Hongera sana Mkurugenzi Lushoto, Bwana Makwega

Jul 19, 2016
9
5
Hongera sana Makwega Adeladius mkurugenzi Lushoto umefanya kile ambacho mheshimiwa raisi alitarajia kukiona kutoka kwako.....

Wilaya yako kuongoza katika mapato kwa mkoa wa tanga si jambo la kubeza.... najua kazi ya kukusanya mapato imekuongezea maadui na kwa kiasi kikubwa imekupunguzia marafiki.... usijali Mungu ndiye atakaebaki upande wako.....

Piga kazi bado tunahitaji kuona halmashauri yako ikiongoza kwa halmashauri zote nchini. ...
IMG-20170310-WA0061.jpg
 
Hayo siyo mambo au taarifa za kupost kwenye Public domain.Ingefaa zaidi kwenye group ya watendaji wa Tanga.Hata hivyo,kwa kuwa umeamua kuanika hayo unayodhani ni mafanikio makubwa mimi sioni hilo.Kumbuka tupo Mwezi Machi na bado miezi 3 kumaliza mwaka huu wa fedha.Sasa kama Halmashauri ya Lushoto ndiyo inayoongoza kwa kuwa na makusanyo yanayofikia 38% na unamsifia Mkurugenzi kwa kuongoza wengine mimi naona unamdhihaki.Unajua hata kwenye kundi la wagonjwa kuna mgonjwa zaidi.
 
Back
Top Bottom