Kweli kabisa mkuu, ukawa kwetu ni huduma kwa watanzania, hao wa mwendo kasi wachana naoNajua mikoa inayoitaji maendeleo ya kasi wameona Arusha wamechagua viongozi sahihi wanayapata maendeleo hongera chadema kwa kuwa na madiwani Bora siyo arusha tu najua halimashauri zote za ukawa ni mwendo Wa maendeleo tu
Nikweli kabisa mkuu, ndio maana sasa wanajitahidi kuhakikisha magu havai kofia ya chamaSiyo hilo tuu, rais leo kaagiza taasisi za serikali zianze kutumia EFD wakati halmashauri za UKAWA walisha anza siku nyingi.
Zile za Ccm itakuwa ngumu maana hugawana mapato kwa kuwa na risiti za halmashauri, na za kwao wenyewe. Familia ya panya.
Hakuna mchezo, wanajifurahisha tu kumuita dikteta lakini maagizo yake wanayatiiJiji la Arusha /mkoa wa Arusha chini ya uongozi wa CDM umevuka agizo la rais Magufuli la kuhakikisha wanafunzi wanapatiwa madawati na sasa mkoa mzima umesha jitosheleza na kuna madawati ya ziada,hongea sana uongozi wa madiwani na wabunge wa CDM.
Chanzo: ITV habari
Umeshasikiaga Ccm Arusha? Mimi nimwandishi wa habari tena mbobezi sana na mikoa yote natembelea achana na hapa Dar es Salaam nilipo Arusha sijawai sikia ccm ilishafutwa sikumingi sanaKufutika maana yake nini???
Teh..Teh.. Nafikiri Kuwapelekea Chadema chai in Sugu VoiceHivi hapo Arusha Mjini si ndiyo nasikia Magamba wameambulia diwani mmoja tu. Kwa hiyo akiwa kwenye vikao vya baraza la madiwani anakuwa kama digidigi aliyezungukwa na simba. Dah! Watu wa Arusha waonevu sana.
Umeshasikiaga Ccm Arusha? Mimi nimwandishi wa habari tena mbobezi sana na mikoa yote natembelea achana na hapa Dar es Salaam nilipo Arusha sijawai sikia ccm ilishafutwa sikumingi sana
Kumbe hamkugoma kuchangia madawatiJiji la Arusha /mkoa wa Arusha chini ya uongozi wa CDM umevuka agizo la rais Magufuli la kuhakikisha wanafunzi wanapatiwa madawati na sasa mkoa mzima umesha jitosheleza na kuna madawati ya ziada,hongea sana uongozi wa madiwani na wabunge wa CDM.
Chanzo: ITV habari
Nawapengeza kwa kutogomea michango maana wameanza kubadlkaHapa badala ya kupongeza viongozi wa cdm wewe unaleta mipasho ya TOT?
Ni kweli mkuu sisi Jiji tulimaliza biashara ya madwati tangu Januari mwaka huu kabla ya agizo la Mh RaisJiji la Arusha /mkoa wa Arusha chini ya uongozi wa CDM umevuka agizo la rais Magufuli la kuhakikisha wanafunzi wanapatiwa madawati na sasa mkoa mzima umesha jitosheleza na kuna madawati ya ziada,hongea sana uongozi wa madiwani na wabunge wa CDM.
Chanzo: ITV habari
Hayo ndo mabadliko kutoka kugomea michango hadi kuwa kinara wa kutoa michangoWewe endelea na mipasho yako ya mwendo kasi,sisi cdm ni huduma bora kwa watanzania
Wacha hawa wazee wa mwendo kasi, waendelee na ngonjera zao sisi ni huduma kwa wananchi na zinaonekanaNi kweli mkuu sisi Jiji tulimaliza biashara ya madwati tangu Januari mwaka huu kabla ya agizo la Mh Rais
Tuna shule za msingi 24 na zote zina madawati ya kutosha hadi ziada
Tuna shule za sekondari 20 na zote zina madawati ya kutosha hadi ziada
Ni jiji au mkoa?Ni kweli mkuu sisi Jiji tulimaliza biashara ya madwati tangu Januari mwaka huu kabla ya agizo la Mh Rais
Tuna shule za msingi 24 na zote zina madawati ya kutosha hadi ziada
Tuna shule za sekondari 20 na zote zina madawati ya kutosha hadi ziada