hongera tigo

hongera tigo

wazee kumaliza mjadala...

1. natumia maujanja kama nilivyotaja hapo juu.. thanks to C6 na chief-mkwawa. hawa bratha wawili ndo wameniweka mjini, much love

2. nimeunganisha modem moja tu. nilisahau zingine dar kwa wenge za kwenda kuchukua Xbox pale Arusha

3. model ya modem nayotumia ni huawei E303. sijui speed yake, ila huwa nagusa 1MB/s siku moja moja nikiwa dar

4. hiyo speed mi huipata kuanzia saa nne usiku (4 AM) mpaka saa moja asubuhi (7 AM) PEKEE. muda mwingine wote voda inasua sua. ila sina presha maana hata nikiamka saa kumi na moja huwa nashusha 4GB kabla ya saa moja

5. nitaazima modem kwa jirani leo. screenshots nitaweka asubuhi

6. natumia Premium Fileserver (as in nalipia kabisa= unlimited download speeds).

7. huwa bado nastream youtube huku nadownload file ndogo ndogo kwa mozilla maana niliona nikidownload file mbili kwa IDM huwa zinaingiliana speeds na m.twitter.com haina support resume

8.

huyu braza mjanja balaa. much respect mkuu


Duuh kumbe hawa wadau ndo wamekupa somo hili
Mwenyewe Sikuwahi amini kama ningeweza tumia Mambo yetu yale kwa 0000
Lkn siku halipoyatupa kichwanazi ndo nikapata munkali wa kuwafuata PM akina C6 na chief-mkwawa ultimately nilifanikiwa na kuelewa mechanism on how Naweza acess free net japo nilikuwa nshatumia GURU ya Paje
Kilichonishinda kati ya yote ni Proxy za simu za chief-mkwawa kwenye Tecno n3 by then lkn za PC zilifanikiwa
nayo GURU ilinipa mwanga mkubwa sana nikawa na mm na chakueleza kama IT expert kwa wenzangu kumbe hamna lolote.

Thanks alot GUYS niliwa QUOTE bse its you this dei am selling some TOOLS a.k.a some VPN
 
Last edited by a moderator:
kuna kitu kimoja hujafkiria, speed ya dashboard ni speed ya computer nzima wakati idm inaonesha download moja tu. tuchkulie mfano huu.

nina download vitu 4 at same time

idm napata speed 100KBps
torrent napata speed 100KBps
naangalia youtube 360p 100KBps
naupdate computer napata 100KBps

sasa wewe ulichofanya ume assume kwenye computer software inayokula bandwitch ni idm tu na ukatoa possibilities za software nyengine kula bandwitch.

mfano wangu hapo juu idm ingekua 100kBps na dashboard ingekua 3.2mbps ungekataa speed hio.

hapo leh inaonesha 11mbps sababu si idm tu inayokula internet kuna software nyengine. maybe kaeka wifi anacheza online kwenye xbox yake, au computer inajiupdate au ana spyware anadownload mavirusi tu. anyway anajua mwenyewe.

to conclude speed ya idm si lazima iwe hiyohiyo kwenye dashboard kuna software zaidi ya idm nazo zinatumia internet

mwenyewe anasema anatumia modem moja ya huawei E303. ambayo bila shaka ni 7.2mbps.
itawezekana vipi iwe 11mbps kama inavyoonekana kwenye dashboard.
hii hutokea kama kuna superposition ya drivers kwenye system (driver moja kujimultiply several times). kumaanisha kuwa dashboard speed, na even downloaded data hazipo sahihi. ndio maana mobile partner 21 na waliomtangulia ukigusa tu sehemu ya statistics inakuja warning kuwa ''statistics not accurate....''
 
mwenyewe anasema anatumia modem moja ya huawei E303. ambayo bila shaka ni 7.2mbps.
itawezekana vipi iwe 11mbps kama inavyoonekana kwenye dashboard.
hii hutokea kama kuna superposition ya drivers kwenye system (driver moja kujimultiply several times). kumaanisha kuwa dashboard speed, na even downloaded data hazipo sahihi. ndio maana mobile partner 21 na waliomtangulia ukigusa tu sehemu ya statistics inakuja warning kuwa ''statistics not accurate....''

maelezo hayo yalikua kabla hajaclarify kuwa anatumia e303. mobile patner 99% ipo accuracy kuna situation chache ambazo nakutana nazo huwa inafanya double counting yani inahesabu data mara mbili, kama umeangalia calculation za mwalimu hapo juu utaona amepata 5.7mbps ambayo ukizidisha mara mbili ni approximately 11mbps
 
kweli Paje na chief-mkwawa ni wakali wa IT. nimefahamu siku nyingi kuwa dashboard yangu (hii new version at least) kuwa huwa inasoma wrong readings ikifika max. speed ya modem (7.2 mbps). mwenyewe huwa siamini dashboard so siku moja nikatumia speed test na kuona net yangu huwa inamaximise at 7mbps. hilo jambo sikufuatilia tena kwasababu huwa sifuatili readings zake au nini. nilijua I was the only one ambaye amenotice kuwa mobile reader inasoma wrong speeds. mnisamehe wadau kwa hili jambo, nilikuwa nawapa tu promo hawa jamaa wa bus la Bluue maana nawapenda sana. njunwa wamavoko na wewe nimekuweka kwenye list ya watu ninaowakubali hapa JF maana ndo ulikuwa wa kwanza kunotice the discrepancy between the download speeds na dashboard readings
 
Last edited by a moderator:
Kwa mara Nyingine tuwapongeze Tigo maana Gari lao kama Vile limepata pancha hivo tutegemee Vitu vinono kama
vya mkuu leh i.e m.t...
Muhasisi wa TG bwana Paje umiza kichwa basi hapa baada hili basi jingine limeshapata Congestion
Emu ingiza modem isiyo na hela huone au ni kwangu tu
 
Last edited by a moderator:
kwanza tigo wana bundle lipi ambalo wanasema nao ni wakali katika internet zaidi ya wizi na uongo ..huku wakiwa na huduma mbovu cjawai onaaa...tigo amna ki2
 
tangu nimekuja mwanza mtandao wa voda umekuwa haunipi kile nilichokuwa nakipata nikiwa huko nilikokuwa, baada ya voda kupotea hewani kama siku 3 hivi nikaamua nijiunge na internet ya tigo japo niwe tu online maana uwa siwaaminii hawa jamaa, my suprise came baada ya kuona kitu hakishuki chini ya 1mbps, wastani inakaa 2.4mbps na maximum ambayo nimeipata so far ni 5.1 mbps(japo sikuipiga picha nilikuwa on shock) hiyo hata voda hawajawahi kunifikisha hapo..
kwa siku nashusha mpaka 5Gb kila siku tangu niishtukie...

kwa hili nawapa heko tigo kwa kunipa kasi ya ajabu

554492_418284901626385_743823272_n.jpg




1233574_418285004959708_1553087143_n.jpg

kaka hivi unajua tofaut kati ya ulichokiandika wewe (Mbps) na kitu hiki (MBps)
Sasa hapo cjaelewa unaizungumzia ipi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom