Kwa taarifa tu ni kwamba waseminari zaidi ya ishirini wamefanya mtihani wa kuongea (oral examination) leo katika seminari kuu ya mt Paulo, Kipalapala. Wamehitimisha mtihani wa baccalaureate waliouanza siku ya Jumanne.
Kwa hatua hii wanahitimisha maandalizi yao kitaaluma kuelekea upadri. Ndugu mafrate, kwa niaba ya taifa lote la Mungu hapa JamiiForums nawatakia kila jema katika kujiandaa kupokea majukumu haya matakatifu ya upadri.
Ndugu wanajukwa tuwaunge mkono vijana hawa katika maamuzi yao ya kishujaa kuwa mapadri.
Ni mimi padri mtarajiwa