Katika moja ya matamko yake kuhusu ajira kwa vijana rais mstaafu wa zimbabwe aliwahi kutoa ujumbe huu ambao viongozi wengi wa kiafrika hawapendi kuusikia kamwe.tazameni hapo chini huo ujumbe na jee Tanzania tuna la kujifunza?View attachment 1006444
In God we Trust
HahahahaPia alisema,
"Africans dont retire, even when they die they work as ancestors"
Kwa viongozi wengi wanao jidai walipigania uhuru wao wanajiona kama wana uhalali wa kutawala milele kama ilivyo ccm
In God we Trust