Hongera sana CHADEMA Arusha kwa uongozi bora

Jiji la Arusha /mkoa wa Arusha chini ya uongozi wa CDM umevuka agizo la rais Magufuli la kuhakikisha wanafunzi wanapatiwa madawati na sasa mkoa mzima umesha jitosheleza na kuna madawati ya ziada,hongea sana uongozi wa madiwani na wabunge wa CDM.

Chanzo: ITV habari
Mungu ibariki chadema , kule kwetu kyela kata zinazoongozwa na chadema zimegeuka na kuwa kioo cha jamii .
 
Tunawapongeza kwa kuacha siasa hadi 2020.
CAUTION:ARUSHA INA SHULE CHACHE SANA KULINGANISHA NA HADHI YAKE
Una hakika? Mkoa wa Arusha una halmashauri 6 na wilaya 5. Halmashauri ni Arusha city, Arusha, Meru, monduli, karatu na ngorongoro. Idadi ya watu ni zaidi ya 1m na kama watoto wote wako darasani na wamekalia madawati huo uchache wa shule maana yake nini?
 
Mungu ibariki chadema , kule kwetu kyela kata zinazoongozwa na chadema zimegeuka na kuwa kioo cha jamii .
Mkuu Tulishasema kuwa cdm ni nguvu ya mungu,wacha wao wajiite ni chaguo la mungu sisi tunawanyesha kwa vitendo tu,hongereni sana mkuu
 
Una hakika? Mkoa wa Arusha una halmashauri 6 na wilaya 5. Halmashauri ni Arusha city, Arusha, Meru, monduli, karatu na ngorongoro. Idadi ya watu ni zaidi ya 1m na kama watoto wote wako darasani na wamekalia madawati huo uchache wa shule maana yake nini?
Halmashaur 6 na wilaya 5?kwani hizo wilaya sio Halmashaur? Au umejichanganya tu mkuu
 
Kama isingekuwa ccm hii nchi ingekuwa mbali sana kimaendeleo
 
Una hakika? Mkoa wa Arusha una halmashauri 6 na wilaya 5. Halmashauri ni Arusha city, Arusha, Meru, monduli, karatu na ngorongoro. Idadi ya watu ni zaidi ya 1m na kama watoto wote wako darasani na wamekalia madawati huo uchache wa shule maana yake nini?
Mkuu hivi ulitegemea aseme nini wakati tayari suruali imembana?wao dua zao ni cdm washindwe tu ili wapate kusema na kubeza sasa imekuwa kinyume wanaweweseka tu
 
Kumbe hamkugoma kuchangia madawati
26a60b6f31909c38b344dd447378ea47-1.jpg

hiyo ndio kazi ya ccm iliyobaki wacha UKAWA WAFANYE KAZI walitumwa na Watanzania.

swissme
 
Propaganda ikiwa kazini (PROPAGANDA AT WORK)

Zoezi la madawati ARUSHA haliendeshwi na CHADEMA, fuatilia vyema na si kwa ushabiki kwa sababu tu kichama walioshika nafasi za ubunge na udiwani ni wa chama Fulani.
Lini umeona MBUNGE ama DIWANI wa CHADEMA akichangia madawati?? tuwe Wakweli, LINI LEMA KACHANGIA MADAWATI?

Nilichokiona ni MKUU WA MKOA WA ARUSHA mh. NTIBENDA FELIX, akitangaza kupokea madawati kutoka BONITE BOTTLERS.. NA LENGO LAKE NI KUFIKIA ASILIMIA 150. Pale hakuwepo DIWANI wa chadema wala Meya.....
 
Jiji la Arusha /mkoa wa Arusha chini ya uongozi wa CDM umevuka agizo la rais Magufuli la kuhakikisha wanafunzi wanapatiwa madawati na sasa mkoa mzima umesha jitosheleza na kuna madawati ya ziada,hongea sana uongozi wa madiwani na wabunge wa CDM.
Chanzo: ITV habari
Duuuh! Jamaa kwao wanachapa kazi wanatii sheria wametulizana na kuleta maendeleo. Husikii vikao vya Bavicha wala maandamano dhidi ya Mzee Jecha wala kupigania maiti mortuary. Hayo hufanyika Simiyu na Dodoma, nakumbuka majina ya walioshitakiwa Kahama kwa vurugu majina yao ya kabila za kaskazini.
 
Mkuu hivi ulitegemea aseme nini wakati tayari suruali imembana?wao dua zao ni cdm washindwe tu ili wapate kusema na kubeza sasa imekuwa kinyume wanaweweseka tu
Tunashukuru mamvii kuhamia huko
Angalau amewaelimsha umuhimu wa kuchangia maana makamanda mlikuwa wagumu kuchangia

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Duuuh! Jamaa kwao wanachapa kazi wanatii sheria wametulizana na kuleta maendeleo. Husikii vikao vya Bavicha wala maandamano dhidi ya Mzee Jecha wala kupigania maiti mortuary. Hayo hufanyika Simiyu na Dodoma, nakumbuka majina ya walioshitakiwa Kahama kwa vurugu majina yao ya kabila za kaskazini.
Usione vyaelea. Hawa watu wa huko unakodai yanafanyika maandamano wamelala usingizi lazima waamshwe. Huko unakopaita kaskazini walianzia mahali 20 years back
 
Propaganda ikiwa kazini (PROPAGANDA AT WORK)

Zoezi la madawati ARUSHA haliendeshwi na CHADEMA, fuatilia vyema na si kwa ushabiki kwa sababu tu kichama walioshika nafasi za ubunge na udiwani ni wa chama Fulani.
Lini umeona MBUNGE ama DIWANI wa CHADEMA akichangia madawati?? tuwe Wakweli, LINI LEMA KACHANGIA MADAWATI?

Nilichokiona ni MKUU WA MKOA WA ARUSHA mh. NTIBENDA FELIX, akitangaza kupokea madawati kutoka BONITE BOTTLERS.. NA LENGO LAKE NI KUFIKIA ASILIMIA 150. Pale hakuwepo DIWANI wa chadema wala Meya.....
Hutaki kanywe malimao ujipoze ila habari ndiyo hiyo,vipi dodoma zoezi linaendaje?
 
Duuuh! Jamaa kwao wanachapa kazi wanatii sheria wametulizana na kuleta maendeleo. Husikii vikao vya Bavicha wala maandamano dhidi ya Mzee Jecha wala kupigania maiti mortuary. Hayo hufanyika Simiyu na Dodoma, nakumbuka majina ya walioshitakiwa Kahama kwa vurugu majina yao ya kabila za kaskazini.
Mtaelewa nyinyi wasaka tonge wa lumumba
 
Back
Top Bottom