Usiwe unabisha vitu ambavyo ndio fani yetu ngoja niisntall kwenye pc yangu ya ofisini soon ntakutumia screenshot kukuumbua usibishe vitu kama huvijui labda uwe unaomba ufundishwe,umeniboa hujui halafu unabishaAcha uongo kwenye blue stack aikubali ku stream hiyo mobdro
Acha kudanganya watu wewe kama unaweza install alafu tuma screen shot tuone nani muongo kati yangu na yako alafu mob dro resolution yake sio kubwa kama unavyosema weweUsiwe ****** unabisha vitu ambavyo ndio fani yetu ngoja niisntall kwenye pc yangu ya ofisini soon ntakutumia screenshot kukuumbua usibishe vitu kama huvijui labda uwe unaomba ufundishwe,umeniboa hujui halafu unabisha
Hivi bado watu mnapigwa na hao makaburu aisee!! Watu tulishatoka huko tunakamua ligi zote free gharama ni mwanzoni tu baada ya hapo ni mwendo mdundo.Dstv kidogo kidogo wanaanza kupata akili kuanzia ijumaa ligi ya Spain itakuwa inaonekana kwenye kifurushi kidogo kabisa cha Dstv bomba ambacho kimepunguzwa bei na kuwa sh 19750.hakika wamegusa kilio chetu,wajiongeze kidogo watupunguzie na Epl katika compact isogee hata mpaka sh60000 itakuwa poa sana.
Me nshatumia sana ikakataaa wewe
Daaa Mkuu nakupigia saluti,kwa hiyo akili wanabaki wanakodoa kodo.Plus MA Mobdro lazima washuke tu maana nilishaacha ujinga me napiga bluestack kwenye pc yangu nafungua Mobdro naconnect na Hdmi cable nakula game kama niko UK kwa msaada WA Vodacom 4G ya buku mbili tu 2Gb.
Tarehe 15 ya mwezi ujao Mkuu? Mbona website yao wameweka bandiko kwamba 'Now'!!?Nasubiri hiyo tarehe15 nikalipie,mi nilikuwa nacheki TBC na channel ten tu kwa Sababu wanapandisha bei hovyo wakisingizia eti dola inapanda sijalipia mwaka mzima
Tafuta dish la kawaida futi 6 au 8 ,futi 6 ni shilingi 100,000/= lnb 3 za c band ukitaka na ku moja then kuna decoder za kijanja aina ya alphabox au freesat hapo ni mwendo mdundo gharama ya decoder 110,000/= mpaka 145,000/= .Nasubiri hiyo tarehe15 nikalipie,mi nilikuwa nacheki TBC na channel ten tu kwa Sababu wanapandisha bei hovyo wakisingizia eti dola inapanda sijalipia mwaka mzima
Futi 6 au 8 hilo dubwana si litakuwa likubwa sana kama yale madish kama ya madogo hayafai mkuuTafuta dish la kawaida futi 6 au 8 ,futi 6 ni shilingi 100,000/= lnb 3 za c band ukitaka na ku moja then kuna decoder za kijanja aina ya alphabox au freesat hapo ni mwendo mdundo gharama ya decoder 110,000/= mpaka 145,000/= .
Kama uko chumba cha kupanga sawa ila kama ni nyumba haina tatizo yale madogo unaingiza chanel zao kama ni ting utanasa za ting kama startimes ni hizo za startimes ila kwa sport 24 na Sony series unatakiwa uwe na hilo la futi 6 au 8Futi 6 au 8 hilo dubwana si litakuwa likubwa sana kama yale madish kama ya madogo hayafai mkuu
ungemtia na mtusi mpya wa mamaake japo ahusiki,muradi aumie tu cku ingne asiwe na kiherehere cha kubishaView attachment 434836
Hii ni full screen unayobisha kuhusu resolution ndugu amini we hujui labda huwa unahadithiwa na wajanja nawe unaaminishwa porojo
bado huku kupo juuu no stress hivi mkuu hiyo android box unalipia kiasi gani kwa mwezi na inauzwa bei gani pia unapata mechi nyingi kiasi maana huyu sport 24 Hd ikitokea game zipo muda mmoja ni shida kidogo mfano ile ya man u na swansea hawakuonyesha bali wakaichukua ya liverpoolChezea Sport 24 HD na android box, watanyooka tu