Hongera Rais Samia, nchi imetulia tuli vizuri sana

Hongera Rais Samia, nchi imetulia tuli vizuri sana

Kajamaa kapo magetoni, pengine kula yake mpaka dada amkatikie mauno shemeji , kanakuna jf kuandika mada uharo kabisa
Gentleman,
,kua tajiri au maskini Tanzania uamuzi binafsi wa madau yeyote wa JF au mwananchi.

kula au kushinda na njaa magetoni ni uamuzi huru lakini wa kijinga sana hasa ikiwa uamuzi huo unatokana na na kuendekeza uvivu na kukomaa kuishi kwa wazazi hali ya kua ni mtu mzima.

ajira bwerere hivi Tanzania, halafu eti unashinda njaa na kufikiri kwa mihemko na makasiriko kiasi hicho gentleman?

Dr.Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa na anaendelea kufanya kazi kubwa zaidi ya kutengeneza mazingira bora zaidi ya kiuchumi ili kila mTanzania atimize ndoto zake za masha.

waza kwa utulivu na na kuamua kistaarabu gentleman na itapendeza zaidi :NoGodNo:
 
Attachments

  • IMG_20260817_161236.jpg
    IMG_20260817_161236.jpg
    1.4 MB · Views: 7
Ila ni kweli anapiga kazi sana, imagine inabidi awaite kuanzia RC na wenzake wa Daslam kujadili suala la uchafu, huyo ni mkuu wa nchi.
kawaida sana hilo gentleman,
kupanga jiji ni muhimu mno duniani kote :NoGodNo:
 
cha ajabu mpo mafichoni zanzibar oh wait nilisahahu kumbe dar ni pachafu ndiyo maana mmekimbia ...
unajifichaje Tanzania gentleman kwa mafano?

na kwamba wapi utajificha Tanzania usionekane?
waulize magaidi kama hufahamu:pedroP:
 
Wananchi wameridhika na hali ya amani na usalama wao, wanafurahia sana na kwakweli wanaona, wanafaidika na kunufaika pakubwa na mipango na kazi kubwa na nzuri sana ya maendeleo unayoifanya kupitia serikali sikivu ya CCM.

Kwa hakika,
nchi imetulia vizuri sana na hali ya umoja, amani na usalama kwa waTanzania wote ni ya uhakika na ya kuaminika kila kona ya taifa letu.

Maadui wa umoja, amani na usalama wa taifa letu ndani na nje ya nchi, sasa wamepuuzwa na porojo zao mitandaoni hazina athari tena kisiasa, kijamii wala kiuchumi nchini.
Chapa kazi mama, waTanzania wote wanakuunga mkono kwa wivu mkubwa.

kazi na utu......:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Screenshot_20260902-120602~2.png
 
Kupanga huko tulishakwama gentleman. Tunaongelea uchafu, jiji kunuka gentleman
kupanga ni pamoja na usafi gentleman.

Nairobi panatoa harufu, Kampala, Abuja na Lagos ndio usiseme semblance Dar Es Salaam ambapo wanaishi wanadamu kama vile kwingineko ulimwenguni?

hakuna cha kushangaza hapo gentleman 🐒
 
Sasa mbona Mkuu anashangaa na kustaajabishwa gentleman? Kama ni jambo la kawaida?

Ooooh! Kumbe tunatumia ubovu wa maeneo mengine kupima ufanisi na ubora wetu?
 
Sasa mbona Mkuu anashangaa na kustaajabishwa gentleman? Kama ni jambo la kawaida?

Ooooh! Kumbe tunatumia ubovu wa maeneo mengine kupima ufanisi na ubora wetu?
just relax,
kama mama wa taifa ni lazima aiweke familia yake katika mazingira ambayo yeye mwenyewe angependa yawe :NoGodNo:
 
Nadhani hukujui Mbeya, muulize Kikwete na angekuwepo hai Mzee Mkapa ningekwambia umuulize habari ya Mbeya.

Pia Magufuli alizomewa hadi akashindwa kuhutubia uwanja wa Mapinduzi akiomba kura 2015
Mbeya kuna waTanzania wangwana na wastaarabu mno nchini,
hawana tabia mbaya kama ambavyo unajaribu kuwapAint gentleman,

na ni miongoni mwa mikoa iliomchagua Dr.Samia Suluhu Hassana kwa kishindo zaidi cha kura gentleman :NoGodNo:
 
Umetumwa kupima upepo siyo?
Acha kuwaza kikatugakatuga dogo. Hutaambulia jibu la ama wametulia au wameinamisha vichwa wakitunga mbinu mpya.
 
Nadhani naongea na kifaranga ambaye haijui nchi hii
 
Umetumwa kupima upepo siyo?
Acha kuwaza kikatugakatuga dogo. Hutaambulia jibu la ama wametulia au wameinamisha vichwa wakitunga mbinu mpya.
In fact,
mtu akiwa na uwezo mdogo wa kufikiri lazima asiwe na jibu la maana pia,

hata na hivyo,
ni vizuri akaheshimiwa anapotumia uhuru na haki yake ya kutoa maoni na kuunga mkono jitihada za makusudi zinazofanywa na serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan,kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒
 
Back
Top Bottom