Swala LA bluestacks kustack stack kweli uko sahihi kabisa kwa kuwa ukiirun huwa inaifanya Pc yako kuwa nzito sana hasa kama ikI download ma application mengi na games kumbuka kuwa unapoinstall bluestacks huwa inakuwa kama simu ya android inavyojaa application.Binafsi nilichofanya nimedownload hizo app zote mbili Mobdro na bluestack ila huwa nazi install kutokana na uihitaji katikati ya wiki huwa nai unstall na kuacha source file katika download file ili pc yangu iwe free. Nikipata solution bora zaidi ntarudi tushirikishane.Mkuu kwangu bluestack inastuck kweli kweli aise.. Nipe maujanja.
Ndugu nashukuru sana kwani nimefanikiwa kuiweka kwenye Laptop yangu na sasa nakula mavituzzzz.Swala LA bluestacks kustack stack kweli uko sahihi kabisa kwa kuwa ukiirun huwa inaifanya Pc yako kuwa nzito sana hasa kama ikI download ma application mengi na games kumbuka kuwa unapoinstall bluestacks huwa inakuwa kama simu ya android inavyojaa application.Binafsi nilichofanya nimedownload hizo app zote mbili Mobdro na bluestack ila huwa nazi install kutokana na uihitaji katikati ya wiki huwa nai unstall na kuacha source file katika download file ili pc yangu iwe free. Nikipata solution bora zaidi ntarudi tushirikishane.
Nicheki kwa hii 0686811173Wakuu vip 24 HD sport mbona haipatikani?
Umeshapata mbadala wa 24sports??Hizo ni channel tunazo furahia pasipo malipo ya kinyonyaji
Acha gubu sasa c umesha shinda mkuuTena nimekuwekea toka hatua ya kwanza mpaka mwisho yani hakika umenibore mwanaume kuonekana unabisha vitu ambavyo huvijui
Hata Singida bro huwa nikienda likizo na enjoy sanaHii mikoa isiyo na cable maeneo tunayoishi tunapigwa sana aise. Wakati fulani nilienda Tabora hakuna hata presha ya kulipia.
Hata mimi mkuu chakushangaza TBC haina sauti.Nasubiri hiyo tarehe15 nikalipie,mi nilikuwa nacheki TBC na channel ten tu kwa Sababu wanapandisha bei hovyo wakisingizia eti dola inapanda sijalipia mwaka mzima
Hapo Mimi huongeza fine living zilizobaki huwa sigusiNajuuuta nligawa king'amuzi changu cha dstv baada ya kununua azam tv now nimegundua azam tv tofauti na local channel na idx, discovery na aljazeera zilizobaki kwangu hakuna zenye maana