hongera tigo

hili bandiko litengenezewe bango kubwa pale ubungo
 
hili bandiko litengenezewe bango kubwa pale ubungo


Joe Nyandigira if not C6 hii sio mitandao ya wanyonge we muulizee@Mkuu kichwanazi alivyoumiza kichwa na ka Pd kake.
Or less They are doing nice we are waiting their 4G.
Tigo DRC is rocking also here as Voda Tz
 
Last edited by a moderator:
mr. C6 alias wa Joe Nyandigira, mi ninawapa promo na mimi Voda kwa kuniacha nishushe 15GB in three days, tena BUREEEEE!! na mimi nilivyofika Arusha walikuwa wananinyima raha sana hawa wazee wa bus la blue, nikaona nilizowapa za Wajanja Nyt hizo siku mbili tatu zinatosha nianze kupita zile njia zetu. to my shock nimekuwa nikishikilia 10mbps kuanzia saa sita hadi kumi na mbili. mchana mawazo tu but I can't complain



 
Hii mitandao inategemea na mahali ulipo.. binafsi kwangu voda ndo no 1 choice for internet... maana hapa nilipo napata high speed..
 
Mimi nikitumia voda wajanja night ikifika saa saba mpaka asubuhi speed yao uwa nikuanzia mb 5 mpaka 6.6mbs, ila kwakuwa siku hizi sipendi kukesha natumia tigo ambayo uwa inachezea mb 2 inashuka mpaka kb 900 na kupanda tena so sina tatizo na wote voda na tigo as nawakamua sana na download kila ninachofikiria.
 

Duuuh! HII Hatare basi hii Dashboard ya Mobile Partner inauongo mkubwa iweje ioneshe 11Mbps afu download transfer rate kwenye IDM ikupe 700Kb/s thanks to my Teacher Mwl.RCT Njoo ufanye conversion uone hapa ...this must be a miracle
 
Last edited by a moderator:
Duuuh! HII Hatare basi hii Dashboard ya Mobile Partner inauongo mkubwa iweje ioneshe 11Mbps afu download transfer rate kwenye IDM ikupe 700Kb/s thanks to my Teacher Mwl.RCT Njoo ufanye conversion uone hapa ...this must be a miracle
mi nnavyojua kitu kimojawapo kinachopunguza speed ya kudownload ni sehemu file lilipohostiwa, ndo maana unaona kwenye shared file hosting services kuna ya bure na kulipia, ya bure unakuta wamekulimit speed ya kudownload wakati premium ni unlimited, matokeo yake hata kama una 11mbps kama leh unashangaa unapata 1mbps au 700kbps ukidownload file
 
Last edited by a moderator:
Duuuh! HII Hatare basi hii Dashboard ya Mobile Partner inauongo mkubwa iweje ioneshe 11Mbps afu download transfer rate kwenye IDM ikupe 700Kb/s thanks to my Teacher Mwl.RCT Njoo ufanye conversion uone hapa ...this must be a miracle
  • Kumbuka IDM huwa inapanda na kushuka. Kinachojionesha hapo ni hivi:-
  • Tukianza IDM: Hapo inasomeka 718.494Kb/s hii ni sawa na 718.494 x 8bit =5747. 952kbps ambayo ni 5.747Mbps [baada ya kugawa kwa 1000]. Hivyo kwa modem ya 7.2mbps internet speed yaweza kabisa kuwa na hiyo 5.747mbps "data transfer rate" ,Hapo kwa modem ni sawa inareflect uwezo ISP
  • Tukija kwenye Dashboad:Hapa nimepata kigugumizi kidogo,Dashboard Inasomeka 11mbps kimsingi hapa ndugu leh inabidi atuambie model ya modem yake, Sababu kuna baadhi ya model za huawei uwezo wake ni 21mbps.Na sisi muda wote tulikuwa tukijadili hizi modem zenye maxmum speed ya 7.2mbps , Kwa maana kwamba hata kama ISP anakupa mfano 100mbps lakini uwezo wako wa mwisho ni 7.2mbps
Nawasilisha mjadala upo wazi.
Karibu
 
Last edited by a moderator:
#WajanjaNight ndio habari ya mujini. Nimeshusha series mbili (each with complete season of atleast 20episodes.) Within 2days plus Devil May Cry 3. Vodacom + bitcomet + bitcomet turbo accelator = better cyber life
 
Duuuh! HII Hatare basi hii Dashboard ya Mobile Partner inauongo mkubwa iweje ioneshe 11Mbps afu download transfer rate kwenye IDM ikupe 700Kb/s thanks to my Teacher Mwl.RCT Njoo ufanye conversion uone hapa ...this must be a miracle

kuna kitu kimoja hujafkiria, speed ya dashboard ni speed ya computer nzima wakati idm inaonesha download moja tu. tuchkulie mfano huu.

nina download vitu 4 at same time

idm napata speed 100KBps
torrent napata speed 100KBps
naangalia youtube 360p 100KBps
naupdate computer napata 100KBps

sasa wewe ulichofanya ume assume kwenye computer software inayokula bandwitch ni idm tu na ukatoa possibilities za software nyengine kula bandwitch.

mfano wangu hapo juu idm ingekua 100kBps na dashboard ingekua 3.2mbps ungekataa speed hio.

hapo leh inaonesha 11mbps sababu si idm tu inayokula internet kuna software nyengine. maybe kaeka wifi anacheza online kwenye xbox yake, au computer inajiupdate au ana spyware anadownload mavirusi tu. anyway anajua mwenyewe.

to conclude speed ya idm si lazima iwe hiyohiyo kwenye dashboard kuna software zaidi ya idm nazo zinatumia internet
 
Last edited by a moderator:
nnavyomjua leh atakuwa kaunganisha modem mbili za 7.2mbps uo ndo ujanja wake, ngoja aje aseme hapa mwenyewe maana uyu jamaa ni mtundu sana
 
Last edited by a moderator:
Reactions: leh

Hii ni sawa mkuu nakubaliana na wewe afu sababu nyingine ninayo iona ktk download ya leh file lina extension ya http://m.twitter.com isijekuwa ni mambo yetu yale.
Emu leh twambie janja janja gani unatumia hapo maana hiyo m.twiter imetustua
 

  • Yap nimekuelewa na upo sahihi. Thanks kwa ufafanuzi, hapa njunwa wamavoko pia atakuwa amejifunza kitu.
 
Hii ni sawa mkuu nakubaliana na wewe afu sababu nyingine ninayo iona ktk download ya leh file lina extension ya http://m.twitter.com isijekuwa ni mambo yetu yale.
Emu leh twambie janja janja gani unatumia hapo maana hiyo m.twiter imetustua
good observation, iyo ni mambo yetu maana najua iyo url ni ya mambo yetu ya 000
 
wazee kumaliza mjadala...

1. natumia maujanja kama nilivyotaja hapo juu.. thanks to C6 na chief-mkwawa. hawa bratha wawili ndo wameniweka mjini, much love

2. nimeunganisha modem moja tu. nilisahau zingine dar kwa wenge za kwenda kuchukua Xbox pale Arusha

3. model ya modem nayotumia ni huawei E303. sijui speed yake, ila huwa nagusa 1MB/s siku moja moja nikiwa dar

4. hiyo speed mi huipata kuanzia saa nne usiku (4 AM) mpaka saa moja asubuhi (7 AM) PEKEE. muda mwingine wote voda inasua sua. ila sina presha maana hata nikiamka saa kumi na moja huwa nashusha 4GB kabla ya saa moja

5. nitaazima modem kwa jirani leo. screenshots nitaweka asubuhi

6. natumia Premium Fileserver (as in nalipia kabisa= unlimited download speeds).

7. huwa bado nastream youtube huku nadownload file ndogo ndogo kwa mozilla maana niliona nikidownload file mbili kwa IDM huwa zinaingiliana speeds na m.twitter.com haina support resume

8.
huyu braza mjanja balaa. much respect mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…