tanzania tunapeleka mmoja tu ????

Enheee tundelee ilikuwaje ?
Mtangazaji katika kutanzagza kabla hawajaanza kushindana akasema anatagemea East africa ita dominate mbizo hizo. Mbio zilipoaanza mjapan akaanza kwa kuchkua airtime ya TV kwa round kama mbili then baadae wakenya na waethiopia strategicaly ukumbi ukawa wao. Mtanzania wetu zakia mrisho yeye alikuwa katikati kati. lakini rund mbili za mwisho nadhani ndio alikuwa wa mwisho............

Matokeo yaliuwaje?
Kenya 1 , 2 na ethiipia 3 Zakia mrisho wa Tanzania nadhani kawa wa mwisho. Kuangalia wenetu wamejiolea medali ngapi na kuitangza nchizao angalia hapa http://athletics.channel4.com/results-schedules/day-schedule/day=7/index.html

Tatizo ni nini?

Hapa ndio napenda tujadiliane kila mmoja aelee nini chanz cha matatio ya failre katika mashindano ya michezo mbali mbali kimataifa. Matatizo ninayoona mimi ni

  • [*=1]Maanadalizi yetu ni kushiriki sio kushindana- Kifupi nimeangalia bodu structure na maumbile ya Zakia mrisho japo si mtaalama nimeona ana tofauti kubwa na wanaridha wenzake. Sidhani kama ana kocha sidhani kama anazingatia mambo ya uzito na chakula miizi michache kabla ya mashindano. Kwa hili siwezi kumlamu zakia bali ni serikali
    [*=1]Kutokuwa na malengo- Sababu nia yetu ni kushiriki na sio kushinda . Basi hatujui njia za kushinda na hautujui tushirikininituweke nguzvu zetu wapi au tuongeze wapi ili tushinde. Ni rahisi zaidi mtanznaia kushinda au kuwa nafasizajuu kama Tanznaia inakuwa na wanariadha zaidi ya mmoja kwenye mbio ndefu. Mbio ndefu zinakimbiwa strategically. Kwa hiyohata kama kunamwanaridha anakimbiakatika muda unaubalika katika mbio zamita5000au 100000 kama yukopeke yake uweekanao wakupatamedali nimdogo sana .
Nini Kifanyike?
Serikali ielewe



  • karne imafanikio katika michezo haitegemi kipaji pekee kama enzi za kina juma ikangaa na wengineo. Karne hii mafanikio katika meichezoni ni kipajipamja na tekniki.
  • Michezo ni chanzo cha ajira na kuitangaza jina la nchi na utalii. Sio wengiwanamjua rais wa ethiopia duniani alkini nadanukienda japan london au new uauliza haile gabreselaise wanamjua. Gabraeselaile anajulikana kuliko hata Kikwete. So kama serikaliyetu ina niayakuitangza Tanzania iwekeze kwenye michezo
  • Na kwa kuwa mara yingi sababun uhaba i fedha basi watambuliwe watu wenye vipaji wombewe visa za nchi zenye fedha kam Norway ,Qatar, sweeden. etc Huko wakaendelezea hata wakiperush bdendera a nchi hioz Jina Tanzania litasikika ........
Tunajua kuna watu wizarani kwenye taisisisi za michezo wako busy wakijiandaa kupata visa za kwenda London 2012 huku hakuna maadalizi ya ya kimichezo na kiteniki ya kundaa mashindano ya wilaya, mkoa, vijijini. na kuwajenga wanamichezo. maaandalizi mazuri ya kiutawalwa (administartion) hayatasadia kutufikisha popote. Tunahitaji maandalizi na matayarisho ya kiteniki na kimichezo



Nawasilisha kwa michango zaidi

 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom