Hongera sana kwa kiungo wa Yanga Fei Toto

hana consintency, ni mzuri tuu dhidi ya Simba, angefanya vizuri club bingwa wangemuona
Consistency ipi unayo hitaji Mkuu?, ni wachezaji wangapi wanakuja pale Yanga ila dogo anapata namba tena anakuwa favorite, pia quality coach in Africa wanakuja Tanzania ila bado wanazidi kumpa nafasi ya kucheza iwe timu ya taifa na hata klabu yake

Roho za kichawi na kinyongolilo sio nzuri
 
hawezi kuperform kwa kiwango kama alichoonesha jana walau mechi 3 mfululizo, ndio maana hata hiyo Yanga club bingwa inaishia hatua ya kwanza au ya pili kwa kuwa na wachezaji aina ya feisal wanaoperform mechi 1 tuu dhidi ya Simba,
 
Sawa mkuu na siwezi kukutoa katika imani yako
 
hawezi kuperform kwa kiwango kama alichoonesha jana walau mechi 3 mfululizo, ndio maana hata hiyo Yanga club bingwa inaishia hatua ya kwanza au ya pili kwa kuwa na wachezaji aina ya feisal wanaoperform mechi 1 tuu dhidi ya Simba,
Mpira haujui kafatilie rede. Sababu ya Yanga kutolewa klabu bingwa msimu huu ni kukosa muda wa kuandaa timu na wala sio fei Toto. Kuna maingizo mengi mapya hivyo muunganiko jumlisha match fitness iliwafanya Yanga kutolewa. Kwani fei Toto anacheza peke yake uwanja mzima?
 
Fei anastahili kwenda nje kucheza

Ame improve Sana

Nalumbika enzi mkude yuko kwenye form fei alikuwa anaambiwa akaze awe kama mkude

Anachopswa kufanya Sasa ni kuupa mwili wake matunzo Bora ili abaki kwenye form muda mrefu
 
Hata kama angekuwa na wakala asingeenda kokote.
Kumbuka yanga inatengeneza wachezaji mashabiki wake.Kumbuka Ngasa jinsi alivyokataa ofa kisa abaki kuipigania timu yake.
Hivi Shabani Nonda alitokea wapi.......?

Ngasa mwenyewe upuuzi wake baada ya majaribio,kaambiwa na West Hama atengeneza stamina kaja yy kuongeza mke wapili.
 
Nimependa pia ule mtifuano wake na Lwanga,kila mmoja kugombania ufalme pale katikati ya dimba...hatimaye Lwanga kanyoosha juu kwa kijana wetu mzalendo na kama sikosei kadi zote mbili za Lwanga kasababisha FEI..
 
Hata kama angekuwa na wakala asingeenda kokote.
Kumbuka yanga inatengeneza wachezaji mashabiki wake.Kumbuka Ngasa jinsi alivyokataa ofa kisa abaki kuipigania timu yake.
Sio Yanga tu hata Simba kina Mkude na Ajibu hawakupaswa kumalizia viwango vyao Msimbazi!
 
Back
Top Bottom