Alimaanisha majukumu kwenye familia na ndugu wengine, na siyo ajiraPia alisema,
"Africans dont retire, even when they die they work as ancestors"
Mkuu kama watakuwa na dhamila ya kweli wanaweza kwani mipango ni kuchagua hasa kutoa kipau mbeleWatapata wapia pesa za kulipa mafao kwa wakitoa watu kwa lazima ili hali wanadai mafao yao angalau wakajiajiri limekua swala la kisiasa
Hicho alikisema
In God we Trust
Mengi anabambikiwa tu Mzee wa Watu.Yeye alijiajiri baada ya kuwa kwenye ajira kwa muda gani?
Hata hivyo sio kila kinachoandikwa kuhusu huyu jamaa ni kweli au ailikisema.
Kusema ni jambo moja, alikiishi?
Dhamira tuione kwa hawa ambao wana madai wakifanikiwa kuzima vilio vya hawa pengine inaweza kuleta imaniMkuu kama watakuwa na dhamila ya kweli wanaweza kwani mipango ni kuchagua hasa kutoa kipau mbele
In God we Trust
We jamaa acha uzembe wa kudhan kila analoongea kiongozi ni sahihi. Utapotea, changanya na za kwako kwenye hayo maneno na acha kuwa Nyumbu.Katika moja ya matamko yake kuhusu ajira kwa vijana rais mstaafu wa zimbabwe aliwahi kutoa ujumbe huu ambao viongozi wengi wa kiafrika hawapendi kuusikia kamwe.tazameni hapo chini huo ujumbe na jee Tanzania tuna la kujifunza?View attachment 1006444
In God we Trust
We jamaa acha uzembe wa kudhan kila analoongea kiongozi ni sahihi. Utapotea, changanya na za kwako kwenye hayo maneno na acha kuwa Nyumbu.
Huyu jamaa katawala miaka 38, zaidi ya hiyo 10 anayoisema. Mbona hakuondoka na kwenda kujiajiri hadi akaondolewa kwa nguvu na jeshi.
Kujiajiri sio mchezo.
Maneno matupu hayo mkuu. Huyu aliropoka tu na pengine sio yeye wananchi huwa wanapenda kumwekea hizo quote.Nashukuru sana kwa kuniona kuwa mimi ni nyumbu ila kwa mwenye akili iliyo timia hawezi kuipinga maana yeye angalau ameitoa kuliko wenzetu hawa tunao waona
In God we Trust