Hongera sana CHADEMA Arusha kwa uongozi bora

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
122,494
96,073
Jiji la Arusha /mkoa wa Arusha chini ya uongozi wa CHADEMA umevuka agizo la Rais Magufuli la kuhakikisha wanafunzi wanapatiwa madawati na sasa mkoa mzima umeshajitosheleza na kuna madawati ya ziada,hongera sana uongozi wa madiwani na wabunge wa CHADEMA.

Chanzo: ITV habari
 
Tunawapongeza kwa kuacha siasa hadi 2020.
CAUTION:ARUSHA INA SHULE CHACHE SANA KULINGANISHA NA HADHI YAKE
 
Magufuli alimsifia meya calist lazaro siku ya ufunguzi wa majengo ya NSSF/PPF hili ni somo na fafanuzi ya kwanini siasa iwekwe pembeni hadi 2020
 
Jiji la Arusha /mkoa wa Arusha chini ya uongozi wa CDM umevuka agizo la rais Magufuli la kuhakikisha wanafunzi wanapatiwa madawati na sasa mkoa mzima umesha jitosheleza na kuna madawati ya ziada,hongea sana uongozi wa madiwani na wabunge wa CDM.

Chanzo: ITV habari
Siyo hilo tuu, rais leo kaagiza taasisi za serikali zianze kutumia EFD wakati halmashauri za UKAWA walisha anza siku nyingi.
Zile za Ccm itakuwa ngumu maana hugawana mapato kwa kuwa na risiti za halmashauri, na za kwao wenyewe. Familia ya panya.
 
Funzo kwa Mikoa mingine,

Vueni hilo gamba gumu la kijani mpate maendeleo ya kweli na Uhakika.

Long Live Chadema

BACK TANGANYIKA
Hamna bavichaaa yoyote aliyechangia madawati.

Ila maandamano ya kwenda Dodoma bavichaaa walichangia
 
Tunawapongeza kwa kuacha siasa hadi 2020.
CAUTION:ARUSHA INA SHULE CHACHE SANA KULINGANISHA NA HADHI YAKE
Hizo lawama Peleka TAMISEMI na wizara ya elimu,hata wakiongeza shule chadema tumejipanga kuwatumikia wananchi
 
hatimae makamanda wote wamezikubali sera za Magu come 2020; chadema inabakia kwenye vitabu vya kumbukumbu tu.
Teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, nakupongeza kwa kuishi kwa matumaini
 
Magufuli alimsifia meya calist lazaro siku ya ufunguzi wa majengo ya NSSF/PPF hili ni somo na fafanuzi ya kwanini siasa iwekwe pembeni hadi 2020
Tufanye huyo meya ni wa ccm basi tumalize ubishi
 
Back
Top Bottom