haaaa haaa sasa nani atafundisha, aseeee nyie mnajitoa akiliHaya ndiyo mabadiliko ya kweli
haaaa haaa sasa nani atafundisha, aseeee nyie mnajitoa akili
haaaa haaa sasa nani atafundisha, aseeee nyie mnajitoa akili
Tatizo wasomi wetu ni waganga njaa.Kitendo cha Raisi kuwapa vyeo vya utendaji walimu wa vyuo vikuu kuna faida kubwa sana
1.Kuwapa nafasi ya kuyatumia yale waliyokuwa wakifundisha kwa vitendo.Wana uelewa mpana wa mambo mengi kuwateua katika nafasi mbali mbali za utendaji kutawapa nafasi ya kuonyesha uwezo wao na nchi kuweza kupiga hatua.
2.Kunatoa nafasi ya wengine kupanda ili kuchukua nafasi zao.Akiondoka mmoja mwingine anasogea pale alipokuwa aliyeondoka.Hivyo mfumo huo unakuwa unasaidia kutengeneza viongozi wengi zaidi kwa ajili ya Taifa
3.Ni njia ya kuingiza mawazo mapya katika maeneo wanayoenda ambayo mengine unakuta walikuwa wamezoea kufanya kazi kimazoea.Akiletwa msomi mpya anaweza INJECT mawazo mapya kule aendapo na yule ambaye atachukua nafasi yake pale alipotoka aweza pia kuja na mikakati na mawazo mapya na hivyo kuzifanya sehemu zote kule alikotoka na kule alikoenda kuwa na tija mpya.
4.Kunaongeza ari na mori wa utendaji kazi.Akienda eneo jipya anakuwa na ari na mori wa kazi mpya na yule aliyepanda cheo anachochewa mori na ari ya kazi hivyo uzalishaji kuongezeka
5.Staili hii ya kuwateua inawafanya wafanye kazi walipo kwa moyo wakijua kuwa kazi yao yaweza onekana na raisi akawapa madaraka makubwa zaidi
6.Inasaidia kuongeza ajira.Mtu akiondoka lazima kutakuwa na nafasi ya kazi hapo moja itakayokuwa imezaliwa.
Napendekeza iundwe timu ya kusaka walimu wazuri wa vyuo ambao waweza kubaliana na kuendana na kasi ya Magufuli wasakwe kila kona na wapewe majukumu ya kitaifa.Watafutwe walimu watendaji sio wale akina yakhe ambao kutwa ni kupinga tu kila kitu anachofanya raisi (domokaya)
Mwalimu anatakiwa azalishe waalimu chini yake ili ufundishaji uwe endelevu... Siyo mtu akiondoka na ufundishaji unakufa. Kwani angefariki nani angefundisha?
kwa hiyo mkuu ndo kusema mwakembe alidanganya katika ile thesis yake?.hua inafika mahali naaimini kua msomi wa kweli hawezi kukubali hivi vyeo vya kupewa kama peremende.kwasababu mwanataaluma wa ukweli hukisimamia anacho kiamini mpaka kufa kwake.sio hawa popo wa siku hizi inafika mahali tunashindwa kuwaamini wanataaluma wetu maana leo ataongea hivi na kesho atayakana aliyo yaongea.naomba aliye wahi kumsikia mwakyembe akieleza sababu za kukipinga alicho kitetea atuambieTatizo wasomi wetu ni waganga njaa.
Mhe. Dr. Mwakyembe katika thesis yake iliyompelekea kupata PhD alisapoti serikali tatu. Leo hii kapewa Uwaziri kabadilika na kuwa muumini wa serikali mbili.
Hao wasomi waliowekwa kwenye System hawatabadilisha lolote. Watafanya matakwa ya CCM na rais wake
kwa hiyo mkuu ndo kusema mwakembe alidanganya katika ile thesis yake?.hua inafika mahali naaimini kua msomi wa kweli hawezi kukubali hivi vyeo vya kupewa kama peremende.kwasababu mwanataaluma wa ukweli hukisimamia anacho kiamini mpaka kufa kwake.sio hawa popo wa siku hizi inafika mahali tunashindwa kuwaamini wanataaluma wetu maana leo ataongea hivi na kesho atayakana aliyo yaongea.naomba aliye wahi kumsikia mwakyembe akieleza sababu za kukipinga alicho kitetea atuambie
Magufuli ni chaguo la Mungu!Haya ndiyo mabadiliko ya kweli
Katika nchi yenye upungufu wa wahadhiri wa vyuo vikuu kama hii sidhani kama hilo linafaa kupongezwa ukizingatia na kasi ya ukwapuaji inayoendelea. Anaweza kuwatumia kama washauri zaidi kuliko utendaji.