Eng. Hersi wa Yanga aonana na Rais wa Kaizer Chief baada ya kuhudhuria dabi ya Kaizer chiefs vs Orlando Pirates

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Rais wa Yanga leo tarehe 11/11/2023 ameonana na mmiliki wa kaiza Chief bwana kaizer Motaung na kufanya majadiliano kwa kina

Eng Hersi pia amehudhuria dabi ya Soweto ya Afrika kusini kati ya orlando Pirates na kaizer Chiefs

Katika mazungumzo yao Eng Hersi yupo kwa ajili ya kumsajili kiungo mshambuliaji Elie Mpinze pamoja na mshambuliaji wa kati Ranga Chivaviro

Akiwa uwanjani leo Eng Hersi ameisapoti Kaizer chief katika mchezo uliokamilika kwa Orlando Pirates kushinda goli moja

Mpira wa Tanzania sasa unazidi kukua na kuwavutia wachezaji pande zote za Afrika kusini, Magharibi na kaskazini

Hongera Eng Hersi wa Yanga kwa kuonesha kuwa soka la kutegemea waganga wa kienyeji limekwisha na sasa soka ni usajili na mahesabu

Kuna kitu cha kujifunza kwa Eng Hersi katika mabadiliko ya mpira Tanzania ,
 
Hapo kuna watu wanataka kuingizwa cha kike, kesho watapanda ndege kuonana na huyo mmiliki wa Kaizer chiefs.

Ikumbukwe hawa Kaizer hawana lolote wala hawana maajabu maana juzi tu walipigwa mbili kwa Mkapa kama sikosei, halafu hao ni rafiki zake Hersi.

Hersi akitaka kusajili huwa anasajili kimya kimya, acha makolo wakashikishwe.
 
Hapo kuna watu wanataka kuingizwa cha kike, kesho watapanda ndege kuonana na huyo mmiliki wa kaizer chiefs,

Ikumbukwe hawa kaizer hawana lolote wala hawana maajabu maana juzi tu walipigwa mbili kwa mkapa kama sikosei, alafu hao ni rafiki zake hersi,

Ahaa, nimecheka sana.

Kumbe huwa mnawaingiza king makusudi.
 
Hapo kuna watu wanataka kuingizwa cha kike, kesho watapanda ndege kuonana na huyo mmiliki wa kaizer chiefs,

Ikumbukwe hawa kaizer hawana lolote wala hawana maajabu maana juzi tu walipigwa mbili kwa mkapa kama sikosei, alafu hao ni rafiki zake hersi,

Hersi akitaka kusajili huwa anasajili kimya kimya, acha makolo wakashikishwe.
Unasema! Ukuta ama adabu?
 
Rais wa Yanga leo tarehe 11/11/2023 ameonana na mmiliki wa kaiza Chief bwana kaizer Motaung na kufanya majadiliano kwa kina

Eng Hersi pia amehudhuria dabi ya Soweto ya Afrika kusini kati ya orlando Pirates na kaizer Chiefs

Katika mazungumzo yao Eng Hersi yupo kwa ajili ya kumsajili kiungo mshambuliaji Elie Mpinze pamoja na mshambuliaji wa kati Ranga Chivaviro

Akiwa uwanjani leo Eng Hersi ameisapoti kaizer chief katika mchezo uliokamilika kwa orlando Pirates kushinda goli moja

Mpira wa Tanzania sasa unazidi kukuwa na kuwavutia wachezaji pande zote za Africa kusini ,Magharibi na kaskazini

Hongera Eng Hersi wa Yanga kwa kuonyesha kuwa soka la kutegemea waganga wa kienyeji limekwisha na sasa soka ni usajili na mahesabu

Kuna kitu cha kujifunza kwa Eng Hersi katika mabadiliko ya mpira Tanzania ,
Yanga kwa maono yangu inahitaji kiungo mkabaji na sio mshambuliaji. Ukiondoa Aucho na Mudathiri ambaye msimu huu bado hajawa bora sana, wengine waliobaki tia maji tia maji. Viungo washambuliaji wapo.
 
Rais wa Yanga leo tarehe 11/11/2023 ameonana na mmiliki wa kaiza Chief bwana kaizer Motaung na kufanya majadiliano kwa kina

Eng Hersi pia amehudhuria dabi ya Soweto ya Afrika kusini kati ya orlando Pirates na kaizer Chiefs

Katika mazungumzo yao Eng Hersi yupo kwa ajili ya kumsajili kiungo mshambuliaji Elie Mpinze pamoja na mshambuliaji wa kati Ranga Chivaviro

Akiwa uwanjani leo Eng Hersi ameisapoti kaizer chief katika mchezo uliokamilika kwa orlando Pirates kushinda goli moja

Mpira wa Tanzania sasa unazidi kukuwa na kuwavutia wachezaji pande zote za Africa kusini ,Magharibi na kaskazini

Hongera Eng Hersi wa Yanga kwa kuonyesha kuwa soka la kutegemea waganga wa kienyeji limekwisha na sasa soka ni usajili na mahesabu

Kuna kitu cha kujifunza kwa Eng Hersi katika mabadiliko ya mpira Tanzania ,
Vyema sana

"Hongera Eng Hersi wa Yanga kwa kuonesha kuwa soka la kutegemea waganga wa kienyeji limekwisha na sasa soka ni usajili na mahesabu"
 
Rais wa Yanga leo tarehe 11/11/2023 ameonana na mmiliki wa kaiza Chief bwana kaizer Motaung na kufanya majadiliano kwa kina

Eng Hersi pia amehudhuria dabi ya Soweto ya Afrika kusini kati ya orlando Pirates na kaizer Chiefs

Katika mazungumzo yao Eng Hersi yupo kwa ajili ya kumsajili kiungo mshambuliaji Elie Mpinze pamoja na mshambuliaji wa kati Ranga Chivaviro

Akiwa uwanjani leo Eng Hersi ameisapoti kaizer chief katika mchezo uliokamilika kwa orlando Pirates kushinda goli moja

Mpira wa Tanzania sasa unazidi kukuwa na kuwavutia wachezaji pande zote za Africa kusini ,Magharibi na kaskazini

Hongera Eng Hersi wa Yanga kwa kuonyesha kuwa soka la kutegemea waganga wa kienyeji limekwisha na sasa soka ni usajili na mahesabu

Kuna kitu cha kujifunza kwa Eng Hersi katika mabadiliko ya mpira Tanzania ,
Polepole wananchi wanaonesha class yao na nia ya kutafuta maendeleo
 
Kwanza tazama ustaraabu hapo maana unaenda kistaraabu kabisa kumsajili mchezaji huku ukishirikiana na team yake kukamilisha usajili huo.

Sio unajificha airport kuiba mchezaji au mara unaenda kumwambia asiende mazoezini mtampa gari na nyumba
 
Rais wa Yanga leo tarehe 11/11/2023 ameonana na mmiliki wa kaiza Chief bwana kaizer Motaung na kufanya majadiliano kwa kina

Eng Hersi pia amehudhuria dabi ya Soweto ya Afrika kusini kati ya orlando Pirates na kaizer Chiefs

Katika mazungumzo yao Eng Hersi yupo kwa ajili ya kumsajili kiungo mshambuliaji Elie Mpinze pamoja na mshambuliaji wa kati Ranga Chivaviro

Akiwa uwanjani leo Eng Hersi ameisapoti kaizer chief katika mchezo uliokamilika kwa orlando Pirates kushinda goli moja

Mpira wa Tanzania sasa unazidi kukuwa na kuwavutia wachezaji pande zote za Africa kusini ,Magharibi na kaskazini

Hongera Eng Hersi wa Yanga kwa kuonyesha kuwa soka la kutegemea waganga wa kienyeji limekwisha na sasa soka ni usajili na mahesabu

Kuna kitu cha kujifunza kwa Eng Hersi katika mabadiliko ya mpira Tanzania ,
Hee kwa hiyo kutegemea mvuua kunyesha kwishinei
 
Hapo kuna watu wanataka kuingizwa cha kike, kesho watapanda ndege kuonana na huyo mmiliki wa kaizer chiefs,

Ikumbukwe hawa kaizer hawana lolote wala hawana maajabu maana juzi tu walipigwa mbili kwa mkapa kama sikosei, alafu hao ni rafiki zake hersi,

Hersi akitaka kusajili huwa anasajili kimya kimya, acha makolo wakashikishwe.
Ngoja awatengenezee picha. Subiri wadake galasha air pot
 
Mmekosa cha kujadili mnaleta hàbari za msomali mweusi kuona na Mwenyekiti wa Kaiser chiefs?washamba sio wasukuma tu kumbe na Utopolo wapo!!!
 
Ngoja awatengenezee picha. Subiri wadake galasha air pot
Halafu timu yenyewe huko south inatia huruma haina utofauti na mtibwa sugar
Screenshot_20231112-083028.png
 
Back
Top Bottom