Hongera MwanajamiiOne!!

Happy birthday MJ1....nafanya lojistiks za kupeleka pikap ya nyagi za baridi...pande za boko!
Miaka 16 sio mchezo!
 
Better late than never.

Happy Birthday MJ1
Unashare birthday na my huby today.!!!!!
Ah DA ninaleta ombi langu rasmi la kukutana na hiyo twin wangu.......tuko wachache ujue loh.....Thanx my darl I really appreciate for knowing you and you being part of my many friends...am so touched by your friendship.

You are not late sweetie, not at all
 
Afadhali tumepata sababu nyingine ya kusimashi zemu botloz, nilikua nawaza hii siku itaishaje big brother ODM,mambo ni palepale,muda ni uleule na vinywaji ni vilevile!
Hari ya kuzaliwa mjukuu, nakutakia maisha marefu yenye baraka tele.!
 

For the very first time in my JF life I read utenzi wako my dia....sikujua kuwa nawe ni malenga mtukuka!! Thanx sisy and you know how you fair in my life......siwezisema but know that you are my turning point.............you and Max ......cant say more.

right now am enjoying my me being here in this world and the purpose of my life. Thanx dear and GOD bless you
 

Any time my dear!
ENJOY LIFE TO THE FULLEST AND DON'T ALLOW ANYTHING TO STAND ON YOUR WAY.

We need to catch up ....will look for you one of these days
 
Safi sana babu yake mwanajamiione umeonyesha jinsi ulivyo na upendo wa dhati na mjukuu wako
Hongera mwanajamiiOne kwa kufikisha nyundo thelasini mungu akujalie maisha marefu yenye upendo,faraja, na amani tele
HAPPY BIRTHDAY
Darling Gaga........aksante sana kusema kweli the Babu is Magnificant.....ana memory hadi basi.

Yes darling mvua thelathin ndani ya 16 ni balaa tupu but ninamshukuru MUNGU kwa kunijaalia kuwa sehemu yenu. I feel pity for those who dont know whether there is a thing called JF ambapo unapata faraja ya marafiki......................... with no string attached
 
Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaa CPU bwana...........hii ni ile siku Babu ananilazimisha kusmile na kuomba nisimsehelee kwa bibi baada ya kumkuta akiharibu loh

Nice pic.

Lakin mbona kwenye picha ulikuwa unaonekana umefurahi?

The Following User Says Thank You to MwanajamiiOne For This Useful Post:

CPU (Today)​
 
Huu ndio udhalilishaji wa rileshenshipu....This iz releshenship koling, you hev biin notifaid and warned accordingly!

Niendelee kukuumbua babu na mapicha mengine???

The Following 2 Users Say Thank You to Asprin For This Useful Post:

CPU (Today), MwanajamiiOne (Today)​
 

Nitaku PM mida na mahala umuone twin wako.
 
Happy Brthday my wise sweet 16 friend...

May God Bless you so very much & may you live long!!

I love you and admire some of your special abilities....

Enjoy the rest of the day!!!!

NB: Hongera Babu Aspirin.....umebarikiwa sana!!
 


Lots of wishes my sis......
Me love u lots and lots!
May God bless u always.......

Happy Birthday...............
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…