Hongera sana na asante kwenu The Islamic Foundation!!

Hongera sana na asante kwenu The Islamic Foundation!!

Pongezi za dhati kwa Islamic Foundation. Huu ni mwanzo, mengi mazuri yanakuja, kwa kushirikiana na Taasisi nyingine za Kiislamu muendelee kuihudumia jamii ya Watanzania katika social,economic and spiritual aspect.

Kwa life span ya Taasisi yenu shule 7 ni great achievement, niwakumbushe tu wachangiaji wengine kuwa Islamic Foundation si Serikali ya kuwa na Shule kila kata, Bali ni Taasisi yenye malengo ya kuhakikisha kuwa na Shule Bora na si Bora Shule !!!

Misikiti 700 isiwachome roho na kuwaumiza, ktk kila kata in the whole of Tanzania, five times a day, Muslims are supposed to worship and Glorify their Lord (Rabb), je wakaswalie mashuleni? Still misikiti 700 kwa Tz nzima ni michache na matumaini Taasisi itaongeza idadi zaidi.

Concept nyingine na speculations za wadau tunawaachia The Country Authority kuzifanyia kazi for everyone has a conspiracy theory.

Well done TIF

.........

HONGERA NAWE KWA MAELEZO chakula cha ROHO ni muhimu kuliko hata hiki cha MWILI,kwa lugha nyingine miskiti kuongezeka ni sahihi kabisa ila isitumike kwa mafunzo ya KARATEE maana chakula cha roho haki-hitaji ujuzi wa mateke wala u-kakamavu wa kushika/kutumia bunduki.

ISHALAAAAAA IWE KWA KHERI.
 
Asante kwa Pongezi, nikutoe Shaka juu ya karate misikitini, karate ni for self defence 🙂, vibaka wengi mitaani, anyway ktk karne hii ya B52 na silaha zote za maangamizi unahofia karate?

Nchi nyingi karate imekuwa ni mchezo unaopendwa na source ya ajira, I don't know why in Tanzania mnapatwa na khofu na kitu kama karate. Otherwise Serikali ishauriwe ianzishe dojo kila Eneo na vijana wetu wakafanye mafunzo yao huko.


......

Haina ubaya kujifunza ukakamavu, ni jambo zuri lakini ingepaswa iwe nje ya nyumba za ibada na ikiwezekana mbali na viongozi wa kidini.

Katika miongo hii ya sasa na maisha ya watanzania yalivyo ni vigumu kuchuja wangapi kweli wanajifunza for self defence.

Na ukweli ni kwamba kiwango cha ukabaji tanzania ni kidogo sana kwa watu kuwa na taharuki mpaka dini zianze kufundisha karate kwenye majengo ya ibada, kama na wakristo nao wataanza kuwafundisha vijana wao karate kwa kisingizio chochote tutazalisha Tension kwa watu bila sababu za msingi.

wengine tulikuwa tunataka hata green brigade, red brigade na upuuzi mwingine wa vikundi vya kijeshi kwenye vyama zipigwe marufuku, anayetaka ukakamavu atafutiwe mahali sahihi pa kujifunza.
 
HONGERA NAWE KWA MAELEZO chakula cha ROHO ni muhimu kuliko hata hiki cha MWILI,kwa lugha nyingine miskiti kuongezeka ni sahihi kabisa ila isitumike kwa mafunzo ya KARATEE maana chakula cha roho haki-hitaji ujuzi wa mateke wala u-kakamavu wa kushika/kutumia bunduki.

ISHALAAAAAA IWE KWA KHERI.


.......

Kiusahihi ni Inshaallaah, na Karate usikhofu as long as malengo yake ni mtu kujiweka fit, self defence na kwa wengine kama ajira.

Na kama kujifunza karate kwa baadhi ya misikiti kunavunja kipengele chochote cha katiba na labda kunahatarisha Amani nitaelewa concern yako.

Lakini sina taarifa yoyote inayohusu practice ya bunduki na silaha nyingine misikitini ( Tz). Otherwise Muumin mkakamavu mwenye nguvu anapendeza zaidi kwa Allaah kuliko muumin dhaif na legelege, sipati picha mtu mwenye kitambi na unene uliopotiliza hata ibada zake ni za kiuvivu vivu.
 
KAUMZA,

..kujenga shule 7 na misikiti 700, kwa kweli hapo maji yamezidi unga.

..baadaye watu hao hao wanaanzisha kituo cha redio[redio imaan] na kulalamika kwamba wananyimwa elimu.


......

Kwahiyo unaaamini, mnaanza kujenga shule na hospitali kwanza ndio nyumba ya ibada ije!!!!.. basi hiyo siyo taasisi ya kiroho.
 
Hebu zitaje hizo shule kwa majina tuangalie matokeo yake ya form four mwaka huu...
 
Uwepo tu wa ukabaji ni tatizo, it doesn't need extreme level kuitwa tatizo, ndugu wanakabwa, kujeruhiwa na wengine kuuliwa. Nafikiri ni juzi tu Mhariri wetu majambazi au vyovyote waitwavyo wamemvamia na kumjeruhi vibaya. So I can still justify mafunzo ya karate for self defence hasa ukizingatia irresponsibility level ya Jeshi letu ktk doria. Niungane nawe ktk kupelekwa Training hizo nje ya nyumba hizo za ibada but ktk green na red brigade usisahau the so called "Tume ya Jeshi la Wokovu". Kama ipo na ina serve the RC interest it should be banned as well.
 

Hapa wangefanya vice versa (kinyume chake) shule 700 misikiti 7. Ingeonekana wamelamba dume. Sheikh Omari (msomi wa ngazi ya juu ktk uislam) wa Kigamboni (Sasa mlokole-yuko Ufufuo na Uzima) anasema " Uislam ni Uchawi na Uchawi ni Uislamu." Kauli hiyo haijawahi kanushwa na mwiislam yeyote.

Mpumbavu huamini kila kitu,bali mwenye busara huenda kwa kufikiri.
 
Kawaambieni
na wale wa Zanzabar waache kuchoma makanisa na kuwapiga risasi viongozi
wa kikristo, waige mfano wa hiyo taasis ya Islamic Foundation!


.......

Ww mbona una generelize watu! una uhakika waislamu wamehusika na tuhuma hizo!?
 
Haina ubaya kujifunza ukakamavu, ni jambo zuri lakini ingepaswa iwe nje ya nyumba za ibada na ikiwezekana mbali na viongozi wa kidini.

Katika miongo hii ya sasa na maisha ya watanzania yalivyo ni vigumu kuchuja wangapi kweli wanajifunza for self defence.

Na ukweli ni kwamba kiwango cha ukabaji tanzania ni kidogo sana kwa watu kuwa na taharuki mpaka dini zianze kufundisha karate kwenye majengo ya ibada, kama na wakristo nao wataanza kuwafundisha vijana wao karate kwa kisingizio chochote tutazalisha Tension kwa watu bila sababu za msingi.

wengine tulikuwa tunataka hata green brigade, red brigade na upuuzi mwingine wa vikundi vya kijeshi kwenye vyama zipigwe marufuku, anayetaka ukakamavu atafutiwe mahali sahihi pa kujifunza.

Mkuu Nemasis...heshima kwako mkuu.

Qaala Rasuul Llaahi Swalla Llaahu A'layhi Wassalaam..

'' AL-MUSLIM QAWIYY KHAIRUN WA AHABB ILA LLAAH MINAL MUSLIM DHA'IF''....au kama Qaala.

Tafsiri yake... Muislamu Mwenye Nguvu (mkakamavu) ni bora na anapendeza zaidi Kwa Allah kuliko Muislamu Dhaif. Kufanyika katika viunga vya miskiti so long as fursa ipo si dhani kama kuna ubaya...

Nukta yako ya pili kuwa katika dunia (Tanzania) ya leo ni vigumu kutofautisha kati ya Kibaka na Raia mwema hivyo basi mafunzo haya kutolewa kiholela yanaweza kutumika vibaya. Falsafa ya kauli yako ni sahihi. Ila Critically, kufanyika msikitini means ni watu wema pekee ndio wenye ujasiri wakuingia ndani ya Nyumba za Ibada..Kibaka na Msikiti n sawa na Mwizi na Jela.

Ahsante.
 
sasa kilamsikiti uwe na angalau chekechea

Mimi kimtazamo naona wameanza vizuri huko tunakotataka waelekee kwenye shule 700 na misikiti saba watafika tu maana hata hapo mimi naona kama miujiza ni kama mtoto kaanza kutambaa atatembea tu
 
Hongera sana kwa The Islamic Foundation,kwa waislam wote nwa kwa watanzania wote.
Tunahitaji maendeleo na sio makelele kila siku na chuki zisizokuwa na msingi wowote hope mtatumia fursa hizo vizuri hasa kwa upande wa elimu.
 
Asante kwa Pongezi, nikutoe Shaka juu ya karate misikitini, karate ni for self defence 🙂, vibaka wengi mitaani, anyway ktk karne hii ya B52 na silaha zote za maangamizi unahofia karate?

Nchi nyingi karate imekuwa ni mchezo unaopendwa na source ya ajira, I don't know why in Tanzania mnapatwa na khofu na kitu kama karate.

Otherwise Serikali ishauriwe ianzishe dojo kila Eneo na vijana wetu wakafanye mafunzo yao huko.

Sasa unaona sawa karate msikitini, sisi hatuhofii karate, hofu yetu ni karate ya msikitini, hapa kunakitu cha ziada. Kwa nini kila msikiti karate tu? Kwani hakuna sport nyingine?
 
Sasa unaona sawa karate msikitini, sisi hatuhofii karate, hofu yetu ni karate ya msikitini, hapa kunakitu cha ziada. Kwa nini kila msikiti karate tu? Kwani hakuna sport nyingine?
Mkuu siyo kweli kwamba kila msikiti kuna mafunzo ya karate. Misikiti inayoendesha haya mafunzo ni michache na malengo wa wenye misikiti yanajulikana. Mleta hoja amekuja kuwasafisha The Islamic Foundation kwa kuonyesha kwamba hawa jamaa wanasaidia shughuli za kijamii kama kuchimba visima vya majisafi na ujenzi wa shule. Lakini hataki kusema kwamba ni Taasisi hii imesababisha mtafaruku mkubwa wa udini unao likabili taifa letu kwa ufadhili wao wa Radio Imani,inayokashifu na kutukana Ukristu,kashfa kwa waasisi wa taifa letu,nk.
 
Ukweli unauma. misikiti 700. shule saba. mh! yaani kila misikiti 100 shule 1. usikasirike. tafakari chukua hatua.

mkuu hawa si walikuwa wanajaribu kuifanya tz nchi ya kiislamu? Sera yao ya kwanza ilikuwa hiyo. Si unaionaga kwenye barabara kuu hasa ya kwenda zambia kuanzia pwani? Hili jaribio iringa na mbeya walilishindwa kabisa pamoja na kuwanunua baadhi ya watu. Siku hii imebakiwa na kuota nyasi tupu watu wanazidi kwenda kanisani. Imagine zingekuwa shule za chekechea watoto wangapi wangenufaika?
 
Well done Islamic Foundation! Nilisikia pia wanampango wa kujenga chuo kikuu kanda ya ziwa sijui mchakato umefikia wapi. Inshallah ALLAH awafanyie wepesi, tumechoka waislamu kutukanwa kuwa hatupendi elimu kumbe ni kutokana na ujinga wa wapuuzi wachache wanaojiita BAKWATA wanafisadi tu mali za waislamu wakituacha hatuna mbele wala nyuma.

Mtawalaumu bakwata bure, hivi hawa bakwata ndio wanaowafanyia mitihani? Mbona darasani wengi wenu vilaza sana? Hata wengi wa wanafunzi wanakimbilia Morogoro muslim kwenye mteremko maana hapo nikuendeleza madrasa culture ndio maana nilikuwa naongea na mkuu wa shule mmoja hapo morogoro manispaa akasema wanafunzi wa ordinary level wanawakataa wanafunzi wa morogoro university kisa uwezo wao darasani.

Kibaya zaidi ni kuwa wanapopelekwa kwa ajili ya fieldwork huripoti nakuondoka na hurejea siku mhadhiri wao anapoenda kwa ajili ya assessment basi.
 
Back
Top Bottom