NAFURAHI KUONA KATIKA LIST HII MAJINA YA WANAWAKE NI MACHACHE....NINAANZA KUAMINI KUWA JINSIA HAS SOMETHING TO DO WITH WIZI...maana wa mama wengi tu wapo kwenye positions mbalimbali lakini hawatajwi sana katika ubadhirifu....I conclude by saying that .....bora wapewe nchiLabda pengine hoja ya kulaumu fani ya sheria kwa ujumla wake kutokana na mapungufu au maovu ya watu wachache inaleta hisia za ambazo zina maswali mwengi!!. Binafsi naona hao mawakili (wanasheria) wao wanatumika kama sambamba na wataalaumu wengine (professionals) na hivyo kila kesi ni vizuri ikahukumiwa kwa vigezo vya maelezo yake.
Ukiondoa hao walitajwa katika makashfa ya EPA na Richmond ( Mkono Advicates, IMMA Advocates, Chenge, Mwanyika, Donald Chidowu, Edward Hosea, Capt. Sanze, Malegesi, Ringo Tenga, nk) wapo wataalamu wengi tu katika hii nchi ambao wameifikisha hapa tulipo wakiwa wanatuhumiwa kwa kufanya maovu kwa ajili ya manufaa binafsi aidha kwa kutumia nyazifa zao kwa uzembe wa makusudi kabisa au kushindwa kutimiza wajibu . Baadhi yao ni hawa hapa ambao sidhani kuwa ni mawakili:Hawa ni baadhi tu ambao wametuhumiwa katika hali moja au nyingine kukwamisha maendeleo ya nchi hii ukiachia wale ambao pia waliusika katika mchakato wa kujiuzia nyumba za Umma.
- B.W. Mkapa
- Bazil Pesa Mlamba
- Gray Mgonja
- Anna Mkapa
- Zakhia Meghiji
- Daniel Yona
- E.N. Lowassa
- Rajab Maranda et al
- JEETU Patel "Jitu Tapeli"
- Devendra Vinodbhai Patel
- Amit Nandy,
- Ketan Chohan,
- Johnson Lukaza,
- Bahati Mahenge,
- Davies Kamungu,
- Godfrey Mosha
- Manase Mwakale
- Eddah Mwakale,
- Bosco Kimela
- Amatus Liumba
- Shailesh Pragji Vithlani
- Tanil Jumar Chandulal Somaiya
- Dk. Rashidi
- Dr. Marehemu Balali
- M. Msabaha
- Nazir Karamagi
- Arhtur Mwakapugi
- Patrick Rutabanzibwa
- Singi Madata
- Theophilo Bwakea
- Stephen Mabada
- Godson Makia
- Dick Tewa
- Gideon Nassari
- Julius Sarota
- Mwita Wangwe
- Athanas Mbawala
- James Mwalilimo
- Rostam Azizi.
Jaji Mkuu Mh. Augustino Ramadhani akimkabidhi hati ya uwakili Rhidhiwani Kikwete leo asubuhi Mahakama kuu jijini Dar. Jumla ya mawakili wapya 128 walipatiwa hati zao leo
Mama Salma Kikwete akiwa na Majaji pamoja na baadhi ya mawakili wa kujitegemea waliopata hati leo
Jaji Mwendwa Malecele akiwa miongoni mwa majaji waliohdhuria sherehe hizo
Hongera sana kijana anasema Mh. Said el Maamry kwa Ridhiwani Kikwete
Waandishi wakimpiga maswali Ridhiwani
Baadhi ya wadau waliopata hati za uwakili leo
Ridhiwani akiwa na nduguze
Ridhiwani na wadau
Hongera mwanangu anasema Mama Salma Kikwete
huku Jaji Mkuu Mh. Augustino Ramadhani akishuhudia
ankal naye alikuwepo
(c) MICHUZI
Kwani vigezo vya kumteua mtu kuwa wakili wa kitegemea ni nini?
Kitu kingine watanzania wenzangu tuache ku poliiliticise kila kitu mwishowe tukakuwa hatumaa maana tunawalaumu watu kuingiza siasa kwenye mambo ya singi wakati sisi hata kutambua thread hii iwekwe kwenye forum gani tunashindwa .
Hongera sana Ridhiwani, zingatia haki! Mwanasheria asiyezingatia haki ni binadamu hatari kuliko binadamu yeyote duniani!
hujakosea
alienda kusoma masters hull university baada ya mwaka mmoja hata postgraduate cert hakupata
na huko kazini IMMMA anakofanya hayupo kazini mara kibao, amekuwa akisafiri kila siku sijui hata hiyo training alikuwa anafanya saa ngapi
mawakili wetu kazi ipo kweli kweli
Nina wasiwasi na credibility yake; kwani nasikia huko Mlimani alikwisha pigwa disco ila mambo yakafanyika na kuonekana amefauru!!!
Labda kaja kama mgeni rasmi,maana kama angekuja kama mzazi mwalikwa angekaa huko na wazazi wenzie. Tatizo ni kimbelembele kwa kila kitu mpaka inachefua. Washauri wawe makini na First family maana inalikoroga ktk mambo mengi.huyo mwanamke wa kwanza kapiga picha na majaji kwa sababu na yeye kijana wake ni muhitimu au??
.Nina wasiwasi na credibility yake; kwani nasikia huko Mlimani alikwisha pigwa disco ila mambo yakafanyika na kuonekana amefauru!!!
.
Mwanamayu, DISCO UDSM. mbona ni kitu cha kawaida, mimi pia nimesoma sheria hapo UD, nimejiunga na chuo na DIV II, wakati bila DIV 1 Sheria hupati.
Tulijiunga na vichwa vyenye DIV 1 kali toka haya mashule ya Academic na ma-international, mwisho wa siku, kuna wengi tuu walio Disco na Div I zao, na kuna wengi waliopata Upper 2nd na Div II zao.
Hata mimi binafsi niliDisco 2nd-year, na kutoka na upper 2nd mwaka wa mwisho. Kudisco Chuo, hakuna maana ndio kilaza, kuna maprofesa wazuri tuu hapo hapo chuo, vichwani akili nyingi, kwenye kufundisha ni vilaza tuu. Na kuna wanafunzi wa kawaida tuu, maksi za kawaida, ili hali ni vichwa kiukweli ukweli.
Tusihukumu watu for what they did/were, bali tuwahukumu for what they do now and in future.
Nawapongeza wanasheria wote waioukwaa uwakili, kusoma sheria ni kitu kimoja, kuwa wakili ni kitu kingine, ila kuwa wakili mzuri, ni kingine kabisa na hakina uhusiono ulikuwa mzuri vipi darasani, ndio maana mawakili wengi wazuri, wamepata pass tuu kama kina Mkono, na vile vichwa haswa vya sheria, vyenye Ist Class, kama kina Prof. Kabudi, huishia kwenye chaki ubaoni, na wakisimama mahakamani, ndio kama vile "amicus curiae", yaani friends of the court!.
Pia naomba msiwashangao, waandishi kumshobokea kijana wa Mzee, big names, makes news as well as prominance makes news, kijana ana both, silver spoon from 1st familiy, his own merit kwenye UV-CCM, sasa personal achievement as a member of the Bar from his own brain. Kati ya degree za kupewa pale UD, LL.B haipo, kila aliyesoma LL.B na kumaliza ni mwanasheria, ila sio kila aliyesoma LL.B na kuhitimu ni wakili.
Kwa hili la uwakili jamani, hongera zake mpeni!.
Ni Mhe. Madam JaJi Salima Kiwete by dat day !!! waweza kuona tofauti nyingine hapa huyo jamaa wa Kulia alivyopoteza umakini kwenye masuala mengine na kumkodolea macho kijana wa JK labda ndio protokali za Kiserikali zilivyo hivyo...Jaji Mkuu anateuliwa na Mhe. Rais, asipoonyesha ushirikiano kwa Mhe Rais ni sawa na kutoheshimu fadhira za uteuzi wake kwani kwenye mchujo majina ni mengi, kwa nini usiwe mwingi wa fadhira ikiwa wewe pekee umeonekana na kuteuliwa.
Hongera mwanangu anasema Mama Salma Kikwete
huku Jaji Mkuu Mh. Augustino Ramadhani akishuhudia
Mkuu Pasco,
Hebu fafanua maana maelezo yako yamenitatiza japo yanamake sense........ Hapo unaposema ulidsco halafu ukamaliza na maksi hizo au ulianza upya? Ulidisco au ulirudi sept 11 conference?
La Ridhiwani simo kabisa, namsikia tu magazeti busy for UVCCM huko kwenye sheria wanajuana wenyewe.
Kweli mkuu PASCO tueleze iweje U DISCO halafu uakaendelea, au unachanganya DISCO na SUPP? mkuu Ku Supp ndio kitu cha kawaida pale UD lakini DISCO noooo! Uki DISCO we ni KILAZA tu!
ukidisco chuo kikuu manake ni home tuu, yaani hakuna disco afu tena uje umalize...either uliapply chuo upya so ukaanza tena..ila kama ulidisco na ukaja kumaliza ndo haya wanaita magumashi, mtu anadisco lakini mbinu zinafanyika, anapewa maksi masomo machache (hata likiwa moja kama litaweza kumuondosha na adha ya kudisco) then anaendelea kudunda....so mkulu pasco huwezi disco afu ukamaliza tena sijui na upper second sijui kitu gani..kweli mkuu pasco tueleze iweje u disco halafu uakaendelea, au unachanganya disco na supp? Mkuu ku supp ndio kitu cha kawaida pale ud lakini disco noooo! Uki disco we ni kilaza tu!
.Mkuu Pasco,