Watu wengi wanaamini kuwa Professor ni ishara ya kuwa na uwezo mkubwa wa kujua mambo mbalimbali. Je ni professor gani unayemkubali kwa mchango mkubwa katika maendeleo ya Taifa?
Prof Lipumba mwana uchumi alieacha record pale mlimani na advance Egm akiwa na misonge mitatu ila sasa ukija kwenye thinking capacity utashangaa na kujiuliza huyu jamaa real ni professor au reprofesa