Afadhali ya yeye aliweza kuropoka lkn hapa bongo hajawahi kiongozi aliyepo kwenye ajira nono akaropoka jambo jema kama hilo angalau kuwadanganya vijana wasiyo na ajiraManeno matupu hayo mkuu. Huyu aliropoka tu na pengine sio yeye wananchi huwa wanapenda kumwekea hizo quote.
Nimeipenda hii!Pia alisema,
"Africans dont retire, even when they die they work as ancestors"
Haaa haaaaPia alisema,
"Africans dont retire, even when they die they work as ancestors"
Mkuu subiri kuna siku wataropoka ili ufurahiAfadhali ya yeye aliweza kuropoka lkn hapa bongo hajawahi kiongozi aliyepo kwenye ajira nono akaropoka jambo jema kama hilo angalau kuwadanganya vijana wasiyo na ajira
In God we Trust
mbona ujumbe uko wazi kuwa wanaowataka vijana wajiajiri waanze wao kuonesha mfanoPoint ni nn mkuu?
Mkubwa dawaKatika moja ya matamko yake kuhusu ajira kwa vijana rais mstaafu wa zimbabwe aliwahi kutoa ujumbe huu ambao viongozi wengi wa kiafrika hawapendi kuusikia kamwe.tazameni hapo chini huo ujumbe na jee Tanzania tuna la kujifunza?View attachment 1006444
In God we Trust
KikokotooMkuu kama watakuwa na dhamila ya kweli wanaweza kwani mipango ni kuchagua hasa kutoa kipau mbele
In God we Trust
Ajira ni hitaji la msingiPoint ni nn mkuu?
Pia alisema,
"Africans dont retire, even when they die they work as ancestors"
Si ndiye huyo aliyesema:-
"Only a dead white man can be trusted" [emoji16][emoji16]
Pia alipatwa kuuliza kwamba :wazungu wamejitahidi hadi wamefika mwezini, vipi nyie waafrika mna mpango gani?? Akajibu; sisi waafrika tuna mpango wa kufika kwenye jua,[emoji16][emoji16], Muulizaji akashangaa na hilo jibu, akamuuliza; je utatua wapi katika joto kubwa kiasi kile!!?, akajibu; tutakwenda usiku kipindi hicho jua litakuwa limezima!![emoji16][emoji16]
Acheni kumlisha maneno. Mbna yeye hakustaafu mpka alpofuguziwa mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika moja ya matamko yake kuhusu ajira kwa vijana rais mstaafu wa zimbabwe aliwahi kutoa ujumbe huu ambao viongozi wengi wa kiafrika hawapendi kuusikia kamwe.tazameni hapo chini huo ujumbe na jee Tanzania tuna la kujifunza?View attachment 1006444
In God we Trust
toka lini jambazi haka kukataza kuiba.
ni sawa na mtoto wa tajiri hakuambie maskini ulichonacho ndo ulidhike